LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.
mkuu hata ungekuwa ww ungeweza anzisha hii vita sometimes unakuwa huna jinsi
 

Watu saba wanaaminiwa kufariki katika shambulio la bomu llililofanywa na vikosi vya Urusi, Polisi wa Ukraine wanasema.

Maafisa wanasema shambulio dhidi ya kambi ya jeshi ya Podilsk, nje ya mji wa Odessa liliwaua watu sita na kuwajeruhi wengine saba. watu 19 hawajulikani waliko huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki katika Mariupol, waliongeza kusema.

Huku hayo yakijiri Wizara ya Ulinzi ya Urusi imenukuliwa na shirika la habari la Urusi -Interfax ikisema kuwa "Ulinzi wa anga wa vikosi vya jeshi la Ukraine umekandamizwa".

Wizara inaongeza kuwa "vikosi vya mpakani vya Ukraine havikupinga vitengo vya Urusi".

Hakujawa na uthibitisho wa madai haya.
 
kama huijui Urusi basi fumbua macho hutoamini utakacho kiona
 
What if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... 😀 😀
Moscow huwezi piga Bomu lolote, wana intercept za maana sana pale. Umefikiria kama mtu usiyepita shule au kufuatilia mambo ya kivita.
 
Mkuu umeshaamka kwenye ndoto yako ya mchana?

Kama hujaamka tambua kuwa Putin wa Russia anachapa miundombinu ya kijeshi ya Ukraine tena nchini kooote anagonga.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…