Najua mkuu na naelewa nifanyalo.Hii message sio yako,imepitia kwako tu,wenyewe wanajijua.Si unajua,nao wanatumia maneno hayo hayo.Mnafungua nchi kwa wezi,hawa hawa walio ibia Urusi reserves zao!Hamtapona,mtapigwa tu.
Njia nzuri yakumpiga ama kupigana na anaekupiga sio kujilinda nikushambulia naweweUna makasiriko kwa sababu hiyo hoja yenu ya Urusi kuivamia Ukraine kwa sababu ni tishio kwake inakuwa famba, propaganda na uongo mtupu.
Elewa kwamba US inaipa silaha Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi nchini kwake ni sio kuanzisha vita mataifa mengine. US, Ulaya, China na watu wengine wowote wanataka huu uvamizi wa mwendawazimu uishe haraka na wanafanya kila linalowezekana kuto escalate na kurefusha. Bahati mbaya wana deal na homicidal dictator.
NATO sababu ila kuna sababu kuu zaidi ya hiiSasa kama sio US au NATO wanaoweza kuhatarisha usalama wa Russia kwa nini Putin ameivamia Ukraine?!
Kama una akili ndogo tu za kuvukia barabara huwezi kuona hoja ya Pro Russia kwamba Ukraine imevamiwa kwa sababu ilikuwa inataka kujiunga NATO inakufa kibudu?!
Ingekuwa ukweli..hii habari ingenea kama moto wala isingekua ya kutafuta kwa tochi...hamna kitu hapoKikosi kizima Cha wanajeshi wa miavuli Cha Urusi "Paratroopers" chaangamizwa na wanajeshi wa miavuli wa UKRAINE [emoji848]
Putin devastated: Entire battalion of paratroopers annihilated
VLADIMIR PUTIN has suffered further devastation after an entire Russian battalion of paratroopers was "annihilated" by Ukrainian forces.www.express.co.uk
Hapo utaelewa shetani na muharibifu wa dunia ni yupiView attachment 2245097View attachment 2245098
Tuko pamojaNajua mkuu na naelewa nifanyalo.Hii message sio yako,imepitia kwako tu,wenyewe wanajijua.Si unajua,nao wanatumia maneno hayo hayo.
Naona ProPutin katika ubora.Vyombo vya magharibi vikielezea madhila ya Ukraine mnashangilia wakielelezea madhila ya Russia wanayopitia mnaita propaganda.Hii ni''DOUBLE STANDARD'' 🙄Express ni chombo Cha habari cha NWO,kwa hiyo kina conflict of interest na Vita ya Ukraine.So hii taarifa as long as ina mkono wa Ukraine na Western Media,itabaki kuwa udaku kwa sasa.Tuletee taarifa za media ambazo hazina conflict of interest na vita ya Ukraine na Russia tutaamini.
Halafu naomba ukumbuke kwamba Western Media Journalists are trained to cheat,it's part and parcel of their training,do not believe them.
Huyu mtu Sasahivi kawa MweupeHivi ndivyo vita vya kisasa, unabonyeza tu ukiwa sehemu ofisini.....
Umetisha mkuu..!Natembea nayo ila kuna mengine nitakuwa nayaruka maana article ndefu mno... Pia kuna mengine nitayaacha bila tafsiri kwasababu kuyatafsri yataleta ugumu kueleweka kuliko hata yalivyo kwenye lugha hiyo ya kigeni.
Intel: Ukraine Inapoteza Wanajeshi 1500 kwa siku kwa kifo, kujeruhiwa, kukamatwa, kujisalimisha, au (wengineo) kutoroka.
"Mawasiliano yaliyodukuliwa kutoka kwenye Command za kijeshi za Ukraine yanaonyesha lengo lao la kujenga ulinzi mkali kutoka Poltava kupitia Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog na Nikolaev - Ingawa none of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.
Kuna mjadala mkali kati ya wataalam wa kijeshi wa Urusi juu ya kwanini Wizara ya Ulinzi "does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time."
Lakini Hilo halitatokea. Warusi wanapendelea kuendeleza (operation yao) polepole na kwa hakika, kwa aina ya muundo wa "steamroller" (mwondoko wa kukunjua kapeti 😂).
Wanasonga mbele tu baada ya "sappers" kufuatilia kikamilifu ardhi ya eneo mbele yao baada ya kukagua mabomu yaliyotegwa ardhini ukizingatia yamepandikizwa kila kona!
"The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage". Hasara kwa Ukraine zinazidi kuongezeka yakadiriwa 1,500 kuuawa au kujeruhiwa kila siku. Ikiwa kuna Waukraine 50,000 kwenye "Cauldrons" kadhaa za Donbass, basi huenda they will be gone by the end of June.
Ukraine imepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000 Mariupol pekee. Hiyo ni kushindwa kwa kijeshi kwa kiasi kikubwa, tena kwa kiasi kikubwa kuzidi Debaltsevo mwaka 2015 na hapo awali Ilovaisk mwaka 2014.
