NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Pamoja na kutishiwa kusitisha kununua gesi yake lakini mwamba ajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hata ungekuwa ww ungeweza anzisha hii vita sometimes unakuwa huna jinsiHii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.
kama huijui Urusi basi fumbua macho hutoamini utakacho kionaWakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Moscow huwezi piga Bomu lolote, wana intercept za maana sana pale. Umefikiria kama mtu usiyepita shule au kufuatilia mambo ya kivita.What if Ukraine wana secret nuclear warhead wakaamua kufanya suicide wakapiga Moscow??... 😀 😀
Putin anachapa miundo mbinu ya kijeshi nchini kote Ukraine.
Mkuu umeshaamka kwenye ndoto yako ya mchana?Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Putin anachapa miundo mbinu ya kijeshi nchini kote Ukraine.
Imerushwa YouTube masaa machache yaliyopita leoHii ya muda gan?
Pumbavuu US anavyoharibu nchi za watu mbona hamshoboki??... Putin ni mwehu; the Hitler of our times!