Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Sasa mpira na siasa wapi wapi hawa wazungu hovyo sana waafrica gadafi anavamiwa umoja wa afric unakodoa macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara badla ya kuchukua long-term plan wanadili na short të ambayo Bado haina maana Kwa Sababu Bei zitabaki palepale au zitaongezeka kidgo... Moja ya hatua ni at least aweze kuagiza mafuta ya kutosha hTa ya miezi siita hadi Tisa....badla ya kudill na mia mia
Unapoongelea NATO hawa watu wanacotrol mpk UEFA,FIFA mwaka huu wamemkumbusha hilo putin kwa kuzitimua timu zake, ukiachana na mambo ya kijeshi wanacontrol organizations nyng kias kwmb kupambana nao ni ngumu na very costly, haijalish mgogoro huu unaishaje ila image ya putin itakua imepata pgo sn kwakuwa ukiacha syria belarus myanmar na iran hakuna nch nyngn iliosema hadharan kuwa inasapoti operation ya russia nchn ukraine, kitendo cha china kutopinga azimio la kumlaan urusi UNSC kwa kujizuia kupga kura knathibitisha kutokukubaliana na uvamiz
Mkuu, inakuwaje Russia aendelea kuwashughulikia Ukraine ilhali kuna majadiliano ya ceasefire?Naaam karibu tena tumalizie ungwe ya pili na naona timu zinatoka vyumbani tayari kuanza,bado sijaona mabadiliko hadi sasa ila wachezaji wa timu ya Urusi wanaanza kupasha kwa wingi. Jukwaa la Ukraine lipo na watu wachache waliokaa sehemu moja na huku wengi wa mashabiki hao wakitoka nje ya uwanja.
Hata FIFA na Uefa wamewatumbua Russia!Ndugu Russia imetengwa kinoma wapiga gambe wamezira kunywa vodca za Russia wanazimwaga
Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaan...
Macron ameamua kutuma msaada kama mwanachama wa EU na NATO lkn Macron mara zote anampigia Putin kuomba wamalize mzozo. Fuatilia, na hata hajatoa statement mbaya yoyote au shutuma, zaidi anawasihi wenzake watafute njia nzuri kwani Mapigano yanaweza kuchukua muda mrefu na nchi nyingi kuathirika.utilivu wa macron kivipi?
![]()
Ukraine: France seizes Russian ship over sanctions - BBC News
The Russian-flagged cargo ship is suspected of breaching sanctions imposed because of the Ukraine war.www.bbc.com
nimecheka kwa nguvu sanaSasa mnataka mkimbie hiyo vita apigane nani vita ikiisha mrudi kula bata ?
Unataka asiwashughulikie!?Mkuu, inakuwaje Russia aendelea kuwashughulikia Ukraine ilhali kuna majadiliano ya ceasefire?
Dah! hawa jamaa wanatia huruma mabwenyenye wao maarufu kama oligarchy ukwasi wao kwenye masoko ya hisa ya nje wamefreez Dah beberu sio mtu mzuriHata FIFA na Uefa wamewatumbua Russia!
Izo nchi za ki soviet zote ni wabaguzi kama kimbaaa ovyo sanaaa[emoji837] Hali mbaya na ya ubaguzi imeanza Ukraine kwa watu weusi wanaoishi nchini Humo [emoji3525][emoji3525]
" Kosa letu pekee ni kua na ngozi nyeusi. Inawezekana aje weusi tuu ndio wateseke zaidi kuliko wazungu na wakati sote tunahitaji kuikimbia hii vita » ameuliza mwanafunzi mkongo anaeishi Kiev miaka mitatu sasa...
Tupe source mzee. Nasi tukadake madini haya.Naona Putin amaeamua kufukuza high military officials Walio conduct operations sababu imekua na majibu hasi kutegemea na walivyo kusudia. Na usiku wa leo looks like they plan a very serious attack.
Na huku Africa waliko kwa utalii na biashara tuwabague na tuwafanyie fitina[emoji837] Hali mbaya na ya ubaguzi imeanza Ukraine kwa watu weusi wanaoishi nchini Humo.
" Kosa letu pekee ni kua na ngozi nyeusi. Inawezekana aje weusi tuu ndio wateseke zaidi kuliko wazungu na wakati sote tunahitaji kuikimbia hii vita » ameuliza mwanafunzi mkongo anaeishi Kiev miaka mitatu sasa...