Jamaa kaandika kama katoka ndotoni au kafufuka. Askari mil 2 toa 150000. Nachukua data za West . Askari 100000 toa 30000 nani anakua myonge.Hiyo ni kasoro, kwani huwezi kuelezea juu ya mgonjwa kabla hujaelezea juu ya marehemu wa huo ugonjwa, hiyo ni busara ya kawaida tu--- kasoro ni lazima ibainishwe ili mtu ajifunze.
Ha ha hahaaaSisikii habari za drones . Lazer inaziyeyusha juukwajuu zinakuwa uji wa [emoji91] na huwezi lalamika mana drones hazina binadamu ndani yake.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Daaa hataimaye Hawa nguchiro wametoka shimoni wenyewe bila shuruti.Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha
View attachment 2230672
MORE SURRENDER(EVACUATION)!!!
Another video of surrendering from "Azovstal"
Show this to anyone who follows western mainstream media,because they want to convince everyone that🇺🇦 is winning.
LoL! Kwa kweli Russia sio Syria.Mnaitwa heroes huku mnayeyuka .Yale mabomu watatoka hawasikii na ubongo umeyeyuka mtu anatoka kama nyani
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
ZSuperb Turkey [emoji23]
Turkey informed the NATO countries that it would say "no" to the membership of Sweden and Finland, Erdogan said.
In addition, Turkey cannot abandon Russia and Russian gas, this is a strategic issue, the Turkish president pointed out.
Mac Donald kauza huduma zake kwa mzawa this is another surrender. Ajira na huduma kama Kawa kwa kutumia rubble. Uraaah. Google yafilisiwa Russia haita operate tena .Russia kuja na kampuni lake mamaeeeDaaa hataimaye Hawa nguchiro wametoka shimoni wenyewe bila shuruti.
Sipati picha ingekuwa Wanajeshi wa Russia ndio wana surrender. Hiyo mijadala huko kwa CNN, BBC Aljazeera tungeikoma.
Mara John Graham is a military expert from the BID military Company, Mara sijui nani ni prof wa nini?
Mungu ni mwema, wamejikausha as if the Surrender of Azov Mice is not a story aloo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tena nextRussia anapigwa mbaya
Da, aisee we jamaa umenichekesha,kwa sentensi Yako hiiNi muda Sasa wa saa mbovu kusema ukweli
Superb Turkey [emoji23]
Turkey informed the NATO countries that it would say "no" to the membership of Sweden and Finland, Erdogan said.
In addition, Turkey cannot abandon Russia and Russian gas, this is a strategic issue, the Turkish president pointed out.
GREAT CITIZENS JOIN PUTIN.Elona wamemfanya nini[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2230704
Uturuki ameanza kuwakera.Superb Turkey 😂
Turkey informed the NATO countries that it would say "no" to the membership of Sweden and Finland, Erdogan said.
In addition, Turkey cannot abandon Russia and Russian gas, this is a strategic issue, the Turkish president pointed out.
Bila kusahau Kuna wanajeshi wa NATO walikuemo wakipachikwa jina la Mercenaries.Daaa hataimaye Hawa nguchiro wametoka shimoni wenyewe bila shuruti.
Sipati picha ingekuwa Wanajeshi wa Russia ndio wana surrender. Hiyo mijadala huko kwa CNN, BBC Aljazeera tungeikoma.
Mara John Graham is a military expert from the BID military Company, Mara sijui nani ni prof wa nini?
Mungu ni mwema, wamejikausha as if the Surrender of Azov Mice is not a story aloo😂😂😂😂😂.
