Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Binadamu waliozaliwa miaka ya 2000 uwaambie mambo ya kuabudu serikali hawataki. Na huko mbele ndo itakuwa ngumu zaidi.Ni kweli jamaa yuko overated, sovit haitarudi tena na yeye ndio anacho amini. Siasa za ujamaa na maxism ni upuuzi mtupu, watu wana taka uhuru sio serikali ku control kila kitu
Mzee issue ya Russia siyo kuteka Kiev. Ukraine na Russia ni ndugu kabisa. Lengo la Russia ni kumzuia Ukraine kujiunga NATO. Na hii imefanikiwa kwa 100%. Na tayari maafisa ya Ukraine wapo Belarus kuitikia wito wa Russia.Tatizo hushirkishi sense yako mkuu kama hao wote unaowasema wangekuwa na uwezo wa kuyafanya hayo tayari Russia angekuwa ameishaiteka kiev lakini leo ni siku ya tano tangia muanzishe uvamizi niambie ni kitu gani cha maana cha ukrain mlichokiteka mpaka sasa zaidi ya kuuwa Raia na kubomoa majengo tu jambo ambalo ni la kawaida ata Ukrain akiamua ni sekunde tu kulipua lipua majengo ya wananchi wasio na Hatia apa Fussia tayari kashanasa n kajitia aibu kupindukia
Huyo marekani na NATO ni vita gani alishawahi kushinda kwa siku tano!?Tatizo hushirkishi sense yako mkuu kama hao wote unaowasema wangekuwa na uwezo wa kuyafanya hayo tayari Russia angekuwa ameishaiteka kiev lakini leo ni siku ya tano tangia muanzishe uvamizi niambie ni kitu gani cha maana cha ukrain mlichokiteka mpaka sasa zaidi ya kuuwa Raia na kubomoa majengo tu jambo ambalo ni la kawaida ata Ukrain akiamua ni sekunde tu kulipua lipua majengo ya wananchi wasio na Hatia apa Fussia tayari kashanasa n kajitia aibu kupindukia
Hii umecopy na sidhani kama umeelewa,Dollar Strengthens Against Almost Everything on Russia Sanctions
Demand for greenback is rising as investors seek shelter
Equities slide as risk sentiment sours, funds focus on SWIFT
The dollar is rising against virtually every peer as fallout from the sanctions levied against Russia supercharge demand for the world’s reserve currency. Treasuries also rallied.
Traders are piling into the most liquid asset as sanctions on Russia’s central bank and lenders reverberate through global markets, with talk that the Federal Reserve may have to intervene in global markets. U.S. and European stock futures fell, while currencies from the euro to the rand dropped.
“USD is king, offering liquidity and safe haven attributes,” said Rodrigo Catril, a currency strategist National Australia Bank Ltd. “When trouble hits the road, you need to look for cover.”
King Dollar
USD has risen against every Group-of-10 peer in early Asia trading Monday
Bloomberg
Signs of funding strains became apparent in major money markets early Monday as spreads widened for very short-term eurodollar contracts. The gap between future Libor and Fed rates -- the FRA/OIS spread -- widened nine basis points for one-month contracts, the most since March 2020. March eurodollar contracts dropped relative to June peers, a classic sign of funding stress.
That comes as Credit Suisse Group AG warned of how the decision to exclude some Russian banks from the SWIFT messaging system could impact money markets as payments are missed and giant overdrafts are made. Strategist Zoltan Pozsar drew comparison with how the Fed had to supply dollars during the height of the pandemic panic in March 2020.
Market Uncertainties to Remain Very High for Weeks: Lee
Homin Lee, Asia macro strategist at Lombard Odier, discusses the current state of markets amid the escalations in Ukraine, the possibility of a global recession and his investment strategy. He speaks on “BloombergDaybreak: Asia.”
A gauge of the dollar rose as much as 0.7%, extending on last week’s 0.4% gain. Global bonds rallied, with 10-year Treasury yields dropping 7 basis points to 1.89% while yields on Australia’s 10-year government debt slumped as much 10 basis points.
The ruble was indicated 28% lower versus the dollar in offshore trading on Monday. The Russian currency has fallen more than 6% in onshore trade to underperform all its emerging-market peers in February as traders brace for President Vladimir Putin’s response to the toughened sanctions.
“Europe is bearing the brunt of the invasion’s initial impact, with higher energy costs hurting consumers and the level of sanctions pressuring European growth, with a knock-on effect for U.S. growth prospects,” Scott Glasser, chief investment officer at Clearbridge Investments and investment specialist Jeff Schulze, wrote in a note.
SWIFT Risk
“Russia’s ex-communication from SWIFT would isolate Russia financially from the world and could cripple its economy,” Jason Schenker, president of Prestige Economics, wrote in a note.
SWIFT is used for trillions of dollars worth of transactions around the globe.
Credit Suisse’s Pozsar has also estimated that Russia has about $300 billion of foreign currency held offshore -- enough to disrupt money markets if it’s frozen by sanctions or moved suddenly to avoid them.
READ MORE
Australian Bonds Rally as Russia Sanctions Spurs Haven Demand
SWIFT Ban Means the Fed May Need to Be Ready With Dollars
Russia Bonds, Now Junk, Set to Reel From Central Bank Sanctions
Bonds Are a Complicated Haven as Ukraine Stokes Inflation Risk
— With assistance by Garfield Clinton Reynolds, Natalia Kniazhevich, Benjamin Purvis, and Elizabeth Stanton
(Updates with price moves, adds chart and comment)
Share this article
Follow the authors
@Ruth_Liew10
+ Get alerts forRuth Carson
In this article
EUR
Euro Spot
1.1165EUR
-0.0103-0.9141%
NAB
NATL AUST BANK
28.94AUD
+0.03+0.10%
CSGN
CREDIT SUISS-REG
7.84CHF
+0.31+4.09%
Have a confidential tip for our reporters?Get in touch
Before it's here, it's on theBloomberg Terminal
From The Web
Online Jobs in USA from Tanzania, United Republic Of. Salaries Will Surprise You
Online Jobs In USA | Search Ads
Get up to 1,000,000 TZS Today!
Parimatch
Prices of Unsold New Cars In Dar Es Salaam Could Greatly Surprise You
Unsold Cars | Search
Work as a truck driver in Canada (visa sponsorships might be available)
Trucking Jobs
by TaboolaSponsored Links
Terms of Service Do Not Sell My Info (California) Trademarks Privacy Policy [emoji2398]2022 Bloomberg L.P. All Rights Reserved
Careers Made in NYC Advertise Ad Choices Help
Your monthly limit of
Sasa hii yako ni blah blah tu,hatumii nguvu nyingi kilichompfanya aanzishe vita ni nini sasa? Kubalini tu,kakutana na upinzani mkali,msianze kupindua maneno hapa na vijisababu vyenuMkuu hapa hatuko kwenye mipasho bali tuko kwenye uhalisia.
Kwenye hivi vita Urusi hautumii nguvu nyingi na ndio maana unaona mauaji ya raia ni kidogo na uharibifu wa miundo mbinu sio mkubwa sana.
Hivi unaya kumbuka mashambulizi yaliyo fanywa na Urusi kwenye mji wa Allepo nchini Syria?
Hivi unadhani Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa hayo majengo unayo ona kwenye miji ya Ukraine yange kuwepo ?
Hata Idadi ya walio uawa sasa hivi ingekuwa maelfu tofauti na sasa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kwa maafisa wa Russia wao wako wapi kuomba poo kwa Ukrain maana mlioomba mazungumzo ni nyinyi na sio Ukrain so kifupi mmepigwa n kitu kizito kichwani chaliMzee issue ya Russia siyo kuteka Kiev. Ukraine na Russia ni ndugu kabisa. Lengo la Russia ni kumzuia Ukraine kujiunga NATO. Na hii imefanikiwa kwa 100%. Na tayari maafisa ya Ukraine wapo Belarus kuitikia wito wa Russia.
Usiichukulie Russia kama manzese.
Live life live life. Hili jina linatakiwa lipingane kabisa na majaribio ya mabomu duniani.Hivo vikwazo ndio alivyowekewa Iran, Cuba, na North Korea zaidi ya miaka sitini na bado wanafanya majaribio ya silaha!?
I don't argue with stupid.Kwa maafisa wa Russia wao wako wapi kuomba poo kwa Ukrain maana mlioomba mazungumzo ni nyinyi na sio Ukrain so kifupi mmepigwa n kitu kizito kichwani chali
Kuishi duniani haitakiwi kupingana na uhalisia, Maisha yanakuwa matamu ukiukubaliLive life live life. Hili jina linatakiwa lipingane kabisa na majaribio ya mabomu duniani.
Tunatakiwa tulaani alichofanya USA na tulaani anachofanya Russia. Sio tunabariki anachofanya Russia kwa sababu USA anafanya na haambiwi kitu.Kuna watu Huwa na vichwa vigumu na kufunga upeo wa mawazo kuna kubaki na mawazo yao kama maziwa ya mgando.
Mbona kuchambua hii vita ni unatumia hata akili ya darasa la 6 tu. Unajua kabisa Ukraine atapata support ya mataifa almost 7. Sasa unadai eti kwamba Ameishiwa katumia full force, ivi zimo kweli kichwani?
Unajua strategies za kivita, Unaijua full force ya Russia wewe? Vitu vingine ni utoto tu, Yani atumie full force kwa nchi jirani! Wakati unajua utakutana na mataifa mengi yakikupinga?
Swala la kusema kuwasha Nuclear ni kuonyesha kwamba yuko serious na anachokifanya na ndio uanaume, Unatishiwa na majambazi alafu unatishia kwa kunoa panga wakati una AKA 47 Hahaha
Dunia ijue kwamba, Russia ndio nchi pekeee kwenye kizazi cha leo ambayo imechukua mamuzi ambayo nchi nyingine imeshindwa kufanya, tumpongeze kwa hilo.
Kingine USA ndio watu pekee waliojichukulia mamuzi kama ya Russia bila kupewa vikwazo vyovyote, Jiulize USA akifanya hivi nani atamuonya au kumpa adhabu?
Kuna watu Huwa na vichwa vigumu na kufunga upeo wa mawazo yao na kubaki na mawazo yao kama maziwa ya mgando.
Mbona kuchambua hii vita ni unatumia hata akili ya darasa la 6 tu. Unajua kabisa Ukraine atapata support ya mataifa almost 7. Sasa unadai eti kwamba Ameishiwa katumia full force, ivi zimo kweli kichwani?
Unajua strategies za kivita, Unaijua full force ya Russia wewe? Vitu vingine ni utoto tu, Yani atumie full force kwa nchi jirani! Wakati unajua utakutana na mataifa mengi yakikupinga?
Swala la kusema kuwasha Nuclear ni kuonyesha kwamba yuko serious na anachokifanya na ndio uanaume, Unatishiwa na majambazi alafu unatishia kwa kunoa panga wakati una AKA 47 Hahaha
Dunia ijue kwamba, Russia ndio nchi pekeee kwenye kizazi cha leo ambayo imechukua mamuzi ambayo nchi nyingine imeshindwa kufanya, tumpongeze kwa hilo.
Kingine USA ndio watu pekee waliojichukulia mamuzi kama ya Russia bila kupewa vikwazo vyovyote, Jiulize USA akifanya hivi nani atamuonya au kumpa adhabu?
Hakuna Specialist wa vita humu bali kuna wachambuzi ambao tunatumia Akili kuchambua kinachoonekana. BBC, SKYNEWS, YOUTUBE, FACEBOOK, GOOGLE, CNN Vyote ni vibaraka vya USA na vingine vingi, So Hata ukiona utoaji wa Habari utagundua kitu, Russia karusha makombora afu unasikia wanajeshi wa Russia wamekufa .Tumieni hata akili ya chai jaba mtaweza kupata kitu.
LIBYA, SYRIA, IRAQ, MALI ni mikoa ya NATO??Russian ni lazima wapunguzwe nguvu zao za kijeshi na kiuchumi HAWANA HEKIMA HATA KIDOGO, KWA KUWA UKRAINE NI NCHI HURU IACHWE IAMUE MAMBO YAKE KWA MAENDELEO YAKE.
Warusi wa kwa mtogole mmeanza vi propaganda vyenu uchwala,huyu Putin anashindwa nini kuigeuza sasa Ukraine kuwa majivu kwa sasa kama hiyo jeuri anayo? Dunia ya leo hii uigeuze Nchi kuwa majivu wakuangalie tu? Hebu kwanza kahangaikeni huko na vikwazo vya kiuchumi,sasa hivi pesa vao sasa inaporomoka kushinda hata madafu ya Mama Samia.Kwani kuna RAIA wa USA walikuwa wanataka USA avamie Iraq,ukweli ni kuwa western ndio wanamiliki vyombo vya habari na wanatumia kila aina ya propaganda kumchafua Russia.
Na kweli lazima watumie hizo propaganda maana wanajua uwezo wa Urusi na wasipofanya hivyo Ukraine itakuwa majivu.
Kingine inatakiwa ujue kuwa vita inaishia kwenye mji mkuu na ndio mrusi alipo.Tatizo hushirkishi sense yako mkuu kama hao wote unaowasema wangekuwa na uwezo wa kuyafanya hayo tayari Russia angekuwa ameishaiteka kiev lakini leo ni siku ya tano tangia muanzishe uvamizi niambie ni kitu gani cha maana cha ukrain mlichokiteka mpaka sasa zaidi ya kuuwa Raia na kubomoa majengo tu jambo ambalo ni la kawaida ata Ukrain akiamua ni sekunde tu kulipua lipua majengo ya wananchi wasio na Hatia apa Fussia tayari kashanasa n kajitia aibu kupindukia
Na wewe mrusi wa Manerumango unajua nini kuhusu uwezo wa NATO + USA.USA+NATO wanajua uwezo wa Urusi kijeshi na kutumia kila aina ya propaganda kumrudisha nyuma-lakini MTANZANIA aliyoko Tandale anakuwambia Russia sio chochote.
Inaonesha Ulaya inataka Urusi ubabe wake uisheWataleta kisingizio kwamba aliwahakikishia havamii ila kavamia. Ukraine ikilazimisha sana muda si mrefu tutaona Tu-22 zinakuja na dumb dombs mjini.
Su-29 za Ukraine zinazoletwa na EU zikapambane na Flanker family za Urusi. Hapo ni dogfights
Russian soldiers
Sasa wewe ndezi unaandika NATO + USA Huu ni undezi unaandika kitu usichokijua.Na wewe mrusi wa Manerumango unajua nini kuhusu uwezo wa NATO + USA.