LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Pumbavuu US anavyoharibu nchi za watu mbona hamshoboki??

Na si mlisema hawezi vamia, mnalialia nini sasa? Tuone kama mtaingia vitani au mtaishia sanctions tu..
Yeye akivamia wanasema anataka kuleta demokrasia Urusi ikifanya ooh ni Udikteta [emoji1787][emoji1787] Pro-America wanashida Sana mkuu
 
Bora tu Ukraine aache mpango wa kujiunga NATO, na Putin aombwe andoke Ukraine.

Heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Kwa wale wanaojishungulisha na shares kama leo asubuhi ulitupia macho kampuni za Russia na kubahati kununua shares au spread bet au CFDkwenye stock exchange za Europe. Sasa hivi utakuwa umetawaliwa na tabasamu .
Hiyo hapo juu ni faida ya masaa mawili lakini hii ni demo account.

671833AB-5272-472E-AF1B-338A55FD852A.jpeg
 
Kampuni nilizokuwa ninafuatilia kwenye LSE:
Lukoil
Rosneft
Gazprom
Polyus
Na kadhalika
 
Ingekuwa wewe Russia ungekubali Mmarekani aweke kambi yake Ukraine karibu na mipaka yake? Hivi hata international security unaijua wewe?
putin amesema haelewi ni kwann na kwa jinsi gani ukraine ilikuwa taifa-hii kauli inatosha kuelewa kwann leo hii anaivamia ukraine hayo mengine ninexcuses tu, kuhusu wanajeshi wa markan kwe mipaka yake mb wapo baltics na estonia?
 
Back
Top Bottom