LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
kama raia wa ukraine wanataka kujiunga na Nato wewe ni nani hadi uwazuie?
Bora zako wewe Mmarekani wa Tandahimba ni mwerevu sana kuliko hata Colonel Macgregor wa Jeshi la Marekani ktk kuona kuwa hakuna ubaya kwa Ukraine kuijiunga NATO na hivyo Marekani na NATO kuweka ngome zao za kijeshi Ukraine.

Colonel Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani anakujibu hivi Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine.

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
======



COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Hawataki kupiga raia na raisi anawaingiza kweny jeshi hii ni mbaya russia ana akili sio most overrated usidanganye kwa kuleta point hazipo

Wanataka kukuza ila anapigwa kwa timing kubwa na akili timamu sio sababu we ni mkristo basi unajiona ni mmarekani na UN kaa kwa kutulia
 
Mabomu ya Nuclear sio sawa na risasi eti useme uwe nazo nyingi ndio uweze kufanya total destruction, ukiwa na mabomu 15 tuu yanatosha kuangamiza Dunia. Na kwa akili yako wakati anatumia hayo mabomu yake yote hao wenzake watakuwa wapi?
Nani amezungumzia habari ya mabomu? Nimezungumzia stockpile ya Nuclear

Ni kama tuzungumzie kiasi cha gas ya mtwara kinachoweza kuvunwa Songas kwa kulinganisha na kiasi cha gas kwa nchi nyingine.
 
Hizi akili peleka mbagala.
 
Urusi sio kama wanavyo isema, israel huwa akipigwa na Hezbollah ana fanya surgical operations ndani ya iran na palestine with minimum casualty, urusi ana piga tu mpaka raia wasio na hatia
Wanakufaga RAIA wengi tu Nje na solders
 
wewe jamaa umekuaje[emoji848][emoji848][emoji848]
au kuna mtu kakuibia simu yako nini?
Mimi nimelivundua Hilo kitambo Sana huyu sio yupe T14 ninae mjua Mimi.

Maana Mimi Moja ya watu walio ni inspire kuwa humu Ni yeye,Nyani Ngabu,LeMutz,Malcom Lumumba,Abibu Anga,Matola,Mzee mwana Kijiji na wengine wa sampuli hyo. Ila huyu na gentacymane wamebadilika Sana.
 
Dollar yazidi kuimarika
 
Okey boss
 
Kwahyo Russia anao uwezo wa kuzipiga nchi zote Za NATO at the same time?
Ndio, ana uwezo huo, mkuu mabomu yako 8000+ au unadhani NYUKLIA inapigwa kama AK 47?? Nyuklia inainuka hapo hapo ni direction tu mzee.
 
Russian ni lazima wapunguzwe nguvu zao za kijeshi na kiuchumi HAWANA HEKIMA HATA KIDOGO, KWA KUWA UKRAINE NI NCHI HURU IACHWE IAMUE MAMBO YAKE KWA MAENDELEO YAKE.
Huu ndio mwisho wa nguvu za Putin.
Kuna watu watabisha lakini ndio ukweli.
Very soon migogoro ya ndani ya nchi itaanza kwa kasi kutokana na hali mbaya ya uchumi kupindukia.
Hakuna kitu kibaya kama migogoro ya ndani.
 
Wenzako washaanza kuweka hofu huko atauwawa wewe unafikiri wako wanacheza mdundiko

View attachment 2133711

View attachment 2133712
Tatizo hushirkishi sense yako mkuu kama hao wote unaowasema wangekuwa na uwezo wa kuyafanya hayo tayari Russia angekuwa ameishaiteka kiev lakini leo ni siku ya tano tangia muanzishe uvamizi niambie ni kitu gani cha maana cha ukrain mlichokiteka mpaka sasa zaidi ya kuuwa Raia na kubomoa majengo tu jambo ambalo ni la kawaida ata Ukrain akiamua ni sekunde tu kulipua lipua majengo ya wananchi wasio na Hatia apa Fussia tayari kashanasa n kajitia aibu kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…