Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Chanzo kupanda bei unga wa ngano,mafuta ya kula na mbolea nchini Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni dikteta Putin kuzuia meli kutumia bandari za Ukraine kupakia mizigo. Ukraine inayo akiba kubwa ya ngano,mafuta ya kula na mbolea. Pro Russia mtu wenu amewaacha kwenye mataa.
Russian President Vladimir Putin continues his war on Ukraine. Russia is now blockading Ukraine’s Black Sea ports, which prevents upwards of 25 million tons of grain and other agricultural goods from delivery to international markets.
Hii Vita imeibua mambo mengi sana ambayo tulikuwa hatuyajui.hata viongozi wa Africa kwa sasa nao wamestuka kuhusu mataifa ya magharibiKuna swali mwenye majibu atusaidie, Karne hii ya 21 kabla ya Ukraine tumeshuhudia vita kadha wa kadha vikifanywa na coalition ya nchi Tajiri na zenye nguvu duniani dhidi ya nchi "maskini" na dhaifu.
Sasa tusizungumzie outcome ya vita hivyo ila tuzungumzie mda na gharama zilizotumika.
Tuichukue US-Afghanistan war kama Case study, yakadiriwa ndani ya miaka 20 US katumia around $8Trillion dhidi ya wa-Taleban kuhusu matokeo tuyahifadhi. Hizo $8Trillion ni almost twice ya budget ya US Federal Government ya 2019 na ni kama 33% ya deni la Taifa la US.
View attachment 2251550
Mnaweza tembelea link hii hapa kujifahamisha zaidi....
Ok sasa kilichonisukuma kulizungumzia hili ni issue ya Ukraine, tangu huu mzozo uanze leo ni siku ya 102, Ukraine ana run out of everything kujilinda.
Mind you toka day one amekuwa akipokea silaha, fedha kwa kifupi kila aina ya msaada kutoka nchi zaidi ya 30 na makampuni zaidi ya 100 miongoni katika hayo ni notable fortune companies kama Microsoft na Alphabet.... Hapo hatujaweka orodha ya Donors kutoka mashirika madogo na Watu binafsi.
Ndani ya hii miezi mi3 wote tumeshuhudia US pekee tu akigharamia hili pambano kwa zaidi ya Bil 53 dola... (13 za awali ongeza na zile 40 za juzi). Kuhusu who is winning nako tupaache vile vile...[emoji23]
Swali langu ni kua kama hizi mambo ni gharama kiasi hicho je nani aliyekuwa akiwagharamia watalebani ku'survive miaka 20 vitani kama Ukraine na misaada yote hiyo siku 102 mambo yako hivi tunavyoyaona kiuchumi.
Na kama tunakukumbuka vizuri pia, "Elensky" alisema anahitaji zaidi ya $5Billion ili kuendesha serikali yake due to budget deficit inayotokana na hili sakata linaloendelea.
Mkuu swali lako linafikirisha sana, kama USA katumia tirion $8, na bado Taliban wako hai..Kuna swali mwenye majibu atusaidie, Karne hii ya 21 kabla ya Ukraine tumeshuhudia vita kadha wa kadha vikifanywa na coalition ya nchi Tajiri na zenye nguvu duniani dhidi ya nchi "maskini" na dhaifu.
Sasa tusizungumzie outcome ya vita hivyo ila tuzungumzie mda na gharama zilizotumika.
Tuichukue US-Afghanistan war kama Case study, yakadiriwa ndani ya miaka 20 US katumia around $8Trillion dhidi ya wa-Taleban kuhusu matokeo tuyahifadhi. Hizo $8Trillion ni almost twice ya budget ya US Federal Government ya 2019 na ni kama 33% ya deni la Taifa la US.
View attachment 2251550
Mnaweza tembelea link hii hapa kujifahamisha zaidi....
Ok sasa kilichonisukuma kulizungumzia hili ni issue ya Ukraine, tangu huu mzozo uanze leo ni siku ya 102, Ukraine ana run out of everything kujilinda.
