LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nakumbuka Gavana wa BoT wakati wa Nyerere mzee Mtei alikuwa akimkatalia Mwalimu mambo mengi kutokana na athari zinazoweza kujitokeza mbeleni lakini wanasiasa wa wakati ule wakamuona Mtei kama mtu mkorofi.

Leo Putin baada ya kubanwa mbavu amemuita faraghani gavana wa Benki kuu wayajenge.

Maendeleo hayana vyama!
Utawala ni ulinzi na usalama,sheria na uchumi..

Hivi vitu 3 ndio stability ya Nchi yeyote Duniani.
 
⚡️Turkey will not compromise with alliances, or turn its back on Russia or Ukraine - Turkish President Erdogan

Turkey moves to restrict entrance to Black Sea​

President Recep Tayyip Erdogan has said Turkey will will use its authority over the Turkish Straits under the 1936 Montreux Convention to prevent the Russia-Ukraine “crisis” from further escalating.
 
Nassuport policies zake za nationalism ila kwa hili la kuipiga Ukraine hapana.

Amekosea sana.
Hakuwa na Option cos kaapa kuilinda Russia na htari yoyote!

Usione NATO wanashadadia Ukraine ijiunge NATO ila wanajua faida zake na si nyingine ila kufanikiwa kupata eneo la karibu zaidi lakumuingilia Russia.

Bado kuna mtihani maana nimesoma mahala kuwa Rais wa Ukraine kashapeleka maombi ya kujiunga EU kitu ambacho kitampa tiketi yakujiunga NATO moja kwa moja.

Uenda hatukujua mapema ila Rais wa Ukraine wa Wasasa uliandaliwa kimkakati na NATO wenyewe na ndiyo maana anaforce na kupeleka mambo kwa haraka zaidi kuliko kusikiliza ao majirani zake wa karibu wana tatizo gani juu ya wao kujiunga NATO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin Putinler sio mbobezi wamaswala ya pesa na matumizi yake huyo gavana ndomtaalamu lazima ajiulize. Ukraine haitumii pesazake kilakitu msaada Putin hela ishapungua itakua kwamuda wasiku 3 tu lakini kubwa vikwazo vile sio mchezo hivyo lazima akae chini ajiulize anavokej Mana atapigana na nchi 31 au 32 kubwa kiuchumi duniani

nimefurahi kusikia kupiga moja mbili na Gavana
Sema Beberu ameniudhi,angekubali kuweka vikwazo na kwenye mafuta na gas,huko kakwepa kwa sababu Ulaya wanategemea 25% ya mafuta na gas ya Russia..

Wangembana huko angeomba poo.
 

Ukraine makes offer to Russian soldiers who lay down weapons​

Ukrainian Defence Minister Oleksii Reznikov has appealed to Russian soldiers, saying they will receive full amnesty and monetary compensation if they lay down their weapons.
 
Hii sasa ni kufuru.

Marekani imesema baada ya kuiondoa benki kuu ya Russia kwenye mifumo yake ya kifedha kitakachofuatia ni kuizuia kutumia fedha yake US Dollar.

Mungu wa mbinguni wahurumie raia wa Tanzania wanaoishi Russia!
 

Waafrika na wahindi wanazuiwa kuingia kwenye Treni kuelekea Poland,iambieni serikali yenu ikachukue watu wake wanateseka

Hii ndio chance ya kutoka kimaisha kwa hao watu.
Wasikimbie vita wanatakiwa kubaki ndo utajiri wao huo, wahindi na wazungu wa afrika ya kusini ndivyo walivyofanikiwa
 
wale warusi wa buza ujumbe wenu huu

70F0863F-1C37-4A23-BF6E-E3D809116F52.png


D7EBBED1-75FE-4C69-9518-86B2D27F5240.png


05502F2D-9241-44CF-ADE6-688625F46210.png


84DCE99C-DD5F-4919-B8D1-68725BA67E30.png
 
Unataka asiwashughulikie!?
Mimi nimejiuliza sana masuali mengi (sidhani kama wengi humu wamejiuliza suali hilo) kwamba, je hasira zote hizi za nchi za magharibi na NATO huenda wanahofia vifo kwa askari wengi wa nchi hizo ambao wamekuwepo ndani ya Ukraine na Putin alipogundua hilo akaona awashughulikie.

Vikosi vidogo vya majeshi ya Canada, USA, na nchi zingine zilikuwemo nchini Ukraine kwa muda mrefu wakitoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine ambapo Putin alionya na ilikuwa ni suala la muda tu Ukraine iwe nchi ya Umoja wa Ulaya na hatimae NATO.

Ndio maana kwa sasa wanajitahidi kutaka kutoa misaada zaidi ya vifaa vya kijeshi (kupitia Poland) lakini inakuwa ngumu kwani tayari Ukraine imezingirwa vibaya.

Ni suali la msingi sana kujiuliza je, hasira za nchi za magharibi na NATO zinatokana na kuathiriwa na hali kwamba Russia inashambulia raia wake (wanajeshi) ingawa hii kitu hawawezi kukisema hadharani na kutuficha kwa kivuli cha vikwazo mbalimbali vya kiuchumi?
 
Back
Top Bottom