Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zile thread pro nato wanaanzisha kufarijiana ila wenye Ukraine yao wanakiri mambo ni mazito
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mapema leo baada ya US kukataa kupeleka makombora ya masafa marefu huko Ukraine, Ex President of Russian Federation amezungumza haya:

⚫ Biden said the United States would not supply Ukraine with missile systems capable of attacking Russia.

Reasonable!

Otherwise, when attacking our cities, the Russian Armed Forces would have fulfilled their threat and struck at the centers of these criminal decisions.


Some of them are not located in Kyiv at all. What's next, no need to explain...

β€ŠHuh, Its him once again! Huyu mdau angekuwa incumbent hivi sasa dah! He he he πŸ˜‚.
 
Inawezekana....lakini pia inaweza kuwa mbinu ya serikali ya Ukraine kuwatisha wanajeshi wanaozidi kujisalimisha kuwa huenda na wao yakawakuta ya wenzao.
 
Naam Bushmaster Amoured vehicles ni magarivita maalumu ya Australia yaliyopelekwa Ukraine kupambana na majeshi ya Russia. Magari haya yalipotolewa yalisifiwa mno kuwa yana uwezo wa juu zaidi wa kimapambano ikiwa pamoja na uwezo wa magari hayo kuhimili milipuko ya mabomu na hivyo kutoathiriwa/haribiwa na mabomu ya adui vitani.

Yamekuwa yakisifiwa kuwa yalifanya vizuri sana ktk vita vya Afghanistan.

Jambo la kushangaza ni kuwa Australia yenyewe imeripoti kuwa magarivita hayo yameweza kuharibiwa na moto mkali wa mvua za makombora na mizinga ya Russia.

Na Kyiv yenyewe imetoa video ya mojawapo ya magarivita hayo ya Australia likiwa limechakazwa na kuharibiwa na moto wa majeshi ya Russia kiasi kwamba likatelekezwa kama chuma chakavu.



 
[emoji23][emoji3]yaani huo mkunjuo kama kuna mdudu anatokea ghafla lazima udili naye kwanza ndio uendelee kukunjua kapeti....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
PUNGUZA MAHABA KUNA MIMBA ZA UKUBWANI....
 
Swadakta mkuu,wakati hivi vita vinaanza,pro NATO wanaanza kusema Urusi itapigwa kama Iraq,nikawakumbusha, kwamba Ujerumani anamjua mrusi kama vizuri sana alichomfanyia kule Stalingrad. Ndio maana Ujerumani Yuko reluctant kutoa silaha,eti anasema mpaka mwenzi wa Saba ndio atatoa silaha, really!!? Ukisoma vizuri Ile vita, Mjerumani alizingirwa na mrusi,njaa ikampiga mpaka wanaanza kula nyama za farasi, Mrusi ni shidaaaa!
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kama jamaa walimpa gari aendeshe
..wakpokea wakamuonyesha namna ya kuendesha..sasa ngoja apewe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…