Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Oh kumbe na kharkiv nayo ilikuwa ishaenda? Didn't know that [emoji848]Khaviv has been liberated, on that side the russian military has been pushed behind and now they have reduced themselves to guerrilla warriors, ambushing and running back to Russia.
Ukraine na hao Nato wanapaswa kupeleka kikosi cha wokovu kule mariupol kwenye kiwanda cha Azovstal walichokwama wapiganaji wake. Ikiwa ni kweli wanajali utu, basi wawaokoe wale watu, wamelia sana na kuhuzunika sana. Embu fikiria ikiwa ni baba yako yupo shimoni kwa miezi miwili?
Swali lingine la kujiuliza, ikiwa Nato ni taasisi ya kujilinda, inakuaje ina recruit members wengine ambao ni Jirani na Russia? Wana lengo gani? Hivi Russia akiunda alliance ya kijeshi na mexco au cuba US atakubali?
Je Russia atakubali hizi nordic countries kujiunga Nato? Na ikiwa Sweden na Finland watakaza shingo, nini itakua hatma yao na ulaya kwa ujumla?
Ili heshima ije ni lazima watu waonyeshane makali, natabiri vita ingine matata ya silaha nzito ikiwa Finland na Sweden wataendelea kutikisa kiberiti.. ikumbukwe kua Rais wa zamani wa urusi na mkuu wa baraza la usalama Medved alionya last month kua, watapeleka mitambo ya nyukilia pale KALININGRAD ikiwa Finland na Sweden watajiunga Nato, hii inamaanisha kua nchi kubwa za ulaya zitakua chini ya threat ya nyukilia hivyo watachagua wenyewe vita ya nyukilia au wawasaidie Sweden na Finland watakapoanza kuchapwa.
Huku kote sidhani kama tutafika, hivyo naweza kubashiri kua Sweden na Finland hawatajiunga Nato. Somo la Ukraine litakua ni zuri kwao.
The irreplaceable
Hata wewe leta hela update trophyMmeanza
What did they expect from capitalists?!?!Someni hadi mwisho... From Ukrainian Channel. Inatia huruma mno.
#Inside
Our source reports that the "new" Minister of Agrarian Policy and Food, the ex-people's deputy from the Servant of the People, Nikolai Solsky exports agricultural products abroad.
This year, the sowing campaign will fail, and by the autumn Ukraine will face a food crisis. But instead of keeping the goods inside the country, wagons with food are exported.
And it's not just about paying for American Lend-Lease products, but also about the criminal desire to make money during the war.
Mykola Solsky and the agricultural enterprises controlled by the official are in the TOP-100 latifundists of Ukraine.
The official-businessman manages companies in 4 regions of the country, owns elevators, and most importantly, the transport railway company Promvagontrans, which has 400 grain carriers at its disposal.
While still a deputy, Solsky became one of the developers of the "Law on lifting the moratorium on the purchase of state lands." In fact, the law allows Ukrainian fertile lands to be auctioned off.
According to our information, the ministry is already preparing amendments that will allow foreign investors to buy fertile land.
As a result, Ukraine will finally turn into a raw material appendage of Europe with the tacit consent of the country's leadership.
Twende kwa mifano halisi na vitendo-UK anapeleka silaha Ukraine na urusi hajafanya chochote zaidi ya maneno ya mbwa koko kuwa atakayemsaidia ukraine atakiona na mpaka Boris kaenda Kyiev silaha za uk zilizoenda ukraine zimelipua vifaru kibao vya urusi na urusi hajafanya chochote kwa uk.Ok so if sweden is under attack what can uk do!?
Ukraine is under attack now and the maighty usa can't do nothing whag uk will do!?
Uk mwenyewe anatakiwa ajiulize what will they do in case wakivamiwa
Labda walihisi wako so special kisa wana ngozi nyeupe [emoji1]What did they expect from capitalists?!?!
Mrusi zaidi wewe ,ulaya wameanza kutafuta altenative. Unafikiri ulaya ni Tz .Mnasubiri akili za waziri wenu which has no long term solution. Mafuta yakipanda nao wanalialia kama mimi
Champagnee inakuhusu hii Mr Printer [emoji23], then kwa Tsh ukisoma haya maelezo chini ya exPresident wa Russia yanarejea kwenye ile issue tulowahi zungumza huko nyuma... Russia sio kwamba hajui mbinu za US dhidi yake... Ni swala la mda tu tutaona kila mtu matokeo yake.
[emoji635][emoji779]Dmitry Medvedev: The goal of US assistance to Ukraine is to continue the proxy war against Russia, the desire to inflict a heavy defeat on our country, limit its economic development and political influence in the world.
Will not work. Their printing press, due to which America is constantly increasing its already inflated national debt, will break faster. But the goals of the special operation will be achieved
Unawalisha maneno Warusi ni wapi na lini wamewahi kusema atakayepeleka silaha cha moto atakiona!?Twende kwa mifano halisi na vitendo-UK anapeleka silaha Ukraine na urusi hajafanya chochote zaidi ya maneno ya mbwa koko kuwa atakayemsaidia ukraine atakiona na mpaka Boris kaenda Kyiev silaha za uk zilizoenda ukraine zimelipua vifaru kibao vya urusi na urusi hajafanya chochote kwa uk.
BalaaaaaWale wa Mariupol nahisi washatolewa sadaka. Attempt nyingi walizifanya mwanzoni kuwaokoa ila walishindwa. Kuna mke mmoja wa Serviceman wa jeshi la Ukraine alipost video akiomba kwa huyo Comedian kuwasaidia wajeda walioko huko donbass hali ngumu kabla hawajazungukwa ili yasijirudie kama ya hapo Mariupol lakini ndio kwanza Jamaa anaita waburudishaji kuimba kwenye concert hapo Kyiv.
Finland na Sweden binafsi naona kama alternative zinazoandaliwa endapo wakifail Ukraine.
Kujiunga labda wanaweza fanya hivo ila matokeo ya hicho kitendo hawatakuja kukisahau abadani. Sio kwa Fins na Sweds tu bali EU nzima. Kama kweli hizo Nukes zikipelekwa hapo Kaliningrad wataishi maisha ya wasi wasi mno tofauti na hivi sasa.
Kinachofurahisha Organizer wa haya yote yupo umbali wa miles of KM kutoka eneo la tukio.
Tena Uiengereza amejifanya ndie msemaji wa jeshi la Ukraine.Kilaa baada ya masaa anatoa takwimu za kipropaganda kuivunja moyo Urusi na kuwapa matumaini jeshi la Ukraine. Putin amekuwa mtu wa huruma sana.Twende kwa mifano halisi na vitendo-UK anapeleka silaha Ukraine na urusi hajafanya chochote zaidi ya maneno ya mbwa koko kuwa atakayemsaidia ukraine atakiona na mpaka Boris kaenda Kyiev silaha za uk zilizoenda ukraine zimelipua vifaru kibao vya urusi na urusi hajafanya chochote kwa uk.
Italy kama Italia [emoji847]
Italian Prime Minister Draghi said that European companies can pay for gas in rubles.
This, in his opinion, does not violate the sanctions.
View attachment 2221090