Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

we mtu anaitwa fuso ndio utegemee awe na akili.
Siku zote fuso ni zoa zoa tu chochote kilichopo njiani kinapitiwa
Putin’s aggression has brought material devastation and human tragedy to Ukrainians. But the war has also destroyed Russia’s economy. In 2022, the country’s gross domestic product will shrink by at least 11 per cent — the worst recession since the early 1990s. Why did he start this war?
 
putin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Putin sio Urusi baba,
Putin atakuja kufa lkn Urusi Itabaki palepale.
Kulikua na wababe Urusi Putin ni Cha mtoto.

Kilichopo Urusi ni kuwa hawataki upumbavu.

Kulikua Kuna Marais wa Urusi hawasemi mara mbili.
Kama wangekuwepo Leo hii Ukraine Ingekua Jimbo la Urusi.

Nakupa simulizi moja ndogo TU ya unyama wa hao Marais wa Urusi waliopita.


*Magaidi wa kiarabu waliwateka maafisa wa Ubalozi wa Urusi huko moja ya nchi za arabuni.
Magaidi wakaanza kutoa masharti na madai Yao yasikilizwe la sivyo watawaua mateka.

Majasusi wa KGB wakafanya ujasusi wao, wakawajua watekaji wote.
Baada ya kuwajua magaidi nao KGB wakaenda kuwakamata au kuwateka ndugu wa magaidi hao.
Kisha wakawaambia watekaji kuwa,ndugu zenu tunao hapa,tunataka muwaachie hao Russian mliowateka,msipo waachia tutawaua ndugu zenu.
Kumbuka katika hao ndugu wa magaidi kulikua Kuna baba,kaka wadogo na ndugu wengine.
Magaidi wakazikaza shingo zao,wakakataa kuwaacha mateka.
KGB wakaanza kazi,wakaua ndugu mmoja, magaidi walipojifanya jeuri KGB wakaua ndugu mwingine.
Magaidi wakao Ohooo! haya majamaa hayatanii haya,wakawaachia mateka wote bila kuua hata mmoja.
Chezea KGB wewe?.

Usipoelewa ntakupa kisa kingine jinsi Marais wa zamani wa Urusi walikua vichwa ngumu Putin Mtakatifu.

Mgogoro wa makombora ya Urusi nchini Cuba.
Wanajeshi wa Urusi waliokuwepo Cuba na zana za nyukilia walipewa Ruhusa kabisa na Serikali ya Urusi kuweza kuyatumia makombora hayo ya nyukilia kama wataona Kuna hatari yoyote dhidi Yao na kisiwa Cha Cuba,bila kusubiri amri kutoka Kwa wakubwa zao mjini Moscow nchini Urusi.
"Hii ni Hali ya hatari sana"

Marekani kwa kujaribu kupeleleza kuhusu silaha hizo za nyukilia za Urusi ilituma mara mbili kwa nyakati tofauti ndege za upelelezi kama sijakosea ni U2.
Amini nakuambia wanajeshi wa Urusi waliokua Cuba walizipiga ndege hizo na kupoteza marubani kabisa.
Hakuna kitu USA walifanya,waliishia kupiga kimya TU na baadae kuomba mazungumzo yafanyike juu ya mgogoro huo.

Mgogoro ulikua mkali sana,ilibaki kidogo tu new York na Washington zipigwe kwa makombora ya nyukilia.

Unajua matokeo yake?

Matokeo yake ni USA ilikubali kutoa silaha zake za nyukilia Uturuki ndio Urusi nae akatoa silaha zake za nyuklia cuba.

Akifa Putin Leo, watakuja Marais watata sana Urusi, Putin Mtakatifu.
 
In order for his economy to shrink, soldiers die, west companies exit Russia markert, Test her latest weapon, take control of food supply in the world, destroy Petrodolar, strengthen Brics, make economy recession for Europe , Make African awaken, disrupt NWO and lest bring back humanity's by embracing presence of true GOD not god's.
 
Mataifa makubwa duniani hata 10 tu yakijuinga kukudhibiti ni lazima utadhoofu - ni ujinga kusema Mrusi hatadhoofu ila mataifa ya magharibi ndiyo yatadhoofu sababu yananunua gas toka Urusi.
Kwani mpaka sasa kawekewa vikwazo na mataifa mangapi?au tusubiri mataifa mengine 10 tofauti na haya ya NATO na mme wao US?.mnajichanganya sana maelezo yenu....mara uchumi wake umedhoofika,mara hapa unatuambia kua ata....lini sasa?
 
