Sijaelewa
watu Ukraine hawatafuti ushindi bali wanatafuta heshima ya nchi yao - itafikia hatua hakutakuwa na mshindi bali watakaa chini waongee na wayamalize kwa heshima na si kwa dharau za Mrusi kama hizi.Kuamini Ukraine atamshinda Russia haina utofauti na waliosema Simba atacheza fainali CAF kwa kikosi chake
na hiyo satellite picture clip inayoonyesha warusi walivyofumuliwa ka-section kao kote ni ya urongo siyo !!Mkuu yule mwenye elimu ya mtaani mbona anamisha mazuri kuliko yule mwenye elimu ya chuo kikuu? Afu kumbuka hizo ni media zao tu.
Ni siraha nzuri kwa Ukraine kwakuwa tu hakuwa nazo ila kwa Urusi hapo hakuna silaha za kumtisha sana sana wataongezewa kipimo tu.What is the new system US is providing?
HIMARS are a high-tech, lightweight rocket launcher that is wheel mounted, giving it more agility and manoeuvrability on the battlefield.
Each unit can carry six GPS guided rockets, which can be reloaded in about a minute with only a small crew.
Analysts say the system is considerably more reliable than other rocket systems Ukrainian forces currently use.
Wangetaka heshima ya nchi yao wangeandamana kumpinga rais wao mpuuzi Vladimir Zelensky mapema hata kabla ya demolition mission kufanya kazi. Ila hapo walipofikia hiyo ni masikini kwa sasa kuliko hata Tanzaniawatu Ukraine hawatafuti ushindi bali wanatafuta heshima ya nchi yao - itafikia hatua hakutakuwa na mshindi bali watakaa chini waongee na wayamalize kwa heshima na si kwa dharau za Urusi kama hizi.
hakuna warusi wanaoandamana kila siku kumpiga Putin? anawafanyaje akiwakamata ? kafanyaje kwenye media za urusi? zimsifu na kumwabudu yeye tu siyo.Wangetaka heshima ya nchi yao wangeandamana kumpinga rais wao mpuuzi Vladimir Zelensky mapema hata kabla ya demolition mission kufanya kazi. Ila hapo walipofikia hiyo ni masikini kwa sasa kuliko hata Tanzania
Nlisoma article moja hv jamaa amekamata watu wengi sana, na wengine kufa. Yani ukimpinga umeenda ama fanya hivyo ila usiwe Russia.hakuna warusi wanaoandamana kila siku kumpiga Putin? anawafanyaje akiwakamata ?
FactPengine kutangaza aina ya silaha wanazopeleka nje ya nchi kwa ajili ya kuisaidia nchi hiyo pengine ni takwa la kisheria ili kuepuka;
- Silaha kuweza kuangukia kwenye mikono ovu,eg magaidi,au wauza unga,au waasi wasiopendwa.
Na ijulikane kuwa ni aina Gani ya silaha zulizotolewa na zilizopokelewa.
- kuepuka wapigaji,yaani wajanja wanaweza kuziuza kwa nchi nyingine TU,ufisadi.
Ijulikane mapema silaha Gani imetolewa na hiyohiyo ndio imefika.
- pengine taxpayers wanatakiwa kujua aina ya silaha zao na gharama zake..
Kwa kifupi nimejaribu TU.lkn hakika hata Mimi nimekua najiuliza swali hilo na nilijijibu hivyo.
@PD Magumba
Galip Vrl
Ask-Q
Kwani ile Apolo 11 ilikuwa ni kweli?na hiyo satellite picture clip inayoonyesha warusi walivyofumuliwa ka-section kao kote ni ya urongo siyo !!
Hicho kitu cha Russia Marekani amecopyHatushangilii vita hii, lakini anachokifanya Urusi kwa Ukraine hakikubaliki katika uso wa dunia - nawapongeza Marekani kutoa mtonyo wa system ya masafa marefu.. High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) - Pia nawapongeza Ujerumani kwa kutoa na wao mfumo wa kulinda anga la Ukraine.... the IRIS-T system most modern Germany possessed.
Kitu hichoo dadadeq... hutaki kuona ..logoff.
View attachment 2247138
So unafikiri kwanini Ukraine kaleta ugumu huu kwenye hii Vita?Kuamini Ukraine atamshinda Russia haina utofauti na waliosema Simba atacheza fainali CAF kwa kikosi
Ni siraha nzuri kwa Ukraine kwakuwa tu hakuwa nazo ila kwa Urusi hapo hakuna silaha za kumtisha sana sana wataongezewa kipimo tu.
NB; USA hawezi toa siraha zake nzuri kwa nchi nyingine nawakati yeye anatafuta siraha nzuri za kununua
Warusi wa Bongo watakwambia hii image imetengenezwa na watu wa magharibi.Hivi mshawahi kujiuliza Ukraine angekuwa na silaha za kivita hata kwa 80% ya zile alizonazo russia mambo yangekuwaje? View attachment 2247280
Hata rais wa Ukraine kasema kila siku wanajeshi wake wanakufa na kataja hadi idadi but siikumbuki vzuri..Kinacho ikuta ukraine ni msiba hasa