Kwelii hapo umewaza nje ya box kula tano πππππ pro RUSSIA nimewavulia kifua.Labda ni muhasibu wa Maxence Melo ,ndio maana hatakiwi kutumia ID fake akiwa kwa majukumu.
ππππ
Kazini kafika saa ngapi na katoka kula supu na mkewe muda si mrefu .... Hii nchi hiii Ina KEYBOARD WORRIORS wengi Sana .....na wamekimbia Uzi mmoja mmoja watafutika tu maana kinachowakuta upande wao sio poa .... Mi nimewaombea AKILI ZIWAKAE SAWA ....Spana zimemlemea ππππakaona isiwe tabuu kazini haturuhusiwi kutumia fake ID.
Ni sawa na western media zinavyotuambi evacuation instead of surrendered wale 2000 na kuendelea mbinu n zilezile ngumu kusema poooo.
Uzuri wa spana za Galip hazichagui wala hazibagui, ukichanganya MADESA tu, haijalishi wewe ni Pro Russia au mzee wa kulobu lobu, utakula spana zilizotukuka.Msameeee aiseee asije akajimwagia supu yakeππππππsio kwa spana
Si asafirishe kupitia Poland,Romania, Finland huku kwa wenzake kwani lazima apitie kwetuπ€£π€£π€£π€£Huyu bwege alifikiri vita ni kama shughuli ya kumtoa mwaliView attachment 2234271
ππππMambo yanaenda kama site wanakimbia mmoja mmoja.Kazini kafika saa ngapi na katoka kula supu na mkewe muda si mrefu .... Hii nchi hiii Ina KEYBOARD WORRIORS wengi Sana .....na wamekimbia Uzi mmoja mmoja watafutika tu maana kinachowakuta upande wao sio poa .... Mi nimewaombea AKILI ZIWAKAE SAWA ....
Na yule Mwalimu wa Madrasa tumempeleka akaongeze nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao Mateka asilimia 80 ni Wa kutoka nchi za magharibi ndio maana mlisikia mlio mkubwa sana mpaka kutumia UN...HALAFU HAWA wajinga bbc, cnn wanasema eti wanahamishwa hawa wamejisalimisha baada ya kula kichapo cha mbwa koko wamenyanduliwa balaa....
Hivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....Huyu bwege alifikiri vita ni kama shughuli ya kumtoa mwaliView attachment 2234271
Labda Wasoviet walishuka na miavuli kuwazungukaSijui jiografia ya Mauriupol ipoje mpaka wakajikuta wamezingirwa!!!
Katika uwanja wa mapambano lazima uache njia ya kutorokea ukizidiwa. Sasa wao wakajikuta wapo katikati!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hili halitatokea kwa nchi ile yenye waislam wa itikadi kali kujiunga na nato abadani, chenchnia ni hbr nyingine, kwanza wanahasira vby mnooo na hao wa Ukraine waliwauwa waislam wa Serbia miaka ya 94 so kumbukumbu bado wanayo.Em tupa uongo wako kule, Chechnia wenyewe wako mbioni kujiunga NATO
ππππ Dah.... Ahya bn. Ngoja tuyazoom niyasome vizuri πUzuri wa spana za Galip hazichagui wala hazibagui, ukichanganya MADESA tu, haijalishi wewe ni Pro Russia au mzee wa kulobu lobu, utakula spana zilizotukuka.
ππππ
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineHivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....
Zzzzzzzzzz Vvvvvvvvvvvv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yanaenda kama site wanakimbia mmoja mmoja.
Drone zinayeyuka, vifaru vyao wanavichora Z,chakula hakuna,joti anataka mazungumzo[emoji119][emoji119][emoji119].
Putin wanyooshe baba na wenyewe waishi kama mashetani hiii n malipo ya babu zangu kuwa watumwa bado ya ukoloni sisi tunakuombea[emoji23][emoji23][emoji23].