Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vipo vyenye afadhali, vifaa aina zote vikiwa tofauti lazima vizidiane uwezo. Huwezi sema Samsung, iPhone, Huawei na Tekno ziko sawasawa kisa zote ni simu.

Mwaka 2012 vita ya Sudan ilitokea kabla Sudan Kusini haijajitenga, pale kwenye harakati za mwisho. Sudan Kusini wakapeleka T-72 version ya mwanzo ila Sudan halisi ikapeleka T-55 ambayo ni modification ya T-54. Vifaru vya Sudan vikapigwa, hapo Sudan ikapeleka vifaru vingine nimesahau navyo vikapigwa mwishowe ikatuma Chinese Type 96A. Type 96A za China zinazidi mbali sana T-72 early version za Urusi. Kwanza T-72 early version haina automatic lock on target. Kama kifaru kinapita kwenye kona na matuta inabidi gunner abahatishe kupiga shabaha wakati Type 96A kinaweza lock on kwenye shabaha wewe hata uendeshe ovyo. Mwishowe Sudan ilipiga T-72 zote za South Sudan bila kupoteza hata Type 96A hata moja. Sudan wanavyo kama 200 hivi.

Kwahiyo ukiachana na uwezo wa kupiga, bado uwezo wa kujilinda vifaru vinazidiana, na uwezo wa kusalimika vinazidiana. Battle of Medina Ridge ni maarufu ilipigwa baina ya US 1st Armoured Division VS Iraq's 2nd Brigade ambapo Marekani ilipoteza vifaru vinne na Iraq ikapoteza vifaru 180 na kitu. Vifaru vilikutana jangwani kwenye uwazi, hakuna visingizio na hakuna kukimbia wala kuita air cover ya maana. Mapigano ya masaa mawili jangwa lilikuwa sehemu ngumu ya kuishi.

Israel ilikutana na Soviet made Egyptian tanks kwenye tank battle Egypt wakapoteza vifaru 8 na Israel ikapoteza 64. Tank battle ndio nzuri kupima uwezo binafsi wa vifaru na ukitaka kujua kifaru gani kina uwezo wa kujilinda unaangalia crew ya kifaru ni watu wanne, vifaru vilivyopigwa na kuharibika ni 10 kwa mfano, ila waliokufa ni 16. Crew ya watu 40 jumla ilikuwa kwenye vifaru vilivyopigwa kwenye tank battle ila waliokufa ni 16. Na kuna njia nyingine za kutaja kifaru gani kina survival rate kubwa: Armour ya kifaru ni level gani mfano Chobham armour iliyogunduliwa na Waingereza ni very expensive, reinforced reactive armour au steel armour ambayo ni common kwa kila mtu.

Picha hii chini kifaru hatari zaidi kuwa ndani ni T-72. Mko ndani mmekalia shells wakati kina Abrams na Leopard shells wanaweka nyuma na zinafungwa kwenye armoured compartment. Rate kubwa ya crew kufa ni T-72 hapo.

Ndio maana Russia T-14 Armata crew wameipa compartment ngumu na iko pamoja pale mbele karibu kabisa na dereva tofauti na hapo kwenye T-72. Wao wanapenda automatic loader kwahiyo lazima wawe na kitu kama ring kurahisisha loading kupunguza failure ya loader.View attachment 2244630
Be blessed
 
Democracy inapigiwa chapuo mbaka kwenye cartoon watoto zenu uhuru mwanana wa bila mipaka...

View attachment 2244918

Maoni ya huyo jomba yazingatiwe,
Hapo utaelewa shetani na muharibifu wa dunia ni yupi
FB_IMG_16539615696124451.jpg
FB_IMG_16539615395605153.jpg
 
Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?

Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?

Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?

Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?

View attachment 2244695

Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?

If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?

Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?

Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!

Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he 😂
Nakupa vyeo tu mkuu
 
Ndio maana uliemuuliza hajakujibu ipasavyo.huwa Hana dharau angeshakujibu mapema TU.
Hapana me sikujibu chochote, ila Galip Vrl na Mr Tyang ndio waliomjibu kimasihara nadhani sababu ni kama ulivyowaza wanajua anajua ila ana......

Ok tuachane na hilo, umemweleza vizuri indeed ila kuna kisehem hiki hapa ngoja tukiweke sawa!
Kwa hiyo no fly zone ni kuweka (mitambo) Yani silaha za kuweza kufanya kazi hiyo ya kuzipiga ndege za Adui ama kudungua makombora ya Adui.
Kwa sentensi moja ni kwamba Zelensky aliomba silaha za kupiga ndege za Urusi.
Ni kwamba hakuna silaha inaitwa no-fly zone/ no flight zone!

Bali no fly zone ni kitendo cha kuzuia ndege vita ku-fly over eneo lililokusudiwa kuwekea hiyo no 'flight zone' vyovyote utakavoiita fly ama flight.

⚫ Ok sasa swali, Hii no fly zone inatekelezwa vipi?

