Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yes, everything is saying Ukraine has won the Battle of Kharkiv.

Russia is about to leave the city’s surrounding area completely to prioritize its problematic axes in Izium and Severodonetsk.

Remember the Russian conquest bravado from 2 months ago?
 
km mtoto wako akija kusoma hii comment yako atagundua kuwa baba alikuwa taahilaa 4G kias cha kutokujua vipengele vinavyohusika krk " uhuru wa kujitawala "
Mtoto wako akija kusoma neno 'taahilaa' atawaza mengi Sana kuhusu elimu yetu....
 
Unatumia ramani ya wapi Shekhe, huko Chechiniv warusi walishafurushwa na sasa hata huko Kharkiv wapo 10km karibu na mpaka wa Urusi wamechezea kichapo wamerudi nyuma.

Mykoliv hawapo tena wapo Kherson na Ukraine washaanza kusonga mbele kuelekea huko japo Kwa taratibu.

Hiyo ramani uliyotumia inaonyesha Ukraine yote imezungukwa wakati uhalisia haupo hivy
 

Sijui nani katuroga!
Nikuulize hivi kabla hujaandika hichi ulicho Andika Ulikaa ukatafakari au yamekusukuma Mahaba?!

Huelewi maana ya deen/Imani!
Deen/Imani sio Jina la mtu; Ilaha ni Kuyafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Mwanzilishi wa deen/Imani Husika!
Ni ukafiri kujiita muisilamu huku una banda la nguruwe unafuga!

Huwezi ukajiita Mkristo huku huna Upendo....
 
Kharkiv is a second strategic city. Yaani lazima palindwe sana
 
Nafahamu. Ndio maana alikimbia Somalia. Pia aliwahi kukimbia Vietnam na juzi kambia yeye na mashoga zake Afghanistan. Mengine yote ni visingizio asionekane kakimbia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…