Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala ni ulinzi na usalama,sheria na uchumi..Nakumbuka Gavana wa BoT wakati wa Nyerere mzee Mtei alikuwa akimkatalia Mwalimu mambo mengi kutokana na athari zinazoweza kujitokeza mbeleni lakini wanasiasa wa wakati ule wakamuona Mtei kama mtu mkorofi.
Leo Putin baada ya kubanwa mbavu amemuita faraghani gavana wa Benki kuu wayajenge.
Maendeleo hayana vyama!
Tupe source mzee. Nasi tukadake madini haya.
www.bluewin.ch
⚡️Turkey will not compromise with alliances, or turn its back on Russia or Ukraine - Turkish President Erdogan
Fake newz mzee, hizi tango pori achana nazo.![]()
Russland setzt Angriffe trotz Gesprächen fort +++ Türkei blockiert Meerengen
Moskau setzt seine Offensive in der Ukraine trotz Friedensgesprächen ungebremst fort. Die Türkei blockiert die Meerengen Bosporus und Dardanellen für alle Kriegsschiffe. Die Ereignisse des Tages im Überblick.www.bluewin.ch
Uwe na google translater ni source ya wa Swiss
Hakuwa na Option cos kaapa kuilinda Russia na htari yoyote!Nassuport policies zake za nationalism ila kwa hili la kuipiga Ukraine hapana.
Amekosea sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema Beberu ameniudhi,angekubali kuweka vikwazo na kwenye mafuta na gas,huko kakwepa kwa sababu Ulaya wanategemea 25% ya mafuta na gas ya Russia..Putin Putinler sio mbobezi wamaswala ya pesa na matumizi yake huyo gavana ndomtaalamu lazima ajiulize. Ukraine haitumii pesazake kilakitu msaada Putin hela ishapungua itakua kwamuda wasiku 3 tu lakini kubwa vikwazo vile sio mchezo hivyo lazima akae chini ajiulize anavokej Mana atapigana na nchi 31 au 32 kubwa kiuchumi duniani
nimefurahi kusikia kupiga moja mbili na Gavana
Hapana ni legit kabisa, sio tango poriFake newz mzee, hizi tango pori achana nazo.
Waafrika na wahindi wanazuiwa kuingia kwenye Treni kuelekea Poland,iambieni serikali yenu ikachukue watu wake wanateseka
Mimi nimejiuliza sana masuali mengi (sidhani kama wengi humu wamejiuliza suali hilo) kwamba, je hasira zote hizi za nchi za magharibi na NATO huenda wanahofia vifo kwa askari wengi wa nchi hizo ambao wamekuwepo ndani ya Ukraine na Putin alipogundua hilo akaona awashughulikie.Unataka asiwashughulikie!?
wameongeza siku tena na sio masaa 24? putin hayuko serious
Mtoa mada ni mpuuziMe sipo Ukraine na siwezi kuwa ukraine
Walianza kumlegeza kwanza.Sema Beberu ameniudhi,angekubali kuweka vikwazo na kwenye mafuta na gas,huko kakwepa kwa sababu Ulaya wanategemea 25% ya mafuta na gas ya Russia..
Wangembana huko angeomba poo.