Hii no fly zone inakuwa enforced by a threat of force, Taifa au Mataifa yanayo'impose hiyo No Fly Zone lazima ya-deploy surveillance aircraft ili ku-monitor airspace iliyokusudiwa.

Bila kusahau fighters to deter na kama ikiwezekana basi ku-shoot down any hostile aircraft ambayo inaingia eneo hilo. Mfano rahisi ni namna NATO walivyofanya Libya 2011 hiyo also kwa US na kundi lake kule Iraqi toka 1991 hadi 2003.

⚫ Swali la pili sasa turudi nyuma kwanini NATO waligoma?

Yah wote tunakumbuka namna Elensky alivyokua akiwaomba NATO kuweka no Fly Zone hapo Ukraine! Hii ilimaanisha kwamba NATO waingie kulilinda anga la Ukraine kama walivyofanya Libya. Vile vile ilikuwa na maana rahisi kutamka ila ngumu kutekeleza, maana ya kushoot down ndege vita za Russia.

So hiyo kwa tafsiri nyingine ingekuwa ni kama direct military intervention ambayo walipigwa Onyo na Putin kuhusu yoyote atakayeingilia. Na hiyo ndio sababu ya NATO kuwakatalia Ukraine kuhusu kuwawekea no Fly zone kwasababu ingekuwa ni mapigano ya moja kwa moja kati yao na Russia...

Mdau sikumjibu kutokana na namna alivyouliza "Kwa hiyo no flyzone ni silaha" 😂. Yes ni Pro-Russia mwenzetu nikaamua kukausha tu.

Logic ya kawaida tu.
Eneo la Bank si linalindwa? Wanalilinda kwa kutumia nini? Kwani neno ulinzi ni silaha? au Silaha ndio zinatumika kufanya ulinzi?

Katika kile nilichokua nazungumza kule ni kua hata panga ni silaha ila inaweza kua Offensive au Defensive kutokana na kusudio!

NATO na EU wamekuwa wakidai wanawasaidia Ukraine kujilinda, ndio tukahoji hata ile No Fly Zone waliyoomba ilikuwa ni kwa kujilinda wangewasaidia kama walivyofanya "huduma bora" kabisa kule Libya

Out of topic ni sawa na anayezini na anayefanya jimai 😂... Tendo ni lile lile style ni zile zile kasoro kusudio kua hili limefanyika ndani ya ndoa hili jingine nje ya ndoa!

Mdau lee van cliff nimesherehesha bila kusema eneo nilokusudia kulisahihisha... Lakin hadi kufikia hapo nahisi umenelewa na kutambua eneo nilokusudia kwenye maelezo yako ya awali.
 
Biden kutoipa Ukraine silaha za kupiga ndani ya Urusi anathibitisha ujinga wa watu wanaosema Ukraine kuwa karibu na US au kutaka kujiunga NATO ilikuwa tishio kwa usalama wa Russia na eti ndio sababu ya uvamizi wa Putin.
Naona mnazidi kujifariji
Si US ama NATO yeyote anaeweza kuhatarisha usalama wa RUSSIA
Waeke basi No fly zone ili UKRAINE iwe mahali salama dhidi ya RUSSIA
Kama wamechemka kumpa silaha zakupiga ndani ya RUSSIA
UKRAINE inaondoka mujue oohoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnazidi kujifariji
Si US ama NATO yeyote anaeweza kuhatarisha usalama wa RUSSIA
Waeke basi No fly zone ili UKRAINE iwe mahali salama dhidi ya RUSSIA
Kama wamechemka kumpa silaha zakupiga ndani ya RUSSIA
UKRAINE inaondoka mujue oohoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
@Yoda
Pitia hapa uupoe huo ubongo msosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canada inaripoti kwa huzuni kuwa majeshi ya Russia yameshaingia kwenye jiji kubwa la Sievierodonetsk, huko Luhanks huku yakigawa kipigo cha 'paka aliyeiba mboga (samaki)' kwa wanajeshi wa Ukraine.

Zelensky alia kuwa zaidi ya asilimia 90 ya majengo ya jiji hilo la kimkakati linalotakiwa na Russia yamesawazishwa kwa mvua za makombora ya Russia na majengo hayo yamekuwa majivu na vifusi.

Omusolopogasi na Glenn piteni hapa mteseke zaidi

======

View attachment 2244810View attachment 2244811View attachment 2244812
View attachment 2244813
Hzi ndio habar zanifurahishaga mm kwa kijiwe
 
Biden kutoipa Ukraine silaha za kupiga ndani ya Urusi anathibitisha ujinga wa watu wanaosema Ukraine kuwa karibu na US au kutaka kujiunga NATO ilikuwa tishio kwa usalama wa Russia na eti ndio sababu ya uvamizi wa Putin.
Wee jamaa ni mpuuzi sijapata kuona; akisema anatoa unafurahi na kusema mtaona sasa, akisema hatoi anathibitisha ujinga kwa pro Russia. You are hopelessly engaging your empty head in serious staffs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom