NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Umeongelea Russia kunyong'onyea kiuchumi? Hebu tuwasikilize bloomberg wanasemajeHii vita mwamuzi atakuwa who has what in War weapons Technology..
Kama.marekani ataamua kuisaidia Ukraine..hii vita haitaisha leo wala kesho ..na kwa namna inavyozidi kwenda ndivyo itakavyozidi kuinyongonyeza urusi ki uchumi.
Hizo pesa kuna wajanja kule US wanaamsha nazo na hata silaha zikipelekwa haziwezi kufua dafu wanapoteza mda tuSilaha za $40B [emoji23]
Hivi wadau tangu US Congress waidhinishe hizo fedha mmeona madiliko yoyoye kwenye Jeshi la Ukraine?
Wanavyolalama na kuomba silaha kila siku ni as if hawajahi kupewa chochote zaidi ya maji ya kunywa, chapati mbili na mchemsho!