Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Suala siyo kumpata ^bwana^ ake mwingine. Akaishi naye huko Marekani, basi kama kweli anapendwa kihivyo. Atoke kwenye chumba alichopangishiwa na eksi wake! Sijui kweli unaiona hoja ya Putin?Anachotaka kufanya urusi Kwa akili yako ni sahihi ??? Huwezi kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye 😊
Nasikia hii inaitwa: ^Adui mtafutie sababu ya kuzidi kumtwanga!^Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.
Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA
Ni kama tu vile tunavyohesabu athari za vita hapa JFmda wa kuwahesabu wameutoa wapi?
Si mmeshaachana mkagawana kila mtu kivyake , mwache Bwana mwingine aingie kwake , au umesahahu niniSuala siyo kumpata ^bwana^ ake mwingine. Akaishi naye huko Marekani, basi kama kweli anapendwa kihivyo. Atoke kwenye chumba alichopangishiwa na eksi wake! Sijui kweli unaiona hoja ya Putin?
SAFI😂Ni kama tu vile tunavyohesabu athari za vita hapa JF
Hzo bombs ziko wap wazeeNawaza tu russia akianza tumie zile bombs zake za nyuklia za ICBM(InterContinental Ballastic-range Missile) asije chochea WWIII...pia ikumbukwe ana best AIR-DEFENCE systems hapo tunazungumzia S200, S300, S400, S500 na S700...hapo ndipo alipo vizuri russia.
Mkwara wa mende
Mimi nina mashaka sana na Russia kuhusu ukweli wa Silaha zake. Ninaona kama Fix hivi. Hii vita ikiendelea halafu NATO waingie unawezakuta hizo silaha alizoaminisha dunia huenda sio za kihiiiivyo. Hata nuclear unawezakuta zipo lakini low grade. Na akicheza hao NATO/USA wanaweza kum surprise wakazipiga hapohapo Russia.Hizo ni Grad rockets. Ziko dumb sio precision guided munitions kwahiyo zina tabia ya kukosea. Waliofyatua unakuta hawakupanga kupiga makazi ya raia. Smart munitions huwa ni gharama sana zinaepukwa kutumiwa kwa wingi au zinatumiwa kwenye kuhitaji accuracy kubwa mfano wakigundua chimbo alipo Zelensky.
Mrusi bado hajatumia silaha kali hapo unaona katumia Grad wakati anazo hata Smerch uko kwake. Kuna hiyo Koalistiya self propelled howitzer inafyatua aina fulani ya shell mpaka kilomita 70 na iko accurate. Kwenye list za howitzers duniani huwa naamini ni ya kwanza
Alisikika mMarekani mmoja huko Nanyamba baada ya kushiba kinywaji chake cha Mbege.Mimi nina mashaka sana na Russia kuhusu ukweli wa Silaha zake. Ninaona kama Fix hivi. Hii vita ikiendelea halafu NATO waingie unawezakuta hizo silaha alizoaminisha dunia huenda sio za kihiiiivyo. Hata nuclear unawezakuta zipo lakini low grade. Na akicheza hao NATO/USA wanaweza kum surprise wakazipiga hapohapo Russia.
Kuna uwezekano NATO wameshajua uwezo halisi wa RUSSIA na kugundua mbona ANAPIGIKA KIRAHISI TU.
Nimepata taarifa kikao cha negotion kimeisha huko mpakani mwa Belarus kinachosubiliwa ni nini kilichojiriPutin anasema, vikwazo ama no vikwazo, hakuna ku-back off! Lengo lazima litimie. USA na NATO wanapaswa ku-surrender.
Kuwa siriaz bwana, hivi kuna watu kweli mnategemea vyanzo vya habari vya waswahili (secondary source of information) ktk habari hizi za Ulimwengu wa kwanza?!Nimepata taarifa kikao cha negotion kimeisha huko mpakani mwa Belarus kinachosubiliwa ni nini kilichojiri
View attachment 2134183
Hiyo ndege imebaki historia tu...Shirika la ndege la taifa ukraine lilikuwa ndo shirika linalomiliki ndege kubwa kuliko zote za mizigo duniani...usiku wa jana...ndege iyo iliharibiwa vibaya kiasi ambacho itatakiwa $billion 3 kifanyia ukarabati ndege hiyo ili iweze kurudi katika shughuli zake za kiuchumi kuchangia pato la nchi hiyo na itachukua duration ya miaka 5. Na shirika ilo limedai linatarajia russia kuhusika kwenye gharam hizo!
My take: mara baada ya mgogoro huu kuisha , russia anaweza ambiwa ili vikwazo vilegezwe au kuondolewa inabidi atoe fidia ya uharibifu wote uliotekea pale ukraine.
View attachment 2134186
View attachment 2134188