Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
NATO hubweka kwenye nchi za kiafrika na za kiarabu tu. Kwingine huko NATO ni panya aliyenyeshewa mvua.yajayo yanafuraisha uko mbele usifanye mchezo na NATO wakiamua jambo lao ..pro russia bakisheni akiba ya maneno ili baadae msibaki midomo wazi
time will tellndio mda huu sasa amalize kazi si mmesema Russia kaingia kwenye 18 tayari wanasubiri nini sasa au hadi zifike 20 iwe kaingia kwenye 20 . Sababu ya kupita na adui si imepatikana mbona wakisikia nchi fulani inatengeneza nuke ni fasta fasta washafika wafanye hivyo na huko, sio ooh tunasubiri ashike sijui wapi mara atege kichwa. Kama wao vidume waende direct sio kutuzuga
Bakisheni akiba ya maneno pro russiaNATO hubweka kwenye nchi za kiafrika na za kiarabu tu. Kwingine huko NATO ni panya aliyenyeshewa mvua.
time will tell hadi lini hii ni betting sasa. Mnasubiri kwa kubashiri matukiotime will tell
na pia hawajui hiyo gas na oil mrusi anayotamba nayo duniani kwa kwanza kwa uzalishaji ni USA.Wanachoshindwa kuelewa awa pro Russia ni kuwa USA mpaka kuwa superpower dunian ajafika kwa bahati mbaya ayo machuma Russia anayowatishia west USA anayo tena zaidi ya ayo anasubiria siku Russia atakapogusa masilahi yake direct ndio mtajua USA ndio nani
Hakuna cha maneno ya kubakisha. Hiyo ndiyo reality. Mbele ya Russia huyo NATO ni kama kumbikumbi tu.Bakisheni akiba ya maneno pro russia
Woiii tunaishi sasa na kuendelea Russia kawakalisha kila kitu kiko wazi.yajayo yanafuraisha uko mbele usifanye mchezo na NATO wakiamua jambo lao ..pro russia bakisheni akiba ya maneno ili baadae msibaki midomo wazi
Wamechukua maeneo mengi tu basi hufuatilii kujuaUmeonaee yaani Pro Russia ukiwambia kuwa Ukraine has done what other countries including Russia wamabaki midomo wazi kuwa 90 days bado hata hajaweza kuchukua kisiwa cha futi 2
chuma unaigeuzaje jivu ?mpaka kufikia leo hii machuma ya Russia yaliyogeuzwa majivu..Slava Ukraine..View attachment 2239343
shule gani unataka nikupe kitu kikiungua kinatoa nini?chuma unaigeuzaje jivu ?
Nipe shule kidogo nitoe ujijga kichwani ?
Ukishindwa jipige kifua mara tatu halafu sema
Sina kichwa Nina kabati la kutunzia meno
Hollywood movies zinakudanganya sanaWanachoshindwa kuelewa awa pro Russia ni kuwa USA mpaka kuwa superpower dunian ajafika kwa bahati mbaya ayo machuma Russia anayowatishia west USA anayo tena zaidi ya ayo anasubiria siku Russia atakapogusa masilahi yake direct ndio mtajua USA ndio nani
Dunia nzima tulijua kwamba Zelensky na Ukraine yake ingetandikwa ndani ya siku 3 lakini sasa ni miezi 3 na vita bado ni mbinchi - huo ni ushindi kwao.
ndio uhalisia USA ajafika apo alipo kwa kubahatisha ni suhala la muda tu mtaanza kupoteana pro russiaHollywood movies zinakudanganya sana
mbona umechelewa sana mkuu, unaturudisha nyuma sana hivyo unavyosema pronato wenzio walikuja navyo mara mbili yake mwishoni wakapotea mazimampaka leo hii ukraine anatumia visilaha vya kuokoteza lakini bado mmeshindwa ku control angalau 80% je tukianza kumpa midege yetu ya F-35 jumlisha patriot moscow akutakalika nawaambia pro russia
basi mstari wa mwisho unakuhusushule gani unataka nikupe kitu kikiungua kinatoa nini?