Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Jamani niye marafiki wa Putin mnatumia akili ya ajabu. Unataja goli za upande mmoja pekee, tayari unatangaza hitimisho.
Utaambiwa britanicca hii Vita imekushushia heshima sana hahahaha, we subili waje
Hahaha hahaha kwani Nina heshima gani, sina heshima, waache wapotoshweUtaambiwa britanicca hii Vita imekushushia heshima sana hahahaha, we subili waje
Nakumbuka ule Uzi aliundika vizuri sana wakati ule na niliusoma wote na kuuelewaHuyuhuyu aliemuelezea DR. Shika kua jasusi? Mtani wangu anaethamini ndizi na kahawa na mwanamke au mwingine?
Yaani source yako ni tweet ya mtu anaejiita @kyiv independent, kwahiyo nawe umegeuka great thinker wa kuleta huu uharo humu jukwaani duh!. Yaani ni sawa na mie pro- Putin nitweet au nipost insta kuwa Putin ameichukua Odessa halafu mpuuzi Kama wewe aje afungue thread humu aseme Odessa imechukuliwa tayari halafu source ni fantasy tweet yangu au post yangu ya insta. Hao ndo wabongo.!!!Mshahara imepungua kwa asilimia 11 Kwa wafanyakazi,
Ni mwezi wa pili wamelipwa Robo Tatu,
Account za pesa za Urusi nje zimekuwa seized
Wa shirika wake kibiashara wameathirika zaidi na kusitisha baadhi ya biashara na Urusi
Hawategemei kutoa ajira mpya Kwa miezi 36 ijayo wataajiri Kwa vitengo maalumu tu!
Bloomberg: Russia’s economy deals with the worst recession in three decades.
Bloomberg cited an internal forecast by Russia's Finance Ministry.
Britanicca
wanaogopa warusi?
UPDATES:
Neo-Nazi Azov Battalion Ordered by Pentagon to Never Surrender Because of US, UK, French and NATO Officers Trapped in Azovstal
Mathanzua tena! (na habari zake potovu anazonakili kwenye tovuti za kibiashara za Marekani zinazouza nadharia za njama - kama juzi kuhusu jenerali wa Kanada huko Azovstal aliyekamatwa na Warusi lakini kwa sababu ambazo bado ni siri kabisa Warusi hawamwonyeshi wala kumtangaza!)UPDATES:
Neo-Nazi Azov Battalion Ordered by Pentagon to Never Surrender Because of US, UK, French and NATO Officers Trapped in Azovstal
Hasira za nn waandamanaji wakati UKRAINE anarejesha majimbo yake huko DON BASSBalozi wa Urusi Poland amenyeshewa rangi nyekundu na waandamanaji wanaopinga uvumizi wa Urusi Ukraine.
View attachment 2218273
BollywoodSpertsnaz Nilisoma nao wawili hawa jamaa huwa wanakula misumari kama karanga
Some time wakichoka kubeba kichwa huwa wanakikata wanakiweka kwenye begi kisha wanaendelea na safari
Sema kuna watatu walijaribu kuingia anga zangu aaaah kichapo nilichowapa acha kabisa kwanza nilikuwa nawapa vifuti the nawarusha juu kama mpira wakiwa juu nawafata huko huko kwa tik tak
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaAaaah huyo jamaa wewe haumjui mm nilisoma nae aliwai kupiga hat-trick ya kushinda tuzo ya ujinga shuleni mara tatu mfurulizo jina lake halisi ni Rupia Amos
Sent using Jamii Forums mobile app
bila mkaubaliano yyte , hiyo ndio logic kwann uamke uamue kubadilisha mipaka kimabavYugoslavia haikuvamiwa na yeyote. Yugoslavia ilikuwa shirikisho la jamhuri na sehemu zake ziliachana mwaka 1992. Serbia ilijaribu kwa muda kutwaa maeneo ya jamhuri jirani kama Kroatia na Bosnia, na hapo sehemu za jeshi lake zilianza kuua Waislamu wengi wa Bosnia. Hapo nchi za Ulaya ziliingia kati, lakini hazikuvamia, zilitumia jeshi la anga.
