NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hakiyanani wanatuletea habari za umbea [emoji23][emoji23], habari za maana kama hizi hawatoiLeo kazi ipo mpaka ifike jioni tutajua mengi sana. Ivi ofisi za bbc swahili kwa hapa Tanzania zipo wapi jaman wakuu.maana mpaka muda huu hii bahari hawajaipost sasa sijui haijawafikia.najitolea kuwapelekea ofisini kwao
Apigwe mtungi hakuna namnaAibu hii.
Russia wamewadhalilisha sana USA.
Admiral ni cheo kikubwa sana jeshini.
siku ukiondoa ushabiki kama wa Yanga na Simba au unazi kama wa CCM utaweza kuwa na mawazo huru. Russia hapigani na Ukrauine pekee. Aanapikana na Ulaya yote, Amerika ya Kaskaskazini yote na washirika wao wakiwemo Austarlia n.k Kwa ufupi ni vita kati ya Russia na Nchi zote za Kibepari. Hilo halihitaji kuvaa miwani.siku 7 zageuka kuwa 81 na bado mambo ni magumu. Supa power inapigana vita na nchi ndogo kijeshi kwa miezi 3 afu inaanza kurudisha majeshi nyuma - Dunia haikutegemea hili kutokea.
Okay isipokuwa za kidikteta tu au sio?!siku ukiondoa ushabiki kama wa Yanga na Simba au unazi kama wa CCM utaweza kuwa na mawazo huru. Russia hapigani na Ukrauine pekee. Aanapikana na Ulaya yote, Amerika ya Kaskaskazini yote na washirika wao wakiwemo Austarlia n.k Kwa ufupi ni vita kati ya Russia na Nchi zote za Kibepari. Hilo halihitaji kuvaa miwani.
Naam! Madictator hata hapa kwetu tulikuwa nao.Okay isipokuwa za kidikteta tu au sio?!
WENZIE WASHAJIPANGA KITAMBO SANA JUU YA MAMBOMtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO
Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza
Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu
Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka
Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso
Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe
Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata sul
lazima wafe usisahau kina John cena, spider Man, iron man, na wale wa kwenye fast and furiousNaomba tu US asiingie. Ataimaliza Russia na hata kumuua Putin.
Hebu fikiria akitumwa Van Damme,Rambo,Dolph si wataimaliza Russia..
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
kuna mwingine kasema siku 7Mara mseme 72 hrs , mara mseme siku 5 ... Hamna mjualo Kwa kweli.... Wewe siku 5 ulisikia wapi .. na wenzako wa Masaa 72 tumuamini nani katika upuuzi wa kwanza siku 5 na upuuzi wa pili wa masaa72!!?
We jamaa embu acha vituko.Kwani kuna miji ambayo RUSSIA aliiteka huko UKRAINE!!?
Hizo habari mbna hatujawahi kuziona wala kuzisikia
Maana kila leo tunasikia RF wanapelekewa moto tuu
Nyie watu bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
It may not be the World War 3 but we can't deny the fact that, Many events all over the world are well organized, well calculated to implement ambitions of those Masters behind. Ulishawahi kusikia habari zozote kuhusu Great Reset?Kwa wajuzi wa mambo ya hesabu.ww3 ndo hii ishafikaView attachment 2226673
Poland ni mwanachana siku nyingi sana.Mrusi kasema Sweden na Polland wakijiunga NATO watajuta...utakuwa ni uamuzi wa ki- kaburi.
Haya wacha tuone sasa ndo wanajiunga ivoo tuma makomnora yako tuone.
Finland na Sweden kwamba watapigwa hadi wachakaePoland ni mwanachana siku nyingi sana.
Mkuu wewe unawapenda mashoga!?Jamani ndugu yetu Mathanzua anatuletea tena maajabu kutoka chemchemi zake huko Marekani; kwa bahati mbaya anapenda kuchota penye matope matupu. Leo ni tena uvumi kutoka tovuti ya Hal Turner !! Huyu ni nani: mbaguzi mbaya, anayechukia watu weusi, Wayahudi na Washoga kwa pamoja na kusambaza takataka mara kwa mara. Sielewi kwa nini mtu wa Afrika ya MAshariki anapenda kupoteza muda wake kwenye tovuti za aina hii.....
Soma:
Hal Turner
Harold C. "Hal" Turner is a white supremacist true believer who has used radio and Internet broadcasts to disseminate his hate since the 1990s.
At the same time, he worked as an informant for the FBI between 2003 and 2007, providing information on white supremacist groups for the same government he frequently railed against. On his radio show, Turner has ranted about "bull-dyke lesbians," "savage Negro beasts," "f------," and even joked about a "portable n----- lyncher" machine. He has a nasty history of threatening political enemies, saying that they deserve to be killed and posting their addresses online. That practice caught up to him in August 2010, when he was convicted of threatening to assault and murder three federal judges.
Mifano ya chuki yake:
On Dec. 10, 2005, Turner marched in a rally planned by the neo-Nazi National Socialist Movement. The group's members were dressed in Nazi uniforms including brown stormtrooper outfits, black boots, and Nazi regalia. Speaking at the rally, Turner threatened a lynching campaign targeting blacks and Hispanics. "White people have a very nasty version of street justice," he said. "If these crime problems are not settled by the black and Hispanic communities, rest assured we will get our ropes and we will solve them for you."
On June 4, 2007, Turner claimed on his website that the Holocaust had never happened. He wrote, "Millions of dollars have been paid out to ‘holocaust survivors' and their descendants for something that DID NOT HAPPEN." In the post, Turner called for the criminal prosecution of Jewish Holocaust survivors who had sued for reparations.
Chanzo: Hal Turner