The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndio ukweli huo,kwa nini uwazuie former Soviet states kuamua marafiki wanaotaka?Uko pale Kremlin, au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukweli huo,kwa nini uwazuie former Soviet states kuamua marafiki wanaotaka?Uko pale Kremlin, au?
Its better to die as a free man than to live on your knees.Kwa jinsi ilivyo its better akae na urusi atafute suluhu kuliko kuruhusu nchi yake kugeuka uwanja wa vita,
Malaki ya raia watapoteza maisha na miundombinu itaharibika na haitarudi kuwa kama zamani tena
Hiki kizazi cha akina Hitler Bora kingekufa WWII,Sijui Li Putin kwa nini halikufa.Sijaipenda kabisa move hii ya pili.
Urusi imevamia Ukraine kijeshi nchi hiyo kwa kutumia majeshi ya anga,ardhini na nchi kavu.
Wamevamia kutoka Kila upande wa Ukraine.
Wanajeshi wa Urusi walionekana wakiingia mijini kutoka Kila upande.
Urusi imevamia Ukraine yote.
sio Tena majimbo yanayotaka kujitenga ya Donestk na Luhansk.
Jeshi la Urusi limevamia kwa kulenga na kupiga miji mikubwa kama Kiev,mariupol,Kharkiv,Odessa na Kramatorsk.
wenyewe Urusi wanasema wamepigwa sehemu za kijeshi TU na wala hawatashambulia maeneo ya kiraia.
Putin amesema lengo ni kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Ukraine.
Nimeshuhudia kupitia tv jengo moja kubwa nje Kuna askari wa Ukraine wanachoma nyaraka,mtangazaji anasema huenda ni jengo la Kijasusi.
Helkopta za Urusi zimaonekana kutawala katika miji iliyovamiwa.
Karibu Mkuu wa NATO akijibu maswali amatanabahisha kuwa NATO haitapeleka wanajeshi wake.
Marekani imelaaani na rais wa Marekani anaiombea kwa Mungu Ukraine katika kipindi hiki kigumu.
Waziri Mkuu wa UK amesema vikwazo vikali vitaongezwa.
Putin anasema hii ni Special operation yake ni kwa ajili ya "kui "neutrilize country's military capacity," kuiodhiofisha kijeshi Ukraine.
Rais wa Beralus amesema majeshi yake hayajaingia Ukraine kuongozana na Urusi ila yakihitajika yataingia.
Aisee hii Dunia haiko swa kabisa.
Ukweli ni kwamba majeshi ya Urusi yanajipigia TU Kila yanapotaka
NATO wamemtosa Ukraine,
Stoltenberg karibu Mkuu wa NATO anasema NATO jukumu lake ni kulinda Wanachama wake haitaingiza jeshi.
Sasa sijui walipokua wanasogeza majeshi sijui walikua wanafikiria nini.sijui walipeleka ili kupiga picha!
Marekani kamtosa Ukraine,
Uingereza kamtosa ukraine.
Kusema kweli kutoka moyoni huruma imeniingia sikupenda move hii ya pili.
PumbavuUko pale Kremlin, au?
Kwa nini USA wahujumu Wasovieti? Wao hawana haki ya kuwa na mfumo tofauti wa kisiasa? USA ndiyo iliratibu 100% anguko la USSR. Maumivu hayo wengine yangali kumkichwa!Ndio ukweli huo,kwa nini uwazuie former Soviet states kuamua marafiki wanaotaka?
Hiki kizazi cha akina Hitler Bora kingekufa WWII,Sijui Li Putin kwa nini halikufa.
Wanaleta kero kwenye modern world.Ikiwezekana wataalamu wa usalama watafute namna ya kuliua hili jamaa Ili Dunia ipumue.
Pumbavu
Walisema hivyo toka mwanzo ila alichofanya Putin ni ku take hiyo advantage.Sijaipenda kabisa move hii ya pili.
