LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa mpira na siasa wapi wapi hawa wazungu hovyo sana waafrica gadafi anavamiwa umoja wa afric unakodoa macho
 

Hayo mafuta utayahifadhi wap kaka?
Hatuna sehem za kuhifadhi hayo mafuta
 
Naona Putin amaeamua kufukuza high military officials Walio conduct operations sababu imekua na majibu hasi kutegemea na walivyo kusudia. Na usiku wa leo looks like they plan a very serious attack.
 

We Bwege Kweli Unazani Urusi Wanashobo Na Mambo Ya Kijinga Kijinga
 
Acheni kulalamika. Hao weusi si wana kwao ambako hakuna vita? Kama ni raia wa Ukraine halafu wanabaguliwa hayo ni makosa lakini kama ni raia wa nchi nyingine hawawezi kuingia tu kiholela nchi nyingine. Kumbukeni kila nafasi anayopewa raia wa nchi nyingine huko Poland ni nafasi anayonyimwa mkimbizi wa kweli.
 
Mkuu, inakuwaje Russia aendelea kuwashughulikia Ukraine ilhali kuna majadiliano ya ceasefire?
 
Macron ameamua kutuma msaada kama mwanachama wa EU na NATO lkn Macron mara zote anampigia Putin kuomba wamalize mzozo. Fuatilia, na hata hajatoa statement mbaya yoyote au shutuma, zaidi anawasihi wenzake watafute njia nzuri kwani Mapigano yanaweza kuchukua muda mrefu na nchi nyingi kuathirika.
 
Putin Putinler sio mbobezi wamaswala ya pesa na matumizi yake huyo gavana ndomtaalamu lazima ajiulize. Ukraine haitumii pesazake kilakitu msaada Putin hela ishapungua itakua kwamuda wasiku 3 tu lakini kubwa vikwazo vile sio mchezo hivyo lazima akae chini ajiulize anavokej Mana atapigana na nchi 31 au 32 kubwa kiuchumi duniani

nimefurahi kusikia kupiga moja mbili na Gavana
 
Izo nchi za ki soviet zote ni wabaguzi kama kimbaaa ovyo sanaaa
 
Naona Putin amaeamua kufukuza high military officials Walio conduct operations sababu imekua na majibu hasi kutegemea na walivyo kusudia. Na usiku wa leo looks like they plan a very serious attack.
Tupe source mzee. Nasi tukadake madini haya.
 
Ngao ya Sponji Kuna vitu mnapenda sana kuvidandia bila tafakari pana. Naomba nikufikirishe kidogo:
1. Je hao raia wa Ukraine wanaoingia Poland na mataifa mengine wanaingia kwa utaratibu upi hadi hao "Waafrica" washindwe?

2. Je, serikali ya nchi zetu za Africa zimechukua hatua zipi kuhakikisha hao wenzetu wanakuwa salama? Tukubali kuwa sisi hatujali sana human security!

3. Hivi wewe ulishawahi kusafiri/kumpokea mgeni wako raia wa nchi nyingine ukaona usumbufu anao upata mpakani? Je

4. Mfano; wewe kwako pamevamiwa au umekumbwa na janga. Je, utamlaumu jirani yako kwa kushindwa kuchukua hatua kuwaokoa watu wako?

5. Hao vija Sisi tunafanya nini kuwaokoa watu wetu kama wao wanavowapambania watu wao?

Tusitafute vichaka vya kujificha
 
Na huku Africa waliko kwa utalii na biashara tuwabague na tuwafanyie fitina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…