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
 
Kuguswa ni kuguswa tu iwe indirect au direct. Urusi ni hatari sana katika ST ya vita. Acha ubishi. Jifunzeni kutofautisha kati ya mnachotamani kitokee na uhalisia uliopo
 
Tel Aviv has rejected Washington's request to approve the supply of Spike anti-tank systems to Ukraine, which are produced at an Israeli plant in Germany.

It is reported by Axios. According to the portal, the issue was discussed during a visit to the United States by Israeli Defense Ministry Director General Amir Eshel.

Eshel explained that Israel would only supply Ukraine with non-lethal weapons, the newspaper notes.

 
Twitter to pay $150 million in fines over user privacy lawsuit.

This was announced in a joint statement by the US Department of Justice and the Federal Trade Commission.

According to them, from May 2013 to September 2019, the social network shared phone numbers and email addresses of users with advertisers, although this was not provided for by the agreement.

Twitter has promised to introduce enhanced measures to protect the personal data of customers.

 
Maslahi Gani Tena zaidi ya Ukraine?
Hivi unajua kilichofanyika Syria?
Unajua kua ilibaki miji miwili TU Assad aondolewe madarakani?
Allepo na mji Mkuu wa Syria?
Hapo waasi wa Syria walisaidiwa na USA,UK na France.
Unajua kilichotokea?

Nakuambia Sasa.
Huku waasi wakisaidiwa na USA ,UK na Fr walishashika mikoa yote ya Syria wakibakisha. allepo na Damascus TU.
Yakaanza kuja maneno yakisema "Assad must go", "Assad must go", "Assad must go"haya yalisemwa kutoka USA,UK na Fr.

Putin akasema Assad hatoki.
Putin akapeleka jeshi lake peke yake,akishirikiana na askari watiifu kwa Serikali ya Assad,wakaanza kukomboa mji mmoja baada ya mwingine. Hatimae wakafanikiwa kuwatikomeze waasi na USA ,UK na Fr.
Assad bado yupo bana.

Kichekesho🤣
Tukio la kukumbukwa USA kwa kutumia meli Yao walirusha makombora 59 ndani ya Syria sijui walilenga Nini ,lakini Cha ajabu zaidi ya nusu ya makombora hayo yalipotea na hayakujulikana yalipotelea wapi.
Lakini sisi wafuatiliaji wa mambo tunajua Urusi ana teknolojia ya kupoteza malengo ya makombora.
Kama sijakosea Makombora hayo ni "Tomahawk"

The Russian military has claimed that the Syrian air defences, whose most modern weapon is a three-decades-old Russian-supplied anti-aircraft system, shot down 71 of 103 missiles fired by the US and its allies, the UK and France, a claim denied by the Pentagon.
 
Kituo cha anga ya juu cha China chakataa ombi la ushiriki la Marekani

Kituo cha China katika anga ya juu kitakachojengwa mwaka 2022 kimepokea maombi ya kushiriki kwenye mradi huo kutoka nchi 27, na kuruhusu nchi 18 kushiriki baada ya kutathmini huku kikikataa moja kwa moja ombi la Marekani.
Mbunifu mkuu wa mradi huo Bw. Zhou Jianping alipoulizwa kama China inapinga mradi wa Marekani au la, alijibu kuwa hawapingi nchi yoyote, ombi la Marekani limekataliwa kutokana na kutofikia vigezo vya thamani ya sayansi na teknolojia.
Imefahamika kwamba kituo cha kimataifa katika anga ya juu kitastaafu baada ya muda mfupi, na kituo cha China kitakuwa kituo cha pekee katika anga ya juu.
 
Twitter to pay $150 million in fines over user privacy lawsuit.

This was announced in a joint statement by the US Department of Justice and the Federal Trade Commission.

According to them, from May 2013 to September 2019, the social network shared phone numbers and email addresses of users with advertisers, although this was not provided for by the agreement.

Twitter has promised to introduce enhanced measures to protect the personal data of customers.

View attachment 2239401
 
In Prague, some shop owners place signs “No entry for Ukrainians” on their windows.

This was announced by British politician Nick Griffin with reference to Ukrainian TV:

“The Czechs say it's because of rampant theft and bad behavior. Ukrainians say that this is prejudice.”

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…