Ndiyo yakiwakimbiza AfghanHiyo ndio inaitwa St. Javelin kutoka MarekaniView attachment 2133417
Kwani makamu mwenyekiti wa kile chama yukoje?Tena kwa wingi wa kura CCM ilizopata Dar, hii mianamume mioga yote ni mataga.
Au unamuinaje katibu mwenezi wa kijani? Mtoto laini, Mtoto cake
Ndio maana hataki NATO wawe karibu yake. Yeye hadi atoke huko kote maana yake atatumia muda mrefu...Logistic system ya Jeshi lake kwenye Vita ya nchi ndogo iliyo mpakani mwake inamshinda,huyu ndio ataweza kupambana na Marekani kwa vita ya kawaida bila Nuclear? Maana hatujawahi kusikia popote Jeshi la Marekani limekumbwa na uhaba wa mafuta kwa vifaa vyake tena anapigania maelfu ya maili kutoka kwake.
Putin hatabirikiEU wamesema watatoa fighter jets kwa Ukraine. Huu sasa ujinga kuendeleza mgogoro, hii vita ilibidi iishie kwenye mazungumzo yatakayofanyika ila Westerns wanazidi kutuma silaha. Ukraine hawajui kuendesha ndege yoyote inayotumika na EU members ukiachana na members kama wawili hivi wenye Mig-29 zilizozeeka hazina hata spare parts. Ukraine wanatumia Mig-29 ambazo walirithi baada ya Soviet Union. Sasa hizo ndege za EU nani ataendesha kama sio wao, mbona kama wanalazimisha vita iwe ya Russia vs NATO.
Vita ingeisha mapema kwa mazungumzo
Alimtandika nani huko German?Kumbe hujui historia ya Putin vizuri
Jamaa Alikuwa KGB mzuri SANA na lipelekwa Station ya German na kule hawatamsahau maana aliwatandika sawa SAWA
WanamuondoaChairman wa UNSC ni Russia na sasa balozi wake nadhani anamaliza muda wake kesho. Kuna uwezekano Russia ikaondolewa kwenye UNSC
Kwani Belarus i vita inayoendelea muhusu adi aishambulie Ukraine?EU wamesema watatoa fighter jets kwa Ukraine. Huu sasa ujinga kuendeleza mgogoro, hii vita ilibidi iishie kwenye mazungumzo yatakayofanyika ila Westerns wanazidi kutuma silaha. Ukraine hawajui kuendesha ndege yoyote inayotumika na EU members ukiachana na members kama wawili hivi wenye Mig-29 zilizozeeka hazina hata spare parts. Ukraine wanatumia Mig-29 ambazo walirithi baada ya Soviet Union. Sasa hizo ndege za EU nani ataendesha kama sio wao, mbona kama wanalazimisha vita iwe ya Russia vs NATO.
Vita ingeisha mapema kwa mazungumzo
Putin hana marafiki, US ana washirika na marafiki kama woteEU na NATO wameshamuona PUTIN kateleza kwahiyo hapa hapa ndio pakummaliza. Putin aliingia vinginene kakutana nahali nyingine, alinua eazy tu anapiga anafukuza raisi anaweka wake...
Ila jaman hata kama n dharau hii imezidiDefensive unajua maana yake au unakurupuka???
Kama vitu hujui uliza, aliyekwambia defensive sio kuua nani. Hujaona wanajeshi wa Russia waliokufa. Kichwa unatumia kama sanduku la kuhifadhia meno
Urusi hamta ruhusiwa mfanye hayo na huu ndio mwisho wenuNa watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.
Wote watajiunga nato sasa sijui Russia atafanyajeSi ilipigwa mkwara juzi na Russia,nadhani hii ni wake up kwa Sweden,Finland na Nordic countries zingine wakiwemo akina Kazakhstan,hazitakubali kupangiwa maisha tena na Russia.
Hii ni technical error Russia imefanya.
Kwa hiyo Mara/Kagera au Zanzibar wakitaka kujitenga kutoka JMT je wewe ni nani uwakatalie na kuanza kuwapiga.?swali lingine,kama majimbo ya luhansk na zelensk yanataka kujitenga kutoka ukraine,wewe ni nani uwakatalie na unaanza kuwapiga?
Kaka unafanya tu speculation tu wewe sio war specialist, Russia anafanya heavy offensive tena mpaka air support unasema ametumia nguvu kidogo, you are too bias , kimbinu Russia ndio kafika mwisho hawezi kufanya destruction dunia imuangalie tu bila retaliation, dunia nzima Putin anaonekana aggressive kwa hiyo acha tuone futurePunguza jazba sisi washabiki tu. Kutukana hakumalizi vita hivi...
Watatumia uwanja gani kuzirusha hizo wakati wakati viwanja vyote vimeteketezwa.Kuna taarifa kuwa, hizo ndege zitanunuliwa Bulgaria, Poland na Slovakia kisha ziende Ukraine. Bila shaka zitakuwa ni hizohizo MiG-29 za Kirusi. Ila ni upgraded!
Wengi awaelewiUkraine ndiyo kiburi...
Ni sawa na Zanzibar imvimbie Tanzania... Ni makonzi tu..
Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa mpaka sasa uharibifu wa miundo mbinu ungekuwa mkubwa sana na walio uawa wangekuwa maelfu kwa maelfu tofauti na sasa.Ushabiki mwingine unakera
Kaka unafanya tu speculation tu wewe sio war specialist, Russia anafanya heavy offensive tena mpaka air support unasema ametumia nguvu kidogo, you are too bias , kimbinu Russia ndio kafika mwisho hawezi kufanya destruction dunia imuangalie tu bila retaliation, dunia nzima Putin anaonekana aggressive kwa hiyo acha tuone future
Je. Na wewe Mkuu, unaamini Russia ni aggressive?dunia nzima Putin anaonekana aggressive kwa hiyo acha tuone future
Western media wameamua kusema ukweli sasa kwamba Ukraine kachakaa na hapo bado Russia kasema silaha haitashushwa chini hata wakati wa mazungumzo labda baada ya mazungumzo na inategemea na makubaliano wakati wa mazungumzo