kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Wewe ndio ulijua hivyoDunia nzima tulijua kwamba Zelensky na Ukraine yake ingetandikwa ndani ya siku 3 lakini sasa ni miezi 3 na vita bado ni mbinchi - huo ni ushindi kwao.
majority tulijua hivyo kwamba Urusi hawezi kung'ang'aniwa kwa miezi 3 na Ukraine.Wewe ndio ulijua hivyo
Japo mimi ni pro Russia lia lia, ila nadhani baadhi ya video huwa sio halisi. Nyingi ni video games.
Kinachoisaidia Urusi ni wingi wao lakini wanakufa kama kuku.Wao hawajali wakifa hata 30 kati ya wanajeshi 100 Hilo kwao halihusiki.Kiufupi Putin hathamini uhai wa wanajeshi wake🤔
kaiba nini zaidi ya watawala wenu wanajipendekeza kwakeUS anaendesha uchumi kwa wizi
Wee jamaa huwa unawaza KWA kutumia MATAKO?? Ni jeshi gani linaweza kuikamata Ukraine ndani ya siku 3 na ukubwa wake ule wakijiografia?????Dunia nzima tulijua kwamba Zelensky na Ukraine yake ingetandikwa ndani ya siku 3 lakini sasa ni miezi 3 na vita bado ni mbinchi - huo ni ushindi kwao.
😂😂😂😂Kwamba nyie majority mkijua ivyo na ndio inakua ivyo kwa minority wa kremlin.majority tulijua hivyo kwamba Urusi hawezi kung'ang'aniwa kwa miezi 3 na Ukraine.
Majority wapi hao pro natomajority tulijua hivyo kwamba Urusi hawezi kung'ang'aniwa kwa miezi 3 na Ukraine.
FUSO kama FUSOWee jamaa huwa unawaza KWA kutumia MATAKO?? Ni jeshi gani linaweza kuikamata Ukraine ndani ya siku 3 na ukubwa wake ule wakijiografia?????
Hivi nyie kichwani mmebeba ubongo kweli?? (Achana na akili, ubongo tu unao???)
Yaani li-Ukraine lilivyo likubwa vile ulishike ndani ya siku 3?? Hilo jeshi litakuwa lina-advance kwa speed gani??
Kutoka mwanza hadi dar kwa basi ni mwendo wa masaa 12+, (nusu siku), hapo unasafiri tu (let's say una-advance tu) bila kusimama (fight). Then ukraine ilivyo kubwa vile uikamate ndani siku 3??? Hata kama ni ku-advance tu bila mapigano huwezi kuimaliza Ukraine ndani ya siku 3.
HICHO KITU HAKIPO, HAKIWEZEKANI!!!
kwa hiyo unataka kutuambia itachukua miaka mingapi chief? Maana tunashangaa si mlisema mna makombora yanaweza kutandika hadi km 6,000 yaani urefu Dar - Mwanza mara 5; sasa kwa nini msitume moja tu likatandika ikulu ya Zelensky ili yaishe tushike na mengine ?Wee jamaa huwa unawaza KWA kutumia MATAKO?? Ni jeshi gani linaweza kuikamata Ukraine ndani ya siku 3 na ukubwa wake ule wakijiografia?????
Hivi nyie kichwani mmebeba ubongo kweli?? (Achana na akili, ubongo tu unao???)
Yaani li-Ukraine lilivyo likubwa vile ulishike ndani ya siku 3?? Hilo jeshi litakuwa lina-advance kwa speed gani??
Kutoka mwanza hadi dar kwa basi ni mwendo wa masaa 12+, (nusu siku), hapo unasafiri tu (let's say una-advance tu) bila kusimama (fight). Then ukraine ilivyo kubwa vile uikamate ndani siku 3??? Hata kama ni ku-advance tu bila mapigano huwezi kuimaliza Ukraine ndani ya siku 3.
HICHO KITU HAKIPO, HAKIWEZEKANI!!!
Umoja wa warusi waishio Tanzania ndiyo walituaminisha kwamba vita hii kama ikimaliza wiki ni bahati - sasa unakwenda mwezi wa 3 kila siku wanakuja na vi-clip vya Urusi kuteka mitaa.Majority wapi hao pro nato
Weee nae mbona unajiachia ivyo.kwa hiyo unataka kutuambia itachukua miaka mingapi chief? Maana tunashangaa si mlisema mna makombora yanaweza kutandika hadi km 6,000 yaani urefu Dar - Mwanza mara 5; sasa kwa nini msitume moja tu likatandika ikulu ya Zelensky ili yaishe tushike na mengine ?
hatimaye kaamua kutembelea majeruhi, aende na kule akakusanye maiti za warusi wenzie zinazagaa mitaani !!Kinachowaumiza KICHWA westerns,
Ni suala la Putin kutembelea ukraine kimya kimya.
Kisha baadae ya kufika kule,
Hajahamaki Wala Hajaongelea chochote. Kile kuhusu Vita inayoendelea Ukraine.
Zaidi zaidi aliwauliza wanajeshi waliojeruhiwa kuhusu majeraha Yao na wake zao na Mambo mengine ya familia zao. Pamoja na ucheshi wa Hapa na pale
Yaan Ni kana kwamba putin amekwenda kwenye matembezi ya kawaida uko Ukraine.View attachment 2239028
unashindwa kujibu swali? mbona unapost clip za Warusi kuteka mitaa !! unaumia?Weee nae mbona unajiachia ivyo.