LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna watu Huwa na vichwa vigumu na kufunga upeo wa mawazo kuna kubaki na mawazo yao kama maziwa ya mgando.

Mbona kuchambua hii vita ni unatumia hata akili ya darasa la 6 tu. Unajua kabisa Ukraine atapata support ya mataifa almost 7. Sasa unadai eti kwamba Ameishiwa katumia full force, ivi zimo kweli kichwani?

Unajua strategies za kivita, Unaijua full force ya Russia wewe? Vitu vingine ni utoto tu, Yani atumie full force kwa nchi jirani! Wakati unajua utakutana na mataifa mengi yakikupinga?

Swala la kusema kuwasha Nuclear ni kuonyesha kwamba yuko serious na anachokifanya na ndio uanaume, Unatishiwa na majambazi alafu unatishia kwa kunoa panga wakati una AKA 47 Hahaha

Dunia ijue kwamba, Russia ndio nchi pekeee kwenye kizazi cha leo ambayo imechukua mamuzi ambayo nchi nyingine imeshindwa kufanya, tumpongeze kwa hilo.

Kingine USA ndio watu pekee waliojichukulia mamuzi kama ya Russia bila kupewa vikwazo vyovyote, Jiulize USA akifanya hivi nani atamuonya au kumpa adhabu?

Kuna watu Huwa na vichwa vigumu na kufunga upeo wa mawazo yao na kubaki na mawazo yao kama maziwa ya mgando.​

Mbona kuchambua hii vita ni unatumia hata akili ya darasa la 6 tu. Unajua kabisa Ukraine atapata support ya mataifa almost 7. Sasa unadai eti kwamba Ameishiwa katumia full force, ivi zimo kweli kichwani?

Unajua strategies za kivita, Unaijua full force ya Russia wewe? Vitu vingine ni utoto tu, Yani atumie full force kwa nchi jirani! Wakati unajua utakutana na mataifa mengi yakikupinga?

Swala la kusema kuwasha Nuclear ni kuonyesha kwamba yuko serious na anachokifanya na ndio uanaume, Unatishiwa na majambazi alafu unatishia kwa kunoa panga wakati una AKA 47 Hahaha

Dunia ijue kwamba, Russia ndio nchi pekeee kwenye kizazi cha leo ambayo imechukua mamuzi ambayo nchi nyingine imeshindwa kufanya, tumpongeze kwa hilo.

Kingine USA ndio watu pekee waliojichukulia mamuzi kama ya Russia bila kupewa vikwazo vyovyote, Jiulize USA akifanya hivi nani atamuonya au kumpa adhabu?

Hakuna Specialist wa vita humu bali kuna wachambuzi ambao tunatumia Akili kuchambua kinachoonekana. BBC, SKYNEWS, YOUTUBE, FACEBOOK, GOOGLE, CNN Vyote ni vibaraka vya USA na vingine vingi, So Hata ukiona utoaji wa Habari utagundua kitu, Russia karusha makombora afu unasikia wanajeshi wa Russia wamekufa .Tumieni hata akili ya chai jaba mtaweza kupata kitu.​
Tumpongeze kwa kufanya nini
Belarus na Russia wapo na umoja wao wa kujilinda kijeshi
Kwahiyo Ukraine wametii maagizi ya mkubwa. Karibune Ukraine tunawasubiri hapa Belarus. Shart letu la kwanza vijana wenu walioko jeshini washirikiane na wenzao toka Russia.
Waweke silaha chini haraka iwezekanavyo na Ukraine kuanzia leo iwe chini ya Russia.
Bange
 
Mkuu watu wengi kwenye hivi vita wanachukulia kama ushabiki wa Simba na Yanga. Ukweli ni kwamba katika vita hii Putin amedharilishwa sana. Maelfu ya wanajeshi wake wametekwa na wengine kuuliwa, vifaa vyake vya kivita vimeteketezwa na vingine kutelekezwa. Ukiwaangalia kwa makini na kufuatilia maelezo ya mateka ni kwamba hawana ari ya kupigana. Kwa hiyo wamebakia tu mashambani wanapigana kama wanamgambo vile. Kuna somo kubwa bwana mkubwa Putin atakuwa amejifunza

Bado uchumi wake ndani ya miezi michache utaingia kwenye mdororo ambao nchi yake haija experience kwa miaka ya hivi karibuni.
Hizi taarifa za maelfu ya askari wa Urusi kuuawa huwa mnazitoa wapi? We unajua idadi ya wanajeshi 2000 ikiuawa ni sawa na vifaa kiasi gani vimeteketea? Kuna gari ya kijeshi inabeba askari 40?? Je kuna helkopta inayobeba askari 50?? Anyway umejiuliza hao askari maelfu waliouwa wako wapi? Kwa akili yako wanapouawa askari 300 unahisi mapigano yanakuwaje? Kwako wewe unadhani vitani mnaenda kama kushangilia mpira kwamba mnakaa pamoja watu mpaka 500??
Umepita hata JKT??
 
