Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu
Asante KWA picha
Tozo,kupanda bei KWA bidhaa hasa mafuta pamoja na mikataba 17 iliyosainiwa inazamisha serikali ya kufikirika!
Ukombozi unahitajika coz serikali imezama!!!
TUSUBIRI
 
Ukimaliza kunywa maji upunguze wenge mzee wetu, Familia bado inakutegemea. Unakoelekea sio kuzuri. Pole sana Mtanzania mwenzetu mwenye damu ya Uzunguni.
 
Unapoanza kwa kuweka Iran, india na China katika military alliance moja inaonyesha kwa jinsi gani hujui Geopolitics.
Hili jambo nilishalizungumzia hapo awali na kuna baadhi ya Pro Russia walikubaliana na Mimi. Kila nchi hapo ina ugomvi na mwenzake ambayo hayaja suluhishwa
Kutokana na historia ya Russia, hakuna nchi itakubali kuingia katika defense pact na yeye. Mwaka 1968 Russia pamoja na members kadhaa wa Warsaw Pact waliivamia fellow member Czechoslovakia kisa ni kuanzisha reforms katika communist party.
Hii ni sawa na Amerika kuivamia Britain ama France, hapo ndipo nchi za communist zilijua Russia sio wakuaminika kabisa. China haikupendezwa kabisa na hilo na waliungana na Czechoslovakia.
Uvamizi huo ndo ulikua mwanzo wa mwisho wa communism, USSR na Warsaw pact. Kama si ujinga huo Warsaw pact ingekua mpaka Leo.
Kwahio uliposikia 'Ghost of kiev' ulidhani kwamba kuna Ghost anaelinda Kiev heh? 🙄 🤔 hio ilikua mythical morale booster kwa majeshi ya Ukraine. Kwahio Russia wakijiita ' bear' inamaana wao ni dubu.
Ukraine mwishoe ilipinga kuwepo kwa mtu kama huyo baada ya Russia propagandists bila aibu kudai wamemuua 'Ghost of kiev'. Umeelewa hio context?
Russia wanakwambia Ukraine ilipoteza UCAV 30, helicopter 4, ndege 10, wanajeshi 50, armored warships 3 pale snake island. Wacha nichekee manake hio ni propaganda ya kipuzi sana nimewaikusoma 🤣 🤣 🤣
Ukraine hii hii ambayo mnasema haina Navy wala Air force. Ziko wapi picha basi tuamini. Don't be Naive bana you are better than this
 
Kwa kuwa wao ni vibaraka wa west
Kwa kuwa waliwaua warusi 14,000 wa Donbass kabla ya Feb. 24
Kwa kuwa wanatumika na Marekani kutengeneza biological weapons
Kwa kuwa wanakumbatia itikadi ya Nazism
Hao vibaraka wa west wapo kila pembe ya dunia (sio Ukraine pekee) ina maana hata hao wanatakiwa wakaombe msamaha kwa Putin.

Ushahidi uliotolewa kuhusu biological weapons haujajitosheleza ndio maana hata UN ilibaki kimya.

Huko Donbass hawajafa warusi pekee ila hata raia wema wa Ukraine, isitoshe waanzilishi na ufadhili wa hivyo Vita vya Donbass ni Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…