Sasa eleze wewe kwa nini unaleta Yugoslavia nikitaja mfano wa mkataba wa Helsinnki kuhusu usalama na ushirikiano katika Ulaya ambako ncho zote za Ulaya zilipatana
1) mipaka ndani ya Ulaya isibadilishwe tena kwa nguvu
2) kila nchi ina haki kuamua yenyewe kama inataka kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine.
Wakati ule Serbia (si Yugoslavia) ilivamia nchi jirani ikajaribu kubadilisha mipaka. Sasa Putin anavamia nchi jirani anajaribu kubadilisha mipaka.
Pamoja na kuzuia nchi jirani isichague ushirikiano wake na nchi nyingine.
yote hayo hayaondoi ukweli kuwa Putin kazingua kuvamia Ukraine , hizo ni mambo za uvamiz zilipendwaMaoni yangu leo juu ya Tamasha la Victory Day la Russia Federation.
Nimeitizama kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuna kitu niliki'note ingawa sikutaka kukurupuka kukisema immediately baada ya tukio.
Ila kabla siku haijaisha wacha niseme ya Moyoni.
[emoji95] Katika wakati ambao dunia ipo katika "Chaos", isingekuwa busara ku-show off full military capabilities ya Vifaa vya kijeshi kwenye Gwaride kwani ingeleta tafsiri as if Russia anafanya vitisho to the rest of the world...
Na hiki tunafurah hakijatokea, this show how Russia inaongozwa na Viongozi wenye hekima na wako humble.
[emoji95] Media zote kubwa zilikuwa zikieneza habari kua Putin will make some major announcements hii leo kwenye Victory Day. Wengine walienda mbali zaidi kudai kua leo Putin ata'declare war wazi wazi kwa Ukraine.
Lakini kawa-outshine with their wrong predictions, katoa nice speech with zero announcements ya any kind related to War. None at all... Hapa kaonesha wazi namna alivo systematic kwa kutochanganya his military policy with Holidays.
[emoji95] Na katika hiki kipindi ambacho "Truth is first Casualty"... Kujizuia kutozungumza mengi kuhusu Ukraine zaidi ya kile kidogo alichozungumza kwangu mie naona ni busara ya hali ya juu...
Kwasababu kila neno lingebinuliwa na kubadilishwa uhalisia wake...
Na it look like western walikuwa wamejipanga kwenye hii Victory Day, maana ajab huko YouTube all western Mainstream Media I know zilikuwa live kurusha matangazo hayo moja kwa moja...
Ikumbukwe ni jana tu ahead of victory day walitangza kwamba Russia Army wameua watoto zaidi ya 600... Kama kawaida yao ku-demonize RF na ku'divert attention ndio Priority yao.
[emoji95] Kwa ufupi nilichokisia toka kwake katika hotuba yake kaeleza sababu haswa za kuendesha military operation hapo Ukraine, akapongeza advancement inayofanywa na jeshi lake ila zaidi akipongeza achievement of the Soviet people during World War 2.
Na nahisi lau ka hizi MSM zingeiona hotuba yake kabla zingeunyuti [emoji23]... hapa naona kama wameishobokea huku walichokitarajia kama kauli za vitisho na chokochoko za kupamba headlines zao sicho walichokipata...
Life z too funny indeed [emoji847]
hahaaa jukwaa la mapenz ? hahahaaaaaTunatoka Jf mpaka tiktok falla sana wewe mtoto. Huko tiktok ndo unapatia taarifa zako ndo unazileta humu jf. Dogo inaishusha hadhi jf huku kuna critical thinkers afu unataka niamin kwmba akili yako ipo sawa. Endelea kujitiktok dogo mimi ni mzee mzima situmii hiyo mitandao.
Ndomana tunasema daily huu uzi umevamiwa na watoto msio na uelewa wowote na vita, kama tiktok ndo source ya taarifa zako dogo nenda jukwaa la mapenzi tu huku hakukufai kabisaa unajaza uzi tu.
ndan ya donbass kuna hamasa ya urusi kushinikiza ijitenge ila wapo raia wengi wanaipinga kujitengaKumbe kushambulia nchi nyingine kwa mashambulizi ya anga sio uvamizi?
Kama Nato walikuwa na haki ya kuzihami kosovo iweze kujitenga ili kuondokana na unyanyasaji wa Serbia, basi na Urusi ina haki ya kuihami Dombas ili iondokane na uonevu wa Ukraine.