Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Game changer amekutana na chuma kizito
IMG_20220530_232742_328.jpg
 
Democracy inapigiwa chapuo mbaka kwenye cartoon watoto zenu uhuru mwanana wa bila mipaka...

View attachment 2244918

Maoni ya huyo jomba yazingatiwe,
Dah jamaa yupo sahihi leo kuna muda wakati nipo ndani
Vijana wakawa wanacheki katon nikaona bendera zao zile wanapitisha
Hawa majamaa wabaya sana ujue niwakupigwa vita
Muafrika ukimuona anawatetea hawa watu lazma umtazame mara sabaa sabaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam Bushmaster Amoured vehicles ni magarivita maalumu ya Australia yaliyopelekwa Ukraine kupambana na majeshi ya Russia. Magari haya yalipotolewa yalisifiwa mno kuwa yana uwezo wa juu zaidi wa kimapambano ikiwa pamoja na uwezo wa magari hayo kuhimili milipuko ya mabomu na hivyo kutoathiriwa/haribiwa na mabomu ya adui vitani.

Yamekuwa yakisifiwa kuwa yalifanya vizuri sana ktk vita vya Afghanistan.

Jambo la kushangaza ni kuwa Australia yenyewe imeripoti kuwa magarivita hayo yameweza kuharibiwa na moto mkali wa mvua za makombora na mizinga ya Russia.

Na Kyiv yenyewe imetoa video ya mojawapo ya magarivita hayo ya Australia likiwa limechakazwa na kuharibiwa na moto wa majeshi ya Russia kiasi kwamba likatelekezwa kama chuma chakavu.

View attachment 2244829

View attachment 2244826View attachment 2244827View attachment 2244828View attachment 2244830
Mbona hawaelewi Hawa watu?
Mbona Wana vichwa vizito?

Ilishanenwa humu ndani,Russia sio Afghanistan.!!!!
 
Poland stopped supplying free fuel to Ukraine.

This was stated by the Polish Minister of Climate and Environment Anna Moscow.

“At the beginning [of the special operation] ... we gave this fuel for free. Currently, these are commercial deliveries of ORLEN, ”RIA Novosti quotes her.

View attachment 2244570

Nacheka kama Mazuri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mapema leo baada ya US kukataa kupeleka makombora ya masafa marefu huko Ukraine, Ex President of Russian Federation amezungumza haya:

⚫ Biden said the United States would not supply Ukraine with missile systems capable of attacking Russia.

Reasonable!

Otherwise, when attacking our cities, the Russian Armed Forces would have fulfilled their threat and struck at the centers of these criminal decisions.


Some of them are not located in Kyiv at all. What's next, no need to explain...

 Huh, Its him once again! Huyu mdau angekuwa incumbent hivi sasa dah! He he he 😂.
Dah!😯
 
Swadakta mkuu,wakati hivi vita vinaanza,pro NATO wanaanza kusema Urusi itapigwa kama Iraq,nikawakumbusha, kwamba Ujerumani anamjua mrusi kama vizuri sana alichomfanyia kule Stalingrad. Ndio maana Ujerumani Yuko reluctant kutoa silaha,eti anasema mpaka mwenzi wa Saba ndio atatoa silaha, really!!? Ukisoma vizuri Ile vita, Mjerumani alizingirwa na mrusi,njaa ikampiga mpaka wanaanza kula nyama za farasi, Mrusi ni shidaaaa!
Dah!😯.
Kusema kweli Mkuu,hii vita imetufumbua macho watu wengi.
 
1.Hii ina maana kwamba Dunia imeshaelewa kwamba wanachofanya Urussi ni credible.
2.The West wameshindwa kui-isolate Russia.
3.Sanctions za the West against Russia hazitafanikiwa.
4.The superficial unity of the West against Russia is crumbling.
5.Dunia haijakubaliana na narrative ya the West kwamba Warusi ndio wabaya.
6.The rest of the World haioni sababu za kuiwekea Urusi vikwazo au kui-isolate.
👏👏👏👏👏
 
Kwaiyo no flying zone ni silaha?
Haijaweza kufahamika kama kweli hufahamu,au unafanya utani TU.
Ndio maana uliemuuliza hajakujibu ipasavyo.huwa Hana dharau angeshakujibu mapema TU.
Nadhani yeye anaamini unafahamu ila unafanya masihala TU,hata Mimi naamini unafahamu pia.
Ila kwa manufaa ya wengine ntaeleza kwa kifupi sana.

No fly zone.
Maana yake ni kuhakikisha kifaa chochote Cha Adui hakiruki katika anga Fulani.
Mara nyingi no fly zone hulenga ndegevita.pengime na makombora lkn Sina uhakika.

Sasa no fly zone haiwezi kutekelezwa kwa maneno TU,Bali kwa vifaa vya Ulinzi wa anga.Kwa maana hiyo ni silaha kwa ajili ya kutungua ndege au makombora.

Kwa hiyo no fly zone ni kuweka (mitambo) Yani silaha za kuweza kufanya kazi hiyo ya kuzipiga ndege za Adui ama kudungua makombora ya Adui.
Kwa sentensi moja ni kwamba Zelensky aliomba silaha za kupiga ndege za Urusi.

NATO waliogopa sana ombi hili.
Kwa sababu nyingi.
 
Back
Top Bottom