Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una makasiriko kwa sababu hiyo hoja yenu ya Urusi kuivamia Ukraine kwa sababu ni tishio kwake inakuwa famba, propaganda na uongo mtupu.

Elewa kwamba US inaipa silaha Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi nchini kwake ni sio kuanzisha vita mataifa mengine. US, Ulaya, China na watu wengine wowote wanataka huu uvamizi wa mwendawazimu uishe haraka na wanafanya kila linalowezekana kuto escalate na kurefusha. Bahati mbaya wana deal na homicidal dictator.
Wee jamaa ni mpuuzi sijapata kuona; akisema anatoa unafurahi na kusema mtaona sasa, akisema hatoi anathibitisha ujinga kwa pro Russia. You are hopelessly angaging your empty head in serious staffs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kupima kiwango chao upumbavu we tamka "Marekani hivi na vile" kisha kaa pembeni kusoma yanayotoka kwenye mafuvu yao!

Wadogo zetu hawa level waliyofikia, hata kama watamkuta mmarekani kajisaidia barabarani watakwambia anasave gharama za kuzibua choo endapo kikijaa kwa kujisaidia kwake mara kwa mara huko chooni.

To them, US hakosei wala hashindwi...[emoji848]
Hahahaha hapo penye kukusaidia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canada inaripoti kwa huzuni kuwa majeshi ya Russia yameshaingia kwenye jiji kubwa la Sievierodonetsk, huko Luhanks huku yakigawa kipigo cha 'paka aliyeiba mboga (samaki)' kwa wanajeshi wa Ukraine.

Zelensky alia kuwa zaidi ya asilimia 90 ya majengo ya jiji hilo la kimkakati linalotakiwa na Russia yamesawazishwa kwa mvua za makombora ya Russia na majengo hayo yamekuwa majivu na vifusi.

Omusolopogasi na Glenn piteni hapa mteseke zaidi

======

View attachment 2244810View attachment 2244811View attachment 2244812
View attachment 2244813
Screenshot_20220531-071041.png
Screenshot_20220531-071041.png
 
Ghana and Uganda are banning the export of grains and other farm produce.

Ghanian government has extended a ban on grain exports. A temporary ban on exporting maize, rice, soybeans and other grains implemented in Sept 2021 has been extended until Sept 2022.

So it continues.
 
Sasa kama sio US au NATO wanaoweza kuhatarisha usalama wa Russia kwa nini Putin ameivamia Ukraine?!

Kama una akili ndogo tu za kuvukia barabara huwezi kuona hoja ya Pro Russia kwamba Ukraine imevamiwa kwa sababu ilikuwa inataka kujiunga NATO inakufa kibudu?!
Naona mnazidi kujifariji
Si US ama NATO yeyote anaeweza kuhatarisha usalama wa RUSSIA
Waeke basi No fly zone ili UKRAINE iwe mahali salama dhidi ya RUSSIA
Kama wamechemka kumpa silaha zakupiga ndani ya RUSSIA
UKRAINE inaondoka mujue oohoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

REPORTS: Russia to Cut-Off Denmark from Natural Gas on Tuesday​

WORLD HAL TURNER 30 MAY 2022 HITS: 2640
Intel circuits are blazing as of 10:24 PM EDT Monday night, with reports that Russia has told Denmark all natural gas to that country will be CUT-OFF tomorrow (Tuesday, 31 May 2022) because Copenhagen refuses to pay for Russian gas in Rubles.
Denmark holds 0.57 trillion cubic feet (Tcf) of proven gas reserves as of 2017, ranking 66th in the world and accounting for about 0.008% of the world's total natural gas reserves of 6,923 Tcf.
Denmark has proven reserves equivalent to 5.1 times its annual consumption, but they can't get it out of the ground fast enough because most of it comes from rigs in the North Sea. So Denmark must import about 12% of their annual natural gas usage.
Of course, Denmark is saying the Russia cut-off won't matter much. Finland said the same thing just before they were cut-off. Here's what's actually taking place now in Finland as a direct result:
x1980.png

Gee, suddenly it doesn't look like Finland is doing so well. No bread? No gas in commercial bakeries anywhere in the country to bake bread?????
HMMMMM. Seems like the politicians in Finland LIED.
Gee whiz. Ain't that just too bad . . . .
Pay in Rubles and you can eat bread again!
 
Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.

Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.

Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.

______________


Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.

"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.

Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.

Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.

Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC

Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Unaandika kishabiki unafikili vita hiyo ni kama ligi ya NBC?
 
Swadakta mkuu,wakati hivi vita vinaanza,pro NATO wanaanza kusema Urusi itapigwa kama Iraq,nikawakumbusha, kwamba Ujerumani anamjua mrusi kama vizuri sana alichomfanyia kule Stalingrad. Ndio maana Ujerumani Yuko reluctant kutoa silaha,eti anasema mpaka mwenzi wa Saba ndio atatoa silaha, really!!? Ukisoma vizuri Ile vita, Mjerumani alizingirwa na mrusi,njaa ikampiga mpaka wanaanza kula nyama za farasi, Mrusi ni shidaaaa!

Mrussi kashindikana [emoji119]
 
Habari hii yaripotiwa na chombo cha habari cha Uingereza kiitwacho 'The Scotsman'.

Muingereza toka Scotland aitwaye Mr. Aitkin aliyeenda Ukraine kuyasaidia majeshi ya Zelensky kupambana na majeshi ya Russia aliamuaua kurejea zake kwao Scotland kupiga pizza ,deserts na ice cream. Anatoa ushuhuda walichokiona huko Ukraine kuwa ni wapiganaji wa kigeni waliokuwa wakiipigania Ukraine hawana mpangilio mzuri ktk vita, hawana mafunzo ya kivita, na hawana vifaavita na silaha. Serikali ya Ukraine haijali usalama wa wapiganaji hao (wanatumika kama chakula ya mizinga ya Russia).

Mr. Atkin anasema aliponea chupuchupu kunaswa katika shambulio baya zaidi la mjeshi ya Russia kwenye kambi iliyokuwa ikiwahifadhi wapiganaji wa kigeni huko karibu na Lviv magharibi mwa Ukraine, karibu na Poland. Anasema Russia ilimimina makombora ya kruizi takriban thelathini, na dazeni nyingi za wapiganaji wa kigeni walikufa siku hiyo. Alikuwa kishaghairi kupigana na akaamua kwenda kujiunga na vikundi vya kutoa misaada. Nyuma yake ndio kambi hiyo aliyokuwepo ikapelekewa moto mkali na Russia

Mr. Atik anasema wale wapiganaji wa kigeni wanaotaka kwenda huko Ukraine watambue ukweli kuwa wanaenda kutumika kama chakula cha mizinga ya Russia (Zelensky hatowajali wapiganaji hao wa kigeni wakishafika Ukraine).

Mr. Curtis, mwingereza mwingine aliyeenda kuipigania Ukraine pia nae anaongelea uzoefu huo huu. Anaema wapiganaji wa kigeni toka Uingereza waliofika Ukraine ni mamia kadhaa. Lakini baada ya lile shambulio la makombora 30 ya kruizi lililofanywa na Russia kwenye kambi iliyokuwa imewahifadhi wageni hao, wapiganaji wengi wa kigeni wakashtuka kuwa kumbe sio gemu lile, wakaamua kurejea makwao (kwenye nchi zao, ikiwemo yule Sniper Bora Duniani toka Canada, Sniper Wali)

View attachment 2244899View attachment 2244900View attachment 2244901View attachment 2244902
View attachment 2244903
View attachment 2244904View attachment 2244905

Miss ukraine aliwadanganya sana watu humu ndani[emoji28][emoji28]
 
Una roho na hulka kama za Jiwe
Kwa Sasa sioni kama kuna haja ya Urusi kuwa na mazungumzo ya amani kati yake na Zelensky:the Cocaine pusher and Drama Queen,after all they are at an advantage millitarily.Watekeleze kwanza malengo yao Ukraine.Kwanza the UN ni matapeli wale wale tu,hawana tofauti yeyote na matapeli ya nchi za Magharibi.
 
Ghana and Uganda are banning the export of grains and other farm produce.

Ghanian government has extended a ban on grain exports. A temporary ban on exporting maize, rice, soybeans and other grains implemented in Sept 2021 has been extended until Sept 2022.

So it continues.
Sisi tunafungua nchi
 
Kikosi kizima Cha wanajeshi wa miavuli Cha Urusi "Paratroopers" chaangamizwa na wanajeshi wa miavuli wa UKRAINE 🤔
Express ni chombo Cha habari cha NWO,kwa hiyo kina conflict of interest na vita ya Ukraine.So hii taarifa as long as ina mkono wa Ukraine na Western Media,itabaki kuwa udaku kwa sasa.Tuletee taarifa za media ambazo hazina conflict of interest na vita ya Ukraine na Russia tutaamini.

Halafu naomba ukumbuke kwamba Western Media Journalists are trained to cheat,it's part and parcel of their training,do not believe them.
 
Back
Top Bottom