LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
👏
 
Punguza vichambo adija kopa.vita ni vita na silaha ni silaha
Basi tulia usitingishike. Vyuma Kama. T90,72,Armata nk and her series havijaingia Ukraine Sasa unafikiri unapoambiwa Russia hajatumia nguvu kubwa unataniwa happy Ni Kama kaenda kudump old military weapons zake tu kuliko kutumia gharama kubwa kuyadeploy bill faida. Putin kapiga ndege Kama sita sab hivi kwa jiwe moja
 
Wapi wewe sio vita ni nini sasa?
 
👍
 
Germany kamsupport Ukraine military weapons na pia kadouble military budget fund euro billion 100.
Hivyo Russia naona mwisho wao.

SourceDw live news
 
Leo vita imesimama kupisha majadiliano ,kama majadiliano wasipopatana kesho vita itaendelea,na misaada ya kijeshi inazidi kumiminika kwa ukraine kutoka member wa nato
 
Salama wandugu,

Tufahamu maana ya NATO wengi wanaifafanua kuwa ni umoja wa kujihami nchi Magharibi lakini tafsiri sahihi ni umoja wa kujihamu nchi magharibi kuikabiri Urusi ndani yake kukiwa CIA.

Lengo la NATO kwenda Ukraine siyo kupeleka ubwabwa Ukraine, ila nikupeleka intellejensia itakayotumika na cia kwa kivuli cha NATO hapa dunia haielewi wanabaki kuwa Putin mkorofi la hasha kuna mambo behind hayajawekwa hadharani. Rais kennedy alitaka kuivunja cia akisema hakina majukumu ya maana ndipo wakamuua
 
Germany kamsupport Ukraine military weapons na pia kadouble military budget fund euro billion 100.
Hivyo Russia naona mwisho wao.

Source😀w live news
Ndoto ya mchana
Leo vita imesimama kupisha majadiliano ,kama majadiliano wasipopatana kesho vita itaendelea,na misaada ya kijeshi inazidi kumiminika kwa ukraine kutoka member wa nato
Vita haijasimama
 
Germany kamsupport Ukraine military weapons na pia kadouble military budget fund euro billion 100.
Hivyo Russia naona mwisho wao.

SourceDw live news
Mkuu kudouble badget unadhani kunaanza siku hiyo hiyo? Amesema kuanzia mwakani wataongeza bajeti ya ulinzi.
 
picha zimepungua kuna kimya kimetawala

Attachments

  • The_base_of_the_Ukrainian_Navy_in_Ochakiv%2C_which_was_built_and_controlled_by_the_United_Stat...mp4
    3.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…