Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Scott Ritter: “If the Ukrainians put multiple launch rocket systems received from the United States near their borders and start firing at Russian cities. If this happens, then Russia will change the terms of the conflict and begin to attack those who supplied these MLRS.
 
Na sisi NATO ndio tunataka hicho kitu[emoji16]

Tunataka hata nzi aliopo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator
 
Jenerali mwingne huyo wa kirusi
Yani hawa mpaka vita imalizike tutakuwa tumewamaliza, Yani inabidi wapate shida baada ya Vita.

Kama mchezo wa box we rusha ngumi 100 ila mwenye ngumi 10 za uson ndio ataondoka na points. Si tunapiga watu wa muhimu.
 


⚔️⚔️⚔️Russian Armed Forces are now destroying Ukraine's critical infrastructure in Nikolaev region with high-precision weapon attacks
The explosions in Nikolaev are confirmed by the mayor of the city⚔️⚔️⚔️
 
Kumekucha...

The UK will send its first long-range missiles to Ukraine after Russia struck the outskirts of Kyiv for the first time since April.

Defence Secretary Ben Wallace said Britain will send an unspecified number of M270 launchers, which can fire precision-guided rockets up to 50 miles – a longer range than any missile technology currently in use in the war.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na sisi NATO ndio tunataka hicho kitu[emoji16]

Tunataka hata nzi aliopo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator
Mnahamisha magoli Kila siku.
1)"safari hii wanamsubiri aipige Ukraine TU,ndio atajua NATO ni nani"
NATO -Russia akivamia ukraine atajibiwa kikamilifu.

Russia kavamia,akajibiwa kwa vikwazo.

2)hii ya Leo kutoka kwako"tuanataka hata nzi aliepo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator"

Sasa nasema endeleeni kupeleka silaha zitakazo fika Moscow ndio mtajua kama Urusi anatania.

By the way unajua NATO wakiingia unadhani Urusi atapigana peke yake?
Nakuhakikishia east nao wamejipanga,jaribuni TU kuingiza majeshi muone Kama china,Korea Kaskazini,Iran,nchi za west ya Urusi zilizokua zamani sehemu ya USSR kama nazo hazijaingia mzigoni.
NATO wanalijua hilo.
 
Hii vita ni NATO vs Russia . Ukraine ni ground. Kuhusu siraha Kiev ndio alitakiwq azungumze sio nchi nyingine. Na tuanze kuandaa vyakula vya at least two years.
 
Hawa pro NATO wajinga Sana,wanadhani Putin aliandaa ule mkutano wa CSTO kupiga selfie 🤳?
 
sidhan kama angetulia.katika nchi balaa dunian kwa kuwa na local spies ni hao u.s na rusia . tena Russia walitoa takwm 2002 alikua ana aina flan ha watu wanaitw sleepers agemt United stests zaid ya 200,000 kwanasaba hio us angejua tu kama twaliban.wanalima sabab anapata news kwa assets wao.waliopo pale nafikr kuna sponsor unknown
 
Taliban wanalima Opium, na wakati wa vita uzalishaji wa Opium Afghanistan uliongezeka mara 30. Wewe na wenzako hamjui biashara ya dawa za kulevya ilivyo ngumu kuizuia kwa sababu mna akili ndogo. Pia fahamu Majeshi ya Marekani hayakuwa kila mahali Afghanistan, katika vijiji na milima Taliban wameendelea kuwepo muda wote.
Halafu mbona hushangai Tanzania bangi inalimwa au Mexico Cocaine inazalishwa na zote ni nchi zenye amani na serikali zenye vyombo vyote vya dola vinavyofanya kazi??
 
Hivi sio Vita yao, ni Vita kati ya Ukraine na Urusi.
Hivi jamaa angu tuache tu bias, hivi kitendo cha NATO kuwapa Ukraine silaha siyo kushiriki vita?

Na Kama Russia atashinda, ujue nchi za NATO zote zitakuwa zimeelewa kuwa hazina cha kuizidi Russia kijeshi.

Hii vita ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…