ππππWarrushia ni shida na nusu kila sector inaonyesha capabilities zake. Op yenye swags yaani sio kua tunawarushia mabomu tuu ni hivii tunawacontrol sipati picha siku zelenks anaomba misaada kwa us alafu nyuma bendera ya Russia inapepea.Russia wamefanya yao huko Ukraine.
View attachment 2251635
πΊπ¦Putin speaks to Ukraine. On all channels at once π€£
Ukrainian who tried to watch the football match Ukraine - Wales.
But instead Putin on TV should.hackers should have havebroadcast the attrocitires of the Nazis and satanists in Donbass and their war crimesπ€
Waziri wa Ulinzi wa Marekani anayetuma silaha Ukraine ni Jenerali mstaafu wa Nyota nne.
Mariupol Putin aliharibu kila kitu. Labda anaweza kuuza takataka ya vifaru vyake (chuma kingi). menginevyo anauza nafaka aliyoiba katika sehemu za Ukraine alizokamata.Wakati Zelensky akiendelea kushinda vita huko mitandaoni twitter, Russia anaendelea kuvuna madini ya chuma Mauripol (Ukraine) na kuyasafirisha kwenda Urusi kwa kutumia meli kuuubwaa
View attachment 2250640
Siyo Kadyrov ni hewa tu? Asingepelekwa huko kwa silaha za Urusi, asingekuwa dikteta wa Chechniya#Kadyrov, Operesheni Maalum ya Kweli nchini #Ukraine kuanza katika siku zijazo
Tunatoa Nafasi ya Mwisho kwa #Zelensky Kujisalimisha
#Severodonetsk #Kherson #Sumy #Kiev #UkraineWar #Poland #Donbass #UkraineRussiaWar
#Bilderberg https://t.co/McwWwOU7i5
π€£π€£π€£π€£ Nimejikuta nacheka tu π€£πpro NATO Putin anawafanyaje mb ona makasiriko haya?Putin at his age 70...anataka kuleta mzozo wa kidunia cause his days is due...pambafu zake.
Unalialia nini sasa mkuu?Mariupol Putin aliharibu kila kitu. Labda anaweza kuuza takataka ya vifaru vyake (chuma kingi). menginevyo anauza nafaka aliyoiba katika sehemu za Ukraine alizokamata.
Mariupol itajengwa na Urusi, usijali mkuuπππ·πΊπ·πΊMariupol Putin aliharibu kila kitu. Labda anaweza kuuza takataka ya vifaru vyake (chuma kingi). menginevyo anauza nafaka aliyoiba katika sehemu za Ukraine alizokamata.
Who was the main buyer ?. MEXICOHapo umekaa ukaona swali gumu kweli [emoji1787],
Jibu ni jepesi tu; Taliban kipato chao kinatokana na kulima na kuuza dawa za kulevya za Opium.
Wala haitusumbuhi kikubwa west ndio wanataabika kuliko sisi, tupo tayari kufa njaa ila Rashia foo laifu.Chanzo kupanda bei unga wa ngano,mafuta ya kula na mbolea nchini Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni dikteta Putin kuzuia meli kutumia bandari za Ukraine kupakia mizigo. Ukraine inayo akiba kubwa ya ngano,mafuta ya kula na mbolea. Pro Russia mtu wenu amewaacha kwenye mataa.
Russian President Vladimir Putin continues his war on Ukraine. Russia is now blockading Ukraineβs Black Sea ports, which prevents upwards of 25 million tons of grain and other agricultural goods from delivery to international markets.
Na US wakalijua hilo ndilo tatizo ila wakashindwa kudeal naloπππππππili kuwamaliza Tariban ..Daa sometimes muache ujuaji.Hapo umekaa ukaona swali gumu kweli [emoji1787],
Jibu ni jepesi tu; Taliban kipato chao kinatokana na kulima na kuuza dawa za kulevya za Opium.
Mkuu unapoteza mda wako bure hizi hoja ni kubwa sana kwa huyu jamaa. Acheni kupoteza mda kipakia paka kwenye gariWe kweli wasted sperm, huyo jamaa huwa habishani na watu, njoo kwangu. Tueleze hizo biashara za Opium zinaingiza faida kiasi gani ya kuweza ya kuhimili vita ya miaka 20. Kama US alipoteza Dola trillion 8 talebani kapoteza nini?
Wakalijua hilo, wakashindwa kudeal nalo miaka 20 πππNa US wakalijua hilo ndilo tatizo ila wakashindwa kudeal naloπππππππili kuwamaliza Tariban ..Daa sometimes muache ujuaji.
Anyways hoja ya mdau is to big for your brain to digest.
Ask-Q huwa anajibu sms1 tu anapuuza, So angejisifu pimbi huyu bahati ake alikimbia π Shenzi kabisaMkuu unapoteza mda wako bure hizi hoja ni kubwa sana kwa huyu jamaa. Acheni kupoteza mda kipakia paka kwenye gari
Amewekeza kwenye silaha.Kufeni njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza RUSSIA maskini tu hana msaada wowote hapa DUNIANI
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app