Usitumie nguvu kubwa kutetea kunywa chai ulale
 
Ukiwaza kwa marefu na mapana utagundua mengi ukiwa hapa hapa nyumbani mkuranga ,kubwa rais wa ukraine anatumia mbinu ya kulia lia sana na kuonyesha kwamba ananyanyaswa ili tu aonewe huruma lakini jamaa nae mshenzi mshenzi tu na vita kama vita propaganda ina nafasi yake kubwa sana hao ukraine ni suala la muda tu hata kuku akibanwa miguu wakati wa kuchinjwa atatapa tapa tuu ndio huyo bear anazidi kuchukua miji tu kwa ujinga wake
 
Kwa hiyo makombora yoote yalipigwa makazi ya watu (kama unavyodai) ndio yameua raia 352tu wanaoripotiwa na wizara ya ulinzi ya Ukraine? Basi Wanajeshi wa Russia walikuwa hawana shabaha nzuri.

Sasa hao raia 352 walokufa ndio mauaji makubwa ya genocide? Kwa hiyo ulitegemea raia wa Ukraine wapewe silaha wapambane na majeshi ya Russia halafu majeshi hayo ya Russia yawaangalie tu pasi na kuwapa kipigo cha mwizi?

Vifo vya wanajeshi wa Ukraine kwa mujibu wa serikali ya Ukraine ni kuwa havizidi 700. Ila wao wanadai wameua wanajeshi wa Russia zaidi ya 4000. Sasa kwa nini walikuwa wakiomba msaada kwa raia wa kawaida na pia raia toka nchi nyingine duniani?

Ukraine ieleze ukweli idadi ya vifo vya wanajeshi wake na raia waliopewa risasi wapambane na Russia ktk mavazi ya kiraia (ngao ya vita)
View attachment 2133953

Kupiga makombora kwenye makazi ya watu na kuua watu hiyo ni mojawapo wa mauaji ya kimbari, labda utakua haujui nini maana ya huo msemo, huwa haijalishi idadi ya watu, kimsingi umeelekeza makombora kunako watu kwenye makaz yao na kuua akina bibi na watoto wasiokua na hatia.
Kwa upande wa wanajesh kuuawa, hiyo sio issue maana wale wapo vitani na wameingia wakijua watauawa.
 
Usije kuwa unatizama habari jana tu. angalizo tu us panic😛
tatizo lako unataka kutuelezea kama vile sis hatuna access na hizo Tv,hapo ndipo nakukatalia Mkuu,leta habari lakini punguza kahawa maana sote tunaangalia kama wewe tu😂
 
Nikolay Mitrokhin, a Russia expert and researcher at Germany’s Bremen University, says Russia’s offensive has “practically stopped on all fronts”.

“A large morning assault on [the eastern city of] Kharkiv has been repelled and an attempt to enter Kyiv from the [town of] Irpen [to the west] has been stopped,” Mitrokhin told Al Jazeera.

“Russia’s strategic position … is deteriorating rapidly. The Russian military is suffering great losses,” he added.
 
NATO wanajua ukweli kwamba Russia ilichofanya Ukraine ni operation ndogo tu hapo natamani member mmoja wa NATO angeingia mzima mzima aone shughuli atakayopata na naamini wenzake wangemtoa kafara.
Kwa Nini Russia asimjaribu Poland cause hiyo ndio njia ya Silaha zinazowatoa Jasho Hadi sasa
 
😃😃😃 Nilitoa angalizo kuwa hivi vita visiwafikishe kwa mama zenu. Wanapigana Warusia na Waukraine sio Wagogo na Wachaga.
Mrussi wa kwa mtogore ka panic,mwache tu niende nae hivyo hivyo anavyotaka twende mkuu 😂
 
NATO wanajua ukweli kwamba Russia ilichofanya Ukraine ni operation ndogo tu hapo natamani member mmoja wa NATO angeingia mzima mzima aone shughuli atakayopata na naamini wenzake wangemtoa kafara.
Ila Russia mpaka sasa mategemeo ni tofauti na hii ya askari wake kutelekeza tanks seems vikwazo vya uchumi vimeanza kum hit vibaya. Watu wa magharibi wakishakulegeza wanaweza kutumia vita hii kumshughulikia na kutoa Putin madarakani.
 
Back
Top Bottom