Mind you toka day one amekuwa akipokea silaha, fedha kwa kifupi kila aina ya msaada kutoka nchi zaidi ya 30 na makampuni zaidi ya 100 miongoni katika hayo ni notable fortune companies kama Microsoft na Alphabet.... Hapo hatujaweka orodha ya Donors kutoka mashirika madogo na Watu binafsi.
Ndani ya hii miezi mi3 wote tumeshuhudia US pekee tu akigharamia hili pambano kwa zaidi ya Bil 53 dola... (13 za awali ongeza na zile 40 za juzi). Kuhusu who is winning nako tupaache vile vile...[emoji23]
Swali langu ni kua kama hizi mambo ni gharama kiasi hicho je nani aliyekuwa akiwagharamia watalebani ku'survive miaka 20 vitani kama Ukraine na misaada yote hiyo siku 102 mambo yako hivi tunavyoyaona kiuchumi.
Na kama tunakumbuka vizuri pia, "Elensky" alisema anahitaji zaidi ya $5Billion ili kuendesha serikali yake due to budget deficit inayotokana na hili sakata linaloendelea.
Wew former jenerali ila kuna majenerali was ubweche wa tandahimba na yombo watakubishiaView attachment 2250899
[emoji298]The only chance for Ukraine lies in surrender to the Russians.
General Twitty, former Deputy Commander of US European Command, shared his perspective on the situation in an interview with Military Watch:
"Ukrainians are doomed in this battle, the only way to stop the collapse of Ukraine is to accept Russia's conditions as soon as possible, to capitulate to them. The Ukrainians do not have enough combat power to resist, they are not motivated enough and shamelessly inferior to the Russians in aviation and technology. No help from the West will fix this is"
Kuna swali mwenye majibu atusaidie, Karne hii ya 21 kabla ya Ukraine tumeshuhudia vita kadha wa kadha vikifanywa na coalition ya nchi Tajiri na zenye nguvu duniani dhidi ya nchi "maskini" na dhaifu.
Sasa tusizungumzie outcome ya vita hivyo ila tuzungumzie mda na gharama zilizotumika.
Tuichukue US-Afghanistan war kama Case study, yakadiriwa ndani ya miaka 20 US katumia around $8Trillion dhidi ya wa-Taleban kuhusu matokeo tuyahifadhi. Hizo $8Trillion ni almost twice ya budget ya US Federal Government ya 2019 na ni kama 33% ya deni la Taifa la US.
View attachment 2251550
Mnaweza tembelea link hii hapa kujifahamisha zaidi....
Ok sasa kilichonisukuma kulizungumzia hili ni issue ya Ukraine, tangu huu mzozo uanze leo ni siku ya 102, Ukraine ana run out of everything kujilinda.
Mind you toka day one amekuwa akipokea silaha, fedha kwa kifupi kila aina ya msaada kutoka nchi zaidi ya 30 na makampuni zaidi ya 100 miongoni katika hayo ni notable fortune companies kama Microsoft na Alphabet.... Hapo hatujaweka orodha ya Donors kutoka mashirika madogo na Watu binafsi.
Ndani ya hii miezi mi3 wote tumeshuhudia US pekee tu akigharamia hili pambano kwa zaidi ya Bil 53 dola... (13 za awali ongeza na zile 40 za juzi). Kuhusu who is winning nako tupaache vile vile...[emoji23]
Swali langu ni kua kama hizi mambo ni gharama kiasi hicho je nani aliyekuwa akiwagharamia watalebani ku'survive miaka 20 vitani kama Ukraine na misaada yote hiyo siku 102 mambo yako hivi tunavyoyaona kiuchumi.
Na kama tunakumbuka vizuri pia, "Elensky" alisema anahitaji zaidi ya $5Billion ili kuendesha serikali yake due to budget deficit inayotokana na hili sakata linaloendelea.
BalaaaaaTopics za kina Pro NATOView attachment 2251611
Putin was elected to the office,alafu,kwani Mwenyekiti wa AU alikwambia anafuata nn kwa Putin?Afrika imezawadiwa photo opp.(fursa ya kupiga picha na dikteta),kilio mwenyekiti AU amerudi mikono mitupu 🙂
Mkuu swali lako linafikirisha sana, kama USA katumia tirion $8, na bado Taliban wako hai..
Labda Urusi yuko Nyuma ya Taliban
Au
Labda tunaongezewa sifuri nyingi kwenye tarakimu.
Nawaza tu....kwa sauti.
Nadhan si ei jii anapaswa kuingia mzigon kukagua mahesab ya hizo t8$ haina jinsiMkuu swali lako linafikirisha sana, kama USA katumia tirion $8, na bado Taliban wako hai..
Labda Urusi yuko Nyuma ya Taliban
Au
Labda tunaongezewa sifuri nyingi kwenye tarakimu.
Nawaza tu....kwa sauti.
Sana lakini mpaka uwe na mtaji wa akili kiasi ndio utayaona!Hii Vita imeibua mambo mengi sana ambayo tulikuwa hatuyajui.hata viongozi wa Africa kwa sasa nao wamestuka kuhusu mataifa ya magharibi
Hapana hakuwahi kua nyuma ya watalebani.... US angekua ashapiga saa kelele.Mkuu swali lako linafikirisha sana, kama USA katumia tirion $8, na bado Taliban wako hai..
Labda Urusi yuko Nyuma ya Taliban
Au
Labda tunaongezewa sifuri nyingi kwenye tarakimu.
Nawaza tu....kwa sauti.
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?Hapo umekaa ukaona swali gumu kweli [emoji1787],
Jibu ni jepesi tu; Taliban kipato chao kinatokana na kulima na kuuza dawa za kulevya za Opium.
Mechi wanachezea wap???Russia wamefanya yao huko Ukraine.
View attachment 2251635
[emoji1255]Putin speaks to Ukraine. On all channels at once [emoji1787]
Ukrainian who tried to watch the football match Ukraine - Wales.
But instead Putin on TV should.hackers should have havebroadcast the attrocitires of the Nazis and satanists in Donbass and their war crimes[emoji848]
Sana lakini mpaka uwe na mtaji wa akili kiasi ndio utayaona!
Hapana hakuwahi kua nyuma ya watalebani.... US angekua ashapiga saa kelele.
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?
Watalebani ndani ya vita miaka yote mfululizo, unataka kutwambia US alikuwa ***** tu hadi walipata mda wa kulima? Wakavuna? Wakapata soko la kuuza hizo Opium kupata hizo fedha? Wakati huo US hayo mashamba alikuwa anayamwagilia sio? Wakati huo Intelligence ya US ilikuwa imetulia tulii ikiwatizama sio? We jamaa mbona Mse**e sana?
Vitu vingine ukikosa majibu si ukae kimya tu [emoji848].
Warmongers hao wanajua kuzitumia kodi za Raia vilivyo 😂.Nadhan si ei jii anapaswa kuingia mzigon kukagua mahesab ya hizo t8$ haina jinsi
Na mie naungana na aliyetoa hili wazo, 900 ingependeza mno!hackers should have havebroadcast the attrocitires of the Nazis and satanists in Donbass and their war crimes🤔
Wataalamu wa vita na mambo ya kijeshi (ma Jenerali) wanashauri Kila siku kuwa Zelensky akubalib kushindwa na akubali madai ya Urusi ,viginevyo nchi itavunjwavunjwa vipande vipande hasikii na anadanganywa na wanasiasa wa NATO.
We kweli wasted sperm, huyo jamaa huwa habishani na watu, njoo kwangu. Tueleze hizo biashara za Opium zinaingiza faida kiasi gani ya kuweza ya kuhimili vita ya miaka 20. Kama US alipoteza Dola trillion 8 talebani kapoteza nini?Tuliza mzuka dogo, ukiacha uongo mwingi na conspiracy dhaifu unazoandika vihoja vyako vingine vyote ni vyepesi sana kama unyoya.
Turudi kwenye hili la Taliban,
Unataka nikuambie na kiasi gani cha mapato walikuwa wanapata kwa mwaka kwenye hiyo biashara haramu ya mihadarati ya Opium?
Unataka nikuambie na vyanzo vyao vingine vya mapato kwa namba??