LoL! ,Aisee!,Dah! Wee bwana eeh!
duh so laser ni technology ya siri ?Operation imekuwa tamu Sana, wahenga walisema subiri inyeshe tujue panapovuja. Kuna teknolojia za siri Sana Russia anazo
EU block inavyokuwa na wananchama wengi ambao sio economically strong ina results Kuwa weak and prone to disintegration na vilevile inakuwa irrelevant. Na ndio maana wanaweka masharti magumu sana ya kujiunga.Scholz apinga Ukraine kupatiwa uanachama wa Umoja wa Ulaya haraka
Hata hivyo mbali ya kulikingia kifua suala la Ukraine kupatiwa silaha, kansela Scholz amepinga nia ya kuikaribisha haraka Ukraine ndani ya Umoja wa Ulaya.
Amewaambia wabunge hakutakuwa na njia ya mkato kwa Ukraine kuwa mwanachama mpya wa kanda ya Ulaya licha ya uvamizi kutoka Urusi na badala yake viongozi mjini Brussels watafute njia nyingine ya kuisaidia Kyiv na siyo kupitia turufu ya ahadi ya uanachama.
"Ukweli kwamba hakuna njia ya mkato ya kuingia ndani ya Umoja wa Ulaya ni suala linalohusu kuyatendea haki pia mataifa sita ya Balkani magharibi. Kwa miaka mingi yamekuwa yakifanya mageuzi makubwa na kujitayarisha kwa uanachama" amesema Scholz.
Kwenye hoja hiyo Scholz alikuwa akiyatetea mataifa sita ya Montenegro, Serbia, Albania, Macedonia Kaskazini ,Bosnia/Herzegovina na Kosovo yaliyoomba siku nyingi kuwa wanachama wa Umoja wa Ulaya.
Hata hivyo msimamo huo wa Scholz ambao unafanana na ule uliotolewa na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, yumkini hautawafurahisha viongozi wa Ukraine.
Na muda mfupi tu baada ya hotuba ya kansela Scholz waziri wa mambo ya kigeni wa Ukraine Dmytro Kuleba ameukosoa vikali msimamo wa baadhi ya viongozi wa Ulaya akisema baadhi ya matiafa ya ulaya yanaizingatia nchi yake kuwa ya tabaka la pili.
Lakini mbali ya Scholz kupinga uanachama wa wa haraka wa Ukraine ndani ya umoja wa ulaya,ametangaza kuunga mkono msaada wowote wa ziada utakaohitajika kuisaidia nchi hiyo wakati wa vita na hata baada.
Uturuki ameanza kuwakera.
Kumfukuza hawawezi,kumuacha anawakera.
Unajua Uturuki aliomba miaka mingi sana kujiunga na EU wakamkatalia.
Unajua Uturuki ndio nchi ya NATO yenye jeshi kubwa kwa idadi ya askari kuliko zote kwa upande wa ulaya,yaani ukiondoa USA.
Nasema kwa idadi ya askari.
Unajua wakilazimisha kuwaingiza Fin na Swidi Ukraine anaweza kutoka NATO.
Na akitoka NATO atakua na Uswahiba mkubwa na Urusi kuliko huu.
Kwa kifupi Turkey anawakera kwerikweri.
Miongoni mwa ishara za kutufahamisha kua US/NATO (Masters behind Ukraine Scumbag in Kiev) wamepigwa na kitu kizito kichwani ni Initiation ya mazungumzo ya mara kwa mara na wakuu wa Jeshi la Russia siku za karibuni ambayo mwanzo walikuwa wakiyakataa wakidai kua hawawezi kuzungumza na Agressor. So what now? Hola hola we bet Aggressor have become "Holly Saint"
Hali mbaya watu wangu, imefika hatua Ex-General of United States anapost Footage za Magem (Arma 3 Game) akidai jeshi la Ukraine likiwapiga Russia Armed Forces.
View attachment 2230719
This is insane [emoji1787] inatia huruma, au let's hope ni kitukuu chake kimehack password and is having some fun. The only place left to show us wanashinda imebaki kwenye Video Games.
Developers wa Arma Game 3 watakuwa wanawashukuru sana westerners kwa marketing waliowafanyia.