Hasara nyingine huko Izyum inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko Mariupol. Na sasa "come the losses in the Severodonetsk corner"...
(Tukumbuke) Tunazungumza hapa juu ya vikosi bora vya Ukraine. Haijalishi kwamba ni asilimia 70 tu ya silaha za Magharibi zilizotumwa na NATO zimewahi kufika kwenye uwanja wa vita: tatizo kubwa ni kwamba askari bora zaidi wanaisha
"best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced." 😟
Azov neo-Nazis, Brigade ya 24, Brigade ya 36, brigade mbalimbali za Air Assault - "they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished"
...hasara kubwa itakayopatikana huko Severodonetsk and Lysichansk "will ring serious alarm kwa Washington na Brussels", kwasababu italeta ishara kua ni mwanzo wa kuanguka kwa "current regime in Kiev".
Hali hii itapelekea misaada kutoka magharibi kupungua, this means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...
Zelensky yeye mambo yatakuwa shwari tu. Kwani analindwa na British and American special forces. Familia yake hivi sasa inaishi ndani ya Mansion kubwa tu huko Israel ($8 million mansion in Israel), anamiliki $34 million villa in Miami Beach, na nyingine huko Tuscany.
Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis.
Na hao Ukrainians waliobaki (ambao kati yao 10 million wameondoka nchini hapo) wataendelea kua treated as "expendable". Hapa naongezea maneno yangu kiduchu... Kua expendable ni sawa kutumika. Mfano kama tunavyosikia miongoni mwa wale waliojisalimisha wakisema namna wanavyolazimishwa kutumika jeshini bila uzoefu wowote.
Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Hapo ndio mwisho!
Kucopy na kupaste kwenye Translator ni easy ila ile tafsiri ya kwenye translator kuifanya ieleweke ni habari nyingine 😂😂😂. Nimetimiza ahadi kwa heshima yako lee van cliff
Mzee Sikirimimimasikini hizi siku za karibuni naona umewaamulia pro NATO/UKR wamebaki hawana hoja maana ushahidi unaonyesha vita imewazidiaHabari hii yaripotiwa na chombo cha habari cha Uingereza kiitwacho 'The Scotsman'.
Muingereza toka Scotland aitwaye Mr. Aitkin aliyeenda Ukraine kuyasaidia majeshi ya Zelensky kupambana na majeshi ya Russia aliamuaua kurejea zake kwao Scotland kupiga pizza ,deserts na ice cream. Anatoa ushuhuda walichokiona huko Ukraine kuwa ni wapiganaji wa kigeni waliokuwa wakiipigania Ukraine hawana mpangilio mzuri ktk vita, hawana mafunzo ya kivita, na hawana vifaavita na silaha. Serikali ya Ukraine haijali usalama wa wapiganaji hao (wanatumika kama chakula ya mizinga ya Russia).
Mr. Atkin anasema aliponea chupuchupu kunaswa katika shambulio baya zaidi la mjeshi ya Russia kwenye kambi iliyokuwa ikiwahifadhi wapiganaji wa kigeni huko karibu na Lviv magharibi mwa Ukraine, karibu na Poland. Anasema Russia ilimimina makombora ya kruizi takriban thelathini, na dazeni nyingi za wapiganaji wa kigeni walikufa siku hiyo. Alikuwa kishaghairi kupigana na akaamua kwenda kujiunga na vikundi vya kutoa misaada. Nyuma yake ndio kambi hiyo aliyokuwepo ikapelekewa moto mkali na Russia
Mr. Atik anasema wale wapiganaji wa kigeni wanaotaka kwenda huko Ukraine watambue ukweli kuwa wanaenda kutumika kama chakula cha mizinga ya Russia (Zelensky hatowajali wapiganaji hao wa kigeni wakishafika Ukraine).
Mr. Curtis, mwingereza mwingine aliyeenda kuipigania Ukraine pia nae anaongelea uzoefu huo huu. Anaema wapiganaji wa kigeni toka Uingereza waliofika Ukraine ni mamia kadhaa. Lakini baada ya lile shambulio la makombora 30 ya kruizi lililofanywa na Russia kwenye kambi iliyokuwa imewahifadhi wageni hao, wapiganaji wengi wa kigeni wakashtuka kuwa kumbe sio gemu lile, wakaamua kurejea makwao (kwenye nchi zao, ikiwemo yule Sniper Bora Duniani toka Canada, Sniper Wali)
View attachment 2244899View attachment 2244900View attachment 2244901View attachment 2244902
View attachment 2244903
View attachment 2244904View attachment 2244905
Huo ndio uhalisia kabisa. Ifahamike Nguvu kamili za Majeshi ya Super power countries ni Siri kubwa ya Nchi husika na hata hizo records ambazo wengi tuna zisema humu from papers, yawezakuwa ni tofauti kabisa na uhalisia.Njia nzuri yakumpiga ama kupigana na anaekupiga sio kujilinda nikushambulia nawewe
US na shost zake badala ya kifo wanaiogopa zaidi RUSSIA kuliko kingine chochote
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app