Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Yeye akivamia wanasema anataka kuleta demokrasia Urusi ikifanya ooh ni Udikteta [emoji1787][emoji1787] Pro-America wanashida Sana mkuuPumbavuu US anavyoharibu nchi za watu mbona hamshoboki??
Na si mlisema hawezi vamia, mnalialia nini sasa? Tuone kama mtaingia vitani au mtaishia sanctions tu..
Ingekuwa wewe Russia ungekubali Mmarekani aweke kambi yake Ukraine karibu na mipaka yake? Hivi hata international security unaijua wewe?Marekan amechochea nn?zaidi anasidia hadi wewe unapata taarifa.
Hiyo haiji.Je itakuja 3rd ww?
Daaaahhh, sio kwa mkwara huu wa PutinHiyo haiji.
Marekani na NATO ni waoga hawawezimkabili Putin.
Na tayari kawaambia atakayezuia majeshi yake yeyote yule atapata kipigo cha mtemakuni ambacho hajawahikukipata hapo kabla.
Tatizo Putin akipiga mkwara anamaanisha.Daaaahhh, sio kwa mkwara huu wa Putin
putin amesema haelewi ni kwann na kwa jinsi gani ukraine ilikuwa taifa-hii kauli inatosha kuelewa kwann leo hii anaivamia ukraine hayo mengine ninexcuses tu, kuhusu wanajeshi wa markan kwe mipaka yake mb wapo baltics na estonia?Ingekuwa wewe Russia ungekubali Mmarekani aweke kambi yake Ukraine karibu na mipaka yake? Hivi hata international security unaijua wewe?
Wewe ni Alphonce wa Mbeya?Wewe ndo unasema hivi. Ila vita ikishaanza ikawa piga nikupige na nani atamuwahi mwenzake kuna chances za nyuclear kutumika. Tunalaani vita kueliminate hizo chances.
Kishavamia, vipi sasa? Huyo ndio RussiaMrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu. Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.