NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Uraaaaaaa.... Kuuungekeeeeeeea swaraaaaaaaaaa. .ukiwa mshabiki wa russia ukitembelea subreddit ya worldnews huwezi kutimiza robo saa bila ya kulogout, . ukiwa pro nato ukitembelea hii thread unakuwa mnyonge na utatamani uhamie thread ya kula tunda kimasihara. teh teh teh
Lete takwimu zako hapa acha umama .. lete takwimu zako hapa za 2002 na za 2021.. tuone hilo ongezeko ... takwimu zangu umekataaa leta zako. . ukishindwa wewe ni DEMU WA KITAAA TU .. NILETEE NIKUONE UWEZO WAKO MAMAAAAAAAAEEEEWewe kweli mtoto wa nzi🪰, akili zako ziko kwenye uchafu tu.
Sasa hapo Afghanistan iko wapi??
Halafu hata ukipata majedwali kama hayo ya Afghanistan kwa akili yako fupi ya ki inzi unafikiri utaweza kuyaelewa??
Kama wanavyogombea mipaka GRECE na TURKRY!!?CSTO haina tofauti na AU, ni umoja geresha tu, Member wengine kama Armenia na Azerbaijan walikuwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe wakigombea mipaka[emoji1787]
Hakuna vita kati ya SAUDIA na YEMEN1.NATO haimpi Ukraine silaha. Ukraine inapewa Silaha na BAADHI ya wanachama wa NATO na nchi nyingine ambazo sio wanachama wa NATO kabisa kama Australia, Sweden na Finland.
2 Silaha anazopewa Ukraine ni sawa na silaha wanazopata kutoka nchi nyingine Saudi Arabia katika vita yake na Yemen, Au Kenya kwenye vita yake na Al Shabaab, au Msumbiji katika vita yake huko Cabinda. Tofauti ni kwamba Ukraine ni msaada wakati hawa wengine wanazinunua.
Kupata silaha kutoka taifa lingine sio hilo taifa kushiriki vita yako.
Njaa loading....Top news for the day:
- Governor of the Kursk region Roman Starovoit announced another shelling of the village of Tyotkino by the Ukrainian military;
- US Ambassador to Russia John Sullivan announced the impossibility of a complete severance of relations between Moscow and Washington. At the same time, he admitted the possibility of closing the embassies of Russia and the United States in each other's territories;
- The Ukrainian army set fire to tons of grain in the storage facilities of the Mariupol seaport during the retreat, said Jan Gagin, an adviser to the head of the government of the Donetsk People's Republic.
View attachment 2252229
Yes, ni fact mkuu. Hawa Pro NATO wabishi tuSafi saana
Mkuu inapotea vita kila upande unatetea upande mwingine, unajua tangu Vita vinanza naona wanokufa Ni Askari was urusi na makamanda viongozi was urusi, kutokana na urusi kutangaza wenyewe urusi.ukiwa mshabiki wa russia ukitembelea subreddit ya worldnews huwezi kutimiza robo saa bila ya kulogout, . ukiwa pro nato ukitembelea hii thread unakuwa mnyonge na utatamani uhamie thread ya kula tunda kimasihara. teh teh teh