Urusi imevamia Ukraine kijeshi nchi hiyo kwa kutumia majeshi ya anga,ardhini na nchi kavu.
Wamevamia kutoka Kila upande wa Ukraine.
Wanajeshi wa Urusi walionekana wakiingia mijini kutoka Kila upande.
Urusi imevamia Ukraine yote.
sio Tena majimbo yanayotaka kujitenga ya Donestk na Luhansk.
Jeshi la Urusi limevamia kwa kulenga na kupiga miji mikubwa kama Kiev,mariupol,Kharkiv,Odessa na Kramatorsk.
wenyewe Urusi wanasema wamepigwa sehemu za kijeshi TU na wala hawatashambulia maeneo ya kiraia.
Putin amesema lengo ni kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Ukraine.
Nimeshuhudia kupitia tv jengo moja kubwa nje Kuna askari wa Ukraine wanachoma nyaraka,mtangazaji anasema huenda ni jengo la Kijasusi.
Helkopta za Urusi zimaonekana kutawala katika miji iliyovamiwa.
Karibu Mkuu wa NATO akijibu maswali amatanabahisha kuwa NATO haitapeleka wanajeshi wake.
Marekani imelaaani na rais wa Marekani anaiombea kwa Mungu Ukraine katika kipindi hiki kigumu.
Waziri Mkuu wa UK amesema vikwazo vikali vitaongezwa.
Putin anasema hii ni Special operation yake ni kwa ajili ya "kui "neutrilize country's military capacity," kuiodhiofisha kijeshi Ukraine.
Rais wa Beralus amesema majeshi yake hayajaingia Ukraine kuongozana na Urusi ila yakihitajika yataingia.
Aisee hii Dunia haiko swa kabisa.
Ukweli ni kwamba majeshi ya Urusi yanajipigia TU Kila yanapotaka
NATO wamemtosa Ukraine,
Stoltenberg karibu Mkuu wa NATO anasema NATO jukumu lake ni kulinda Wanachama wake haitaingiza jeshi.
Sasa sijui walipokua wanasogeza majeshi sijui walikua wanafikiria nini.sijui walipeleka ili kupiga picha!
Marekani kamtosa Ukraine,
Uingereza kamtosa ukraine.
Kusema kweli kutoka moyoni huruma imeniingia sikupenda move hii ya pili.
Sio kuhujumu,bali ni mbinu za kutafuta resources zaidi kwa akili,hawakutumia Jeshi and so ni wajibu wa Russia kutumia mbinu zinazokubalika kwenye Dunia iliyostaarabika.Kwa nini USA wahujumu Wasovieti? Wao hawana haki ya kuwa na mfumo tofauti wa kisiasa? USA ndiyo iliratibu 100% anguko la USSR. Maumivu hayo wengine yangali kumkichwa!
Hongo za USA zinazotiririka kwenda Ukraine huzioni? Umeshajiuliza kwa nini?
Kwa hali kama hizi ,ni bora kuwa independent kwenye masuala ya Uchumi,hukawii kuwa umeolewa na aidha China, US au Russia.Hivi Tanzania idadi ya wanajeshi jwtz ni wangapi?
Yaani ukifungua JF Vita inapiganwa na Ukraine kazidiwa hatari..Ila ukiangalia international news unaona Mambo tofauti from reporters ..naona hapa BBCwanajeshi wa Russia wamekufa na ndege zimetunguliwa za Russia...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We ndo Mungu?Take it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Hata Urusi haitarajii kuirejesha USSR.Anayefikiria kuwa USSR itarejea kama ilivyokuwa, ni wishful thinking! Nchi kadhaa zilizokuwa ndani yake tayari ziko katika 'bloc' nyingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukweli wa pro ameka [emoji1787][emoji1787]Ukweli hata Mimi nakuamini,mara nyingi hua unajitahidi kueleza ukweli Fulani hivi.