lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Tamko la kibabe sana hili,lililojaa kujiamini sana.“We will rid Ukraine of evil spirits, Russia will win! Let justice prevail!"
Adam Delimkhanov said in the State Duma that those who insult Russia and the President of the Russian Federation "will receive a well-deserved punishment":
“Russia is a great country with rich traditions, with respect for religion and every nation. We don't need American and European demonic ELGBET values.
We will fulfill the task set by Supreme Commander-in-Chief Vladimir Vladimirovich Putin, and united around him, we will fight for religious, family and universal values.”
View attachment 2253438
Ka nieceNini tena hiki unaleta ?....usichafue uzi bhana
Dah!View attachment 2253535
‼️🇺🇦🏴☠️ Zelensky admitted that Ukraine is much inferior to Russia in technology and is "unable to attack"
"We are inferior in terms of technology, so we are not able to attack. We will suffer more losses, and people are my priority," - leads the Financial Times. Zelensky's statement from the videoconference.
Hapa ndipo ninapomkubali Putin, alikwisha jua nchi nyingi za kiafrika zinasumbuliwa na njaa, Kwa njaa inayoinyemelea dunia nchi pekee yenye uwezo wa kutupa chakula ni Russia, India,China na nchi kadhaa za Asia, hapa viongozi wengi WA kiafrika hawataweza kuruka huu mtego, 🤣🤣🤣🤣Marekani yalalamika kuwa Russia inasafirisha ngano ya Ukraine (iliyoizuia kwenye maeneo ya Ukraine) kwenda kuiuza kwenye nchi 14 zenye uhaba wa chakula, nyingi katika hizo zipo Africa...
Marekani imechukia kwa nini ngano hiyo imepelekwa Afrika badala ya kupelekwa kwenye nchi za mabeberu ya kimagharibi, na hivyo imeamua kuziadhibu kidiplomasia nchi hizo zinazopokea ngano hiyo.
Russia ndio mkombozi wa Africa, hawa wengine ni mabeberu tu wananua ngano kutufikia sisi.
View attachment 2252611View attachment 2252612
Kumbe nimegundua hawa west ni mishenitauni tu. Maneno mengi na ubabaishaji mwingi. Kumbe ni maskini wa kutupwa. Wanatumia maneno na kuiba mali za mataifa mengine.Hapa ndipo ninapomkubali Putin, alikwisha jua nchi nyingi za kiafrika zinasumbuliwa na njaa, Kwa njaa inayoinyemelea dunia nchi pekee yenye uwezo wa kutupa chakula ni Russia, India,China na nchi kadhaa za Asia, hapa viongozi wengi WA kiafrika hawataweza kuruka huu mtego, 🤣🤣🤣🤣
Kiufupi Russia anaenda kuongeza ushawishi afrika Kwa Kasi ya ajabu kibaya zaidi west hawawezi kuzuia
Halafu ndo watafurahi pitin akifa.Medvedev 😃
View attachment 2253571
Medvedev: I am often asked why my Telegram posts are so harsh.
The answer is I hate them. They are bastards and geeks. They want death for us, Russia. And as long as I'm alive, I will do everything to make them disappear.
Ha ha haaKumbe nimegundua hawa west ni mishenitauni tu. Maneno mengi na ubabaishaji mwingi. Kumbe ni maskini wa kutupwa. Wanatumia maneno na kuiba mali za mataifa mengine.
Wamebakiza kubweka tu! Vikwazo vya kiuchumi navyo vime wa-athiri na wao tena kwa asilimia kubwaZile drone zao sizisikii tena. Phoenix drone
Binafsi huwa nasikitika sana ninaposikia bara la Africa linakuwa na njaa!!Hapa ndipo ninapomkubali Putin, alikwisha jua nchi nyingi za kiafrika zinasumbuliwa na njaa, Kwa njaa inayoinyemelea dunia nchi pekee yenye uwezo wa kutupa chakula ni Russia, India,China na nchi kadhaa za Asia, hapa viongozi wengi WA kiafrika hawataweza kuruka huu mtego, 🤣🤣🤣🤣
Kiufupi Russia anaenda kuongeza ushawishi afrika Kwa Kasi ya ajabu kibaya zaidi west hawawezi kuzuia
Ndio umemaliza unachojua na tukuamini kuwa wajua.Ukweli kwamba Urusi haiwezi kuifanya GPS isifanye kazi kama alivyoandika huyo mlevi wa dengerua Mathanzua ?
Wewe ni NAM- Non Alignment MovementNa sisi NATO ndio tunataka hicho kitu[emoji16]
Tunataka hata nzi aliopo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator
Binafsi huwa nasikitika sana ninaposikia bara la Africa linakuwa na njaa!!
Hatukupaswa kuwa na njaa kabisa bara lenye ardhi, rutuba, mito tunaliaje njaa.
Viongozi wetu wote kwa pamoja ni matheing sana.
Kama tuna mito na maziwa, ardhi yenye rutuba bado tunategemea chakula kutoka bara ulaya unafikiri kuna akili hapo....Acha watunyooshe tu mpaka akili zikae sawa....Pro Russia mwenzako yuko kukenua meno Putin amejua bara la Africa lina njaa na kupitia hiyo njaa ya chakula Urusi itaongeza ushawishi wake kwenye bara la Africa! smh.
Sasa kama Ndom wanatupa msaada chakula ni necessity..Pro Russia mwenzako yuko kukenua meno Putin amejua bara la Africa lina njaa na kupitia hiyo njaa ya chakula Urusi itaongeza ushawishi wake kwenye bara la Africa! smh.