Sio vifaa tu, hata miji kujengeka hakuna mji ukafanana na wa NORTH KOREA.Umaskini wake wanazani kwansababu rahia kuwa na maisha ya kimaskini. Hawajui kupanga ni kuchagua.
Kachagua ku invest kwenye majeshi kuliko kitu kingine chochote kile, so sio maskini kama wanavyosema. Kwasababu nchi yake imejengeka vizuri tu, huwezi kufananisha na Tz.
Yani ukae useme North korea ni maskini, Unaweza kuifananisha North korea na Tanzania? Tanzania maskini Je ina vile vifaa kama vya North korea? Watu humu hamna kitu kichwani wengi ni watoto wa 2005 tu.View attachment 2133932View attachment 2133933View attachment 2133934View attachment 2133935View attachment 2133936
Kiduku nae kaona anapitwa,watu wamekalia kuongelea habari za Ukraine na Russia tu,kaamua ajiongeze 😅
Nenda kwenu mzee ukashugulikie masuala maji na flying toiletsUkishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
Shukrani Mkuu.Sio vifaa tu, hata miji kujengeka hakuna mji ukafanana na wa NORTH KOREA.
😆😆😆 mguu mmoja kabulini mmoja nje.Raisi anapokuwa anaishi kama digidigi...
Kuongea ni uhuru hata wewe unaruhusa kuongea mbona point yako ni ya hajabu hiviToka vita imeanza yeye ndo anapayuka tuuu... kutafuta huruma na anatumika kutengeneza propaganda za kumwonyesha PUTIN ni mbaya ili hata USA na NATO wakiweza kummaliza kabisa na hata kumuua watu wasishangae sana...
Wewe utaishi milele ushishangae wewe au mim tukafa kabla yake😆😆😆 mguu mmoja kabulini mmoja nje.
Jamaa anamaisha magumu sana sasaivi japo majeshi yake yanajitahidi kupambana.
Nusu saa iliyopita wawakilishi wa Ukraine wakiwasili BelarusView attachment 2133888
Unaujua mwenendo wa kivita wewe. Alafu unaujua umbali kutoka huko donbass mpaka Kiev wewe? Au unafikiria msafara wakati wa kivita kunakuwaga safari ya Moja kwa Moja, Unaijua ambush wewe. Au unafikiria hao waukrein Ni Adf nalu?.Mnaenda mbele na kurudi nyuma auizo miles zina panda na kushuk
Wewe ndiyo wale wa kukana hata asili yako,nyinyi ndiyo wale hata kuongea lugha yako ya asili hampendi,una ushamba mwingi sana,haya kwa hiyo wewe kujiita 'Venus'' ndiyo ujanja .Yes am proud na jina langu Nyamizi una la kuongezea?Yaani profile name inasadifu uwezo wako wa kufikiri. Nakuhakikishia wewe kweli ni Myamizi yaani umetokana na mama yako kunywa dawa za kienyeji. Yaani wewe asili yako ni ushetani.
Ndiyo Mkuu,bado nipo kwa Wazazi nakula na kulala tu,sina kazi yoyote,inabidi niwe mstari wa mbele kuwa m Ukraine wa hapa Msata 🤣Ila wewe Nyamizi nina wasiwasi utakuwa upo bado kwa wazazi maana saa nane usiku upo, kumi na moja asubuhi upo, mchana upo, yaani muda wote unatupia tu humu. Yaani unabidii kuliko mwanamchi wa Ukraine
You proud satanic names!?🤣🤣🤣Wewe ndiyo wale wa kukana hata asili yako,nyinyi ndiyo wale hata kuongea lugha yako ya asili hampendi,una ushamba mwingi sana,haya kwa hiyo wewe kujiita 'Venus'' ndiyo ujanja .Yes am proud na jina langu Nyamizi una la kuongezea?
Mkuu watu wengi kwenye hivi vita wanachukulia kama ushabiki wa Simba na Yanga. Ukweli ni kwamba katika vita hii Putin amedharilishwa sana. Maelfu ya wanajeshi wake wametekwa na wengine kuuliwa, vifaa vyake vya kivita vimeteketezwa na vingine kutelekezwa. Ukiwaangalia kwa makini na kufuatilia maelezo ya mateka ni kwamba hawana ari ya kupigana. Kwa hiyo wamebakia tu mashambani wanapigana kama wanamgambo vile. Kuna somo kubwa bwana mkubwa Putin atakuwa amejifunzaPunguzeni porojo zenu hapa,unaandika yale yaliyo kichwani kwako na unataka watu na akili zetu tukuamini.
Kwa hiyo makombora yoote yalipigwa makazi ya watu (kama unavyodai) ndio yameua raia 352 tu wanaoripotiwa na wizara ya ulinzi ya Ukraine? Basi Wanajeshi wa Russia walikuwa hawana shabaha nzuri.Ukishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
Usije kuwa unatizama habari jana tu. angalizo tu us panic😛Eti leo kimyaaa,wakati hapa tunaona wanareport,huwa mnafikiria nini kutudanganya utadhani TV na access ya kuangalia mnazo nyinyi tu