LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tumpongeze kwa kufanya nini
Bange
 
Hizi taarifa za maelfu ya askari wa Urusi kuuawa huwa mnazitoa wapi? We unajua idadi ya wanajeshi 2000 ikiuawa ni sawa na vifaa kiasi gani vimeteketea? Kuna gari ya kijeshi inabeba askari 40?? Je kuna helkopta inayobeba askari 50?? Anyway umejiuliza hao askari maelfu waliouwa wako wapi? Kwa akili yako wanapouawa askari 300 unahisi mapigano yanakuwaje? Kwako wewe unadhani vitani mnaenda kama kushangilia mpira kwamba mnakaa pamoja watu mpaka 500??
Umepita hata JKT??
 
Usitumie nguvu kubwa kutetea kunywa chai ulale
 
Ukiwaza kwa marefu na mapana utagundua mengi ukiwa hapa hapa nyumbani mkuranga ,kubwa rais wa ukraine anatumia mbinu ya kulia lia sana na kuonyesha kwamba ananyanyaswa ili tu aonewe huruma lakini jamaa nae mshenzi mshenzi tu na vita kama vita propaganda ina nafasi yake kubwa sana hao ukraine ni suala la muda tu hata kuku akibanwa miguu wakati wa kuchinjwa atatapa tapa tuu ndio huyo bear anazidi kuchukua miji tu kwa ujinga wake
 

Kupiga makombora kwenye makazi ya watu na kuua watu hiyo ni mojawapo wa mauaji ya kimbari, labda utakua haujui nini maana ya huo msemo, huwa haijalishi idadi ya watu, kimsingi umeelekeza makombora kunako watu kwenye makaz yao na kuua akina bibi na watoto wasiokua na hatia.
Kwa upande wa wanajesh kuuawa, hiyo sio issue maana wale wapo vitani na wameingia wakijua watauawa.
 
Usije kuwa unatizama habari jana tu. angalizo tu us panic😛
tatizo lako unataka kutuelezea kama vile sis hatuna access na hizo Tv,hapo ndipo nakukatalia Mkuu,leta habari lakini punguza kahawa maana sote tunaangalia kama wewe tu😂
 
Nikolay Mitrokhin, a Russia expert and researcher at Germany’s Bremen University, says Russia’s offensive has “practically stopped on all fronts”.

“A large morning assault on [the eastern city of] Kharkiv has been repelled and an attempt to enter Kyiv from the [town of] Irpen [to the west] has been stopped,” Mitrokhin told Al Jazeera.

“Russia’s strategic position … is deteriorating rapidly. The Russian military is suffering great losses,” he added.
 
NATO wanajua ukweli kwamba Russia ilichofanya Ukraine ni operation ndogo tu hapo natamani member mmoja wa NATO angeingia mzima mzima aone shughuli atakayopata na naamini wenzake wangemtoa kafara.
Kwa Nini Russia asimjaribu Poland cause hiyo ndio njia ya Silaha zinazowatoa Jasho Hadi sasa
 
😃😃😃 Nilitoa angalizo kuwa hivi vita visiwafikishe kwa mama zenu. Wanapigana Warusia na Waukraine sio Wagogo na Wachaga.
Mrussi wa kwa mtogore ka panic,mwache tu niende nae hivyo hivyo anavyotaka twende mkuu 😂
 
NATO wanajua ukweli kwamba Russia ilichofanya Ukraine ni operation ndogo tu hapo natamani member mmoja wa NATO angeingia mzima mzima aone shughuli atakayopata na naamini wenzake wangemtoa kafara.
Ila Russia mpaka sasa mategemeo ni tofauti na hii ya askari wake kutelekeza tanks seems vikwazo vya uchumi vimeanza kum hit vibaya. Watu wa magharibi wakishakulegeza wanaweza kutumia vita hii kumshughulikia na kutoa Putin madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…