Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
MK254, MTOTO WA KUKU, Frank Wanjiru na T14 Armata pitieni hapo juu, au ngoja niwawepesishie kabisa👇👇👇View attachment 2245919View attachment 2245921
🏆FRESH TROPHIES🏆
This is where the tax money of people from NATO countries end and mainstream media will not tell them this,because mainstream media serves military industry and they want their people to think Ukraine is winning
Ni Mkuu wa kanisa la Orthodox huko Moscow, Russia. Sorry, Hivi kwanini hili kanisa linachukiwa sana upande wa magharibi?
Nahisi wana abide na International Laws, silaha zote zinazoingia uwanja wa mapambano zinatakiwa zijulikane, kuna silaha zilizoruhusiwa na silaha zilizokatazwa according to Geniva War Convention.Kabisa MKUU upo sahihi sana kuhusiana na swali lako ntakudanganya labda tuwapelekee waungwana hapa kwamsaada zaidi
Swali kwanini silaha zinazoenda kama msaada kwa UKRAINE zatangazwa na US na shost zake msaada kwenu WAKUU
Sikirimimimasikini
Ask-Q
lee van cliff
Mkuu kwenye search hapa nimekusahu gallip
T14 Armata
Nawengineo.....!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha.Mzigo umedakwaView attachment 2245960
Acha hii mambo ipite. Coaine hata Afghanistan ipo nyingi tuUmepuyanga.
Cocaine inasambazwa na Wa Mexico, Marekani ni muathirika na anatoa pesa nyingi sana kwa serikali ya Mexico kukabiliana na magegenge ya dawa za kulevya.
Silaha za $40B 😂View attachment 2245919View attachment 2245921
🏆FRESH TROPHIES🏆
This is where the tax money of people from NATO countries end and mainstream media will not tell them this,because mainstream media serves military industry and they want their people to think Ukraine is winning
Jamaa watakuwa wanawatungua vibaya saana...sasa Mrusi aende kumshambulia mmarekani maana kasema yeyote kimbelembele atakipata anachotaka.Ni Zaidi ya Dar - Dumila. Ni range yaani straight line siyo kama ambavyo unatembea na gari kupinda pinda Kona kibao. Hapo unakuwa unaongelea two points coordinate
ADS = Air Defence Systems -
Labda BidenNimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.