Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
USA mbele ya Russia ni mchumba.Amani ikitafutwa unaita wanayoitafuta wanyonge. Ww hutaki turudi kwenye maisha ya kawaida yasiyohusisha kisingizio cha vita vya Ukraine?
Kisu kimegusa mfupa mzeee ....Ni leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje
Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa bwana .....wanaongea hiki ukiwabana wanahama wanabadili stori ....
Kama kweli putin yeye ni mwanaume hilo swala alikubaliComedy wenu huyu [emoji3][emoji3]View attachment 2223613
Hapa unachotaka ni tujadili kuwa Urusi ana father of all bombs kama kipimo cha uwezo wake wa kumdhibiti USA kivita?USA mbele ya Russia ni mchumba.
Unalijua Father of All Bombs
kwahiyo unahisi hivyo vifaa vinaweza safirishwa na wanajeshi 60 tu ? au unahisi wanavipeleka kambini kwao ?Kaka jamaa alitumia sarcasm kuwajibu PRONATOAMERICA ..... kama vile anawakubalia upumbavu wao Kwa kuwaauliza maswali wanayokubaliana nayo kama ni kweli ama la.
Hakika mkuu.Kenyans hawaongei kiswahili kizuri na fasaha
Mfupa wenyewe wa Plastic ukakatwa kama mchicha.Kisu kimegusa mfupa mzeee ....
😂Hicho kifaru kikubwa zaidi ya basi la yutong f 12, maana inabeba abiria 58 na staff 2 unapata 60 ni kama hizo za abood.Vifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.
An avarage of 72 personnel per Tank,
Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.
Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.
Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
Vilaza hao ....mkuu sio kwamba ukijumlisha unapata 27350+!?.
Na wenyewe watapewa silaha za hatari kushinda hiyo Hypersonic ambayo pamoja na Russia kuwa nayo lakini haijawafanya washinde vita kumbuka wanajeshi wao zaidi ya 20,000 wameshakufa toka wafanye uvamizi wao.Kwahiyo watapewa mafunzo ya kujikinga na vifo hatapale wataposhambuliwa na hypersonic??
Okay. Unaweza kunitajia tangu USA iwepo kwenye uso wa dunia imewahi kushida vita gani!? Nami nitakutajia vita iliyoshida Russia.Hapa unachotaka ni tujadili kuwa Urusi ana father of all bombs kama kipimo cha uwezo wake wa kumdhibiti USA kivita?
[emoji23] modern tanks of Russia hizo... Kubwa kama ndege za Emirates[emoji23]Hicho kifaru kikubwa zaidi ya basi la yutong f 12, maana inabeba abiria 58 na staff 2 unapata 60 ni kama hizo za abood.
Russia yaikatia umeme Finland leo hii jumamosi...ni baada ya Finland kutolipia umeme wa mwezi huu May hadi sasa
Mwaka huu tutafahamu ukweli mwingi kuhusu Russia, kumbe Russia ni TANESCO ya nchi nyingi tena za maana huko Ulaya
View attachment 2223731View attachment 2223732
Kumbe wewe Mkenya? Sentensi yako ni fupi (maneno 6) ila makosa 2: "Kenyans" - inatakiwa kuwa "Wakenya"; "kiswahili" iwe "Kiswahili"...Kenyans hawaongei kiswahili kizuri na fasaha
Rais wa Ukraine anasema anaweza kuzungumzana Putin- ila sharti pasiwe na waamuzi
Wamekata, halafu??? Hakuna taa moja iliyozimika.Russia yaikatia umeme Finland leo hii jumamosi...ni baada ya Finland kutolipia umeme wa mwezi huu May hadi sasa
Mwaka huu tutafahamu ukweli mwingi kuhusu Russia, kumbe Russia ni TANESCO ya nchi nyingi tena za maana huko Ulaya
View attachment 2223731View attachment 2223732
Ha ha ha jamaa wanatoa punguzo km wanabagen biasharaSio 1,000 tena?