LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Logistic system ya Jeshi lake kwenye Vita ya nchi ndogo iliyo mpakani mwake inamshinda,huyu ndio ataweza kupambana na Marekani kwa vita ya kawaida bila Nuclear? Maana hatujawahi kusikia popote Jeshi la Marekani limekumbwa na uhaba wa mafuta kwa vifaa vyake tena anapigania maelfu ya maili kutoka kwake.
Ndio maana hataki NATO wawe karibu yake. Yeye hadi atoke huko kote maana yake atatumia muda mrefu...
Hili limekuwa funzo kwa Mchina, hataenda Taiwan
 
EU wamesema watatoa fighter jets kwa Ukraine. Huu sasa ujinga kuendeleza mgogoro, hii vita ilibidi iishie kwenye mazungumzo yatakayofanyika ila Westerns wanazidi kutuma silaha. Ukraine hawajui kuendesha ndege yoyote inayotumika na EU members ukiachana na members kama wawili hivi wenye Mig-29 zilizozeeka hazina hata spare parts. Ukraine wanatumia Mig-29 ambazo walirithi baada ya Soviet Union. Sasa hizo ndege za EU nani ataendesha kama sio wao, mbona kama wanalazimisha vita iwe ya Russia vs NATO.

Vita ingeisha mapema kwa mazungumzo
Putin hatabiriki
 
Kwani Belarus i vita inayoendelea muhusu adi aishambulie Ukraine?
 
Na watu wengi hawaelewi kuwa nguvu anayoitumia Urusi ni ndogo. Ikiwa mkakati wake hautokamilika kwa muda aliyojiwekea. Suala litakalobaki ni moja tu nalo amalize vita. Akifikia hapo yule Rais anayetaka kuonekana shujaa watu wataanza kumuita mjinga.
Urusi hamta ruhusiwa mfanye hayo na huu ndio mwisho wenu
 
Punguza jazba sisi washabiki tu. Kutukana hakumalizi vita hivi...
Kaka unafanya tu speculation tu wewe sio war specialist, Russia anafanya heavy offensive tena mpaka air support unasema ametumia nguvu kidogo, you are too bias , kimbinu Russia ndio kafika mwisho hawezi kufanya destruction dunia imuangalie tu bila retaliation, dunia nzima Putin anaonekana aggressive kwa hiyo acha tuone future
 
Ushabiki mwingine unakera

Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa mpaka sasa uharibifu wa miundo mbinu ungekuwa mkubwa sana na walio uawa wangekuwa maelfu kwa maelfu tofauti na sasa.

Hapa ni kuomba mazungumzo ya leo yafauru ili watu wasiendelee kuteseka.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ni moto.
Screenshot_20220228-071753.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom