NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mwenyewe kakujibu kwa kujiamini mnoo akijua kakuweza ha ha ha ha 😂😂😂Kijana ⁉️😄😄😄 kumbe unasema Tanzania mbako serikali imetoa ruzuka ya TSH billion 100. Kumbe uko Dunia nyingine kabisa, samahani nilikuwa sijaelewa kiwango chako za uelewa.
Haya sasa Walivyokataa Pro-NATO hapa walidai marekani mstaarab na mapambio kede wakisema anatoa silaha za kujihami tu sio za kushambulia Russia., Haoo wamekubali Pro-NATO awam hiii mtakuja na style gani?
😂😂😂😂Kwamba wao na ujinga ni vitu vinavyoenda sambamba.Yoda, UPOPO na Uzio usio onekana 😂😂😂
Kama Gram ni Unit ya kipimo cha tungamo basi kuna baadhi ya "Reactions" ni Unit ya kipimo cha Ujinga mtelezo...
Kiasi ukiziona tu unaongeza speed ya ku-scroll page, ama ukipost kitu ukakuta kuna reaction zao either "thanks" or "love"... Basi kaa chini ujitafakari vizuri ulichokizungumza!
Ni 127TshsKijana usiwe mbishi. Ni kweli jana Ewura wametangaza. Maeneo mengi bei imeshuka kwa kiasi cha kati ya 250 na 300 tshs.
hii ilikuwa ni taarifa ya jana
Hapo unapata nini kea mfanohii ilikuwa ni taarifa ya jana
Mh huko ndani kiukweli sijui LAKINI kama mtu anahusudu kiasi hicho msaada wa condom ya sh 500/- ambayo anaitumia kwa nadra je kilo ya mchele 2,000 as we know kuoga hiari kula lazima itakuaje?😂😂😂😂Kwamba wao na ujinga ni vitu vinavyoenda sambamba.
Ila n watu wazima tunamshukuru Mungu wanaweza kulea watoto au uko pia wako chini ya msaada.
Milembe kuna nafasi yako.Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
Kijana ⁉️😄😄😄 kumbe unasema Tanzania mbako serikali imetoa ruzuka ya TSH billion 100. Kumbe uko Dunia nyingine kabisa, samahani
Kwa Morogoro yanatakiwa kuwa 3019 kutoka 3278. Hivyo tofauti ni kama 250 hivi.Ni 127Tshs
US huwa anaongea hiki na kutenda kile.
Today, the United States will announce the transfer of military assistance to Ukraine for $700 million, including HIMARS systems and missiles for them.
The New York Times writes about this, citing a statement by a representative of the American administration.
In addition, according to the publication, the assistance package will include spare parts and additional equipment for servicing already delivered artillery systems.
The official assured that HIMARS multiple launch rocket systems were sent to Kyiv for protection and would not be used against targets on the territory of the Russian Federation.
View attachment 2246851
Ww chanzo chako ni RT ama?Huyu mtu Sasahivi kawa Mweupe
Chanzo chake kimekuwa You tube
Hahaha Dunia Inaenda Mbio sana
Shikamoo Mrusi
Huo ni wivu US kashaishiwa mbinu za kumdhibiti Urusi, ameanza kuongea nosense, kuna jambo gani hajalifanya kumaadhibu Russia[emoji3538][emoji3538][emoji3538]The United States threatens Russia that if it annexes the Kherson region and includes it in its composition, the United States will impose even more powerful anti-Russian sanctions.
Even more powerful?[emoji23][emoji3538][emoji3538][emoji3538]