Amani R Mbuya
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 220
- 141
unaogopa nini sasa kwenda vitani auWakuu saivi sio utani tena kwa Hali ilivyo kuna kila dalili ya kuzuka kwa VITA kuu ya TATU ya DUNIA. nimeanza kuogopa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna msemo unasema "Never interrupt your enemy when he is making mistakes."EU na NATO wameshamuona PUTIN kateleza kwahiyo hapa hapa ndio pakummaliza. Putin aliingia vinginene kakutana nahali nyingine, alinua eazy tu anapiga anafukuza raisi anaweka wake, hakwenda kwa total war, akawa anajitahkdi kukwepa kuumiza raia, akajua akikamata viwanja vya ndege, akipiga maghala ya siraha na sekta muhimu tayari kawanyong'onyesha, mambo yamekuwa magumu, hapa ni aidha ajitoe akili apigane total war au akubali kuvuka nguo kitu ambacho sidhani atakubali. sasa kitu kibaya kwamba na raia nao wakuwa wajeda wasaidizi, haoa ndio pagumu.
Marekani hii situation alikuwa anaitaka kwa hali na mali, kote kwake faida urusi akiingia hata akishinda anakula vikwazo si mchezo, wakati huo yeye na washirika wake wanatoa msaada kimya kimya ili kuzidi kumnyong'onyesha mrusi.. Toka awali nilihisi ukraine bila kufanya maamuzi sahihi nchi yao ndio itakuwa uwanja wa vita, watu watakuja kutestia mitambo yao hapo.
Putin hali tete, akichomoka hapa ndio nitajua huyu kichwa.
Nimejifunza vitu viwili, Dunia bila unafiki haiendi mmarekani mtu mbaya sana, ukiwa na pesa hata ukiwa na sura kama ya nani utaambiwa we ni handsome, alichokifanya putin MMAREKANI kaishakitenda mara zisizo na idadi ila wapi, sasa putini kajitela, ananuka ubaya tu.
Ngoja nikuambie hii ilikuwa sio vita ni operation ya kijeshi baadhi ya vifaa ni tishia kumkamata rais na hapo ukraine wapo mamluki wa russia ila USA na NATO ndio wamakuza hii ishu ili jamaa wanapigwa kisaikolojiaWakuu saivi sio utani tena kwa Hali ilivyo kuna kila dalili ya kuzuka kwa VITA kuu ya TATU ya DUNIA. nimeanza kuogopa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sababu ya Putin kusema anatumia nuclear si kwa sababu ya Ukraine bali ni NATO.Nimerudi.
Kuelewana tunaelewana na pia tukubaliane kuwa, Ukraine anastahili heshima. Pamoja na hayo matatizo yaliyomkuta ila na yeye kamuingiza kwenye matatizo makubwa kaka yake Russia mpaka akasema washeni nuclear. Si tunakubaliana?😀😃😃
Kinginew anatishia kuleta tensionSababu ya Putin kusema anatumia nuclear si kwa sababu ya Ukraine bali ni NATO.
Fuatilia kwenye vyanzo vya habari utaona wameelezea na sababu. Soma kichwa cha habari, soma na maelezo yake ya ndani.
Haiwezekani, si jana tu hapa tuliambiwa wanakaa kufanya azimio la kumzuia jamaa asiendelee kuingia Ukraine, Lakini nothing happened.Chairman wa UNSC ni Russia na sasa balozi wake nadhani anamaliza muda wake kesho. Kuna uwezekano Russia ikaondolewa kwenye UNSC
Yuko madarakani toka mwaka gani na kwanini hataki kutoka?Hawa wabaguzi wa Ukraine wanawazuia waafrika kupanda treni kutoroka mapigano kwenda Poland.
Kinachosikitisha zaidi wanawazuia hadi wanawake na watoto tena wajawazito kisa tu rangi zao za mwili.
Acha tu Putin awaanyooshe. Wengi msiojua tangu Putin angie madarakani Urusi Kaleta mabadiliko makubwa sana kwa watu weusi waishio Urusi kwa kuweka sheria za kuheshimiwa na haki.
WayUkrain wabaguzi sana. Acha wanyooshwe tu.
Ebu angalia aina za members wa UNSC ndo useme mtu anatimuliwaChairman wa UNSC ni Russia na sasa balozi wake nadhani anamaliza muda wake kesho. Kuna uwezekano Russia ikaondolewa kwenye UNSC
Sasa mambo sindio hayo sasa. Sio kupoteza mudatu wakati kamchezo Ni kadogo2
hakuna anaepinga kuwa urusi ana jeshi lenye nguvu kushinda ukraineUkishaona rais wa nchi awaomba raia wasiokuwa na uzoefu wowote wala mafunzo ya kivita washike bunduki (wakati nchi husika ina wanajeshi wenye mafunzo na uweledi wa vita) ujue tayari jeshi hilo la nchi limeshazidiwa nguvu tayari.
Usiku wa leo hawa majamaa wanaweza kuchezea kichapo sana wa Ukraine wamerushiwa makombora towards west from Nova Kakhovka, Kherson region Kama mvua.
Hakuna vita hapo.Bado una msimamo ule ule?
Usiku wa leo hawa majamaa wanaweza kuchezea kichapo sana wa Ukraine wamerushiwa makombora towards west from Nova Kakhovka, Kherson region Kama mvua.
Kuna taarifa kuwa, hizo ndege zitanunuliwa Bulgaria, Poland na Slovakia kisha ziende Ukraine. Bila shaka zitakuwa ni hizohizo MiG-29 za Kirusi. Ila ni upgraded!EU wamesema watatoa fighter jets kwa Ukraine. Huu sasa ujinga kuendeleza mgogoro, hii vita ilibidi iishie kwenye mazungumzo yatakayofanyika ila Westerns wanazidi kutuma silaha. Ukraine hawajui kuendesha ndege yoyote inayotumika na EU members ukiachana na members kama wawili hivi wenye Mig-29 zilizozeeka hazina hata spare parts. Ukraine wanatumia Mig-29 ambazo walirithi baada ya Soviet Union. Sasa hizo ndege za EU nani ataendesha kama sio wao, mbona kama wanalazimisha vita iwe ya Russia vs NATO.
Vita ingeisha mapema kwa mazungumzo
Iwe,, kwani Jana wamenfanya Huyu PUTOUT (PUT-IN)Wanamjoke Putin, jamaa ni kama kaja kuwazawadia majamaa dhana za kivita, inawezekanaje una run out of fuel means huna calculations, au wanajeshi wake wanamhujumu, kapigika sana hususani jana.
#STOP WAR