Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga​


Maelfu ya wanajeshi wa NATO wanashiriki katika zoezi kubwa kuwahi kutokea la kujaribu mifumo yao ya ulinzi wa anga na makombora huku kukiwa na hofu kwamba vita vya Ukraine vinaweza kuenea katika maeneo mengine, linaandika gazeti la Uingereza Times.

Wakati ndege, zikichukua nafasi ya adui ndani ya mfumo wa mazoezi ya kijeshi, zilipokuwa zikiruka juu ya Poland na nchi za Baltic, mawaziri wa ulinzi wa NATO walijadili hali ya Ukraine huko Iceland.

Akizungumza huko Reykjavik, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iceland Thordis Gilfadottir aliwaambia wenzake kutoka nchi za Nordic, ikiwa ni pamoja na Uingereza, kwamba wanapaswa kuwa tayari kwa hali mbaya zaidi inapokuja suala la Urusi.

Wanajeshi 3,000 wa NATO kutoka mataifa 17 Washirika wanashiriki katika zoezi la Urithi wa Ramstein nchini Poland, Lithuania, Latvia na Estonia kwa kutumia ndege, mifumo ya ulinzi wa makombora na mifumo ya vita vya kielektroniki.

"Tishio la uvamizi wa kijeshi wa moja kwa moja dhidi ya nchi ya NATO haliwezi kupuuzwa tena," alisema.

Jumla ya ndege 50 za kivita na ndege nyingine za kivita ziliruka kutoka kote Ulaya, na mifumo 17 ya ulinzi wa anga na makombora ya ardhini inahusika katika zoezi hilo

NB: Urusi ilikuwa inatoa mvua rasharasha Sasa ni itakuwa elnino
 
Political miscalculation, unaenda kupigana kwa kutegemea msaada wa mtu mwingine. He is a clownman and thought war is a comedy
 
wangetulia neutral wkt jimbo la crimea limeshamegwa?
 
Waambie

hao hawaelewi kabisa
Nafikiri Hawa bendera fuata upepo hawaijui Russia wanayoiShadadia .Wanashindwa kuelewa kwamba Russia ni superpower number 2 ,kusumbuliwa na nchi ndogo kama UKRAINE kwenye medani za kivita ,ni habari kubwa sana🤔
 
[emoji845][emoji635][emoji3575]Russia has used in Ukraine a link of 4 Su-57 fighters linked into a single information network to destroy air defense facilities

The Russian Aerospace Forces conducted an operation to identify and defeat the air defense of Ukraine with a link of 4 newest Su-57 fighters combined into an information network due to automatic communication systems,data transmission, navigation and identification in real time,which increases combat capabilities to identify and defeat targets," a source told РИА Новости
Jana nilieleza hapa namna Russia anaipondaponda Ukraine kwa helcopter tena kwa mbwembwe nikahoji mifumo ya ulinzi wa anga Ukraine iliyopokea kutoka US inafanya kazi gani .Leo nimepata jibu
 
🇳🇮 🇷🇺 The Nicaraguan authorities approved the "humanitarian" entry of the Russian Armed Forces

The President of 🇳🇮 Daniel Ortega allowed the entry of🇷🇺troops into the country,ships and aircraft for humanitarian purposes. This is reported by the official bulletin of La Gaceta. "Personnel, ships and aircraft of the Armed Forces of the Russian Federation can be brought into the territory of Nicaragua to take part in the implementation of exercises and training,s well as humanitarian aid operations, search and rescue and rescue operations in emergency situations or natural disasters," La Gaceta reports. The Government of Nicaragua also approved the introduction of military personnel, ships and aircraft of the United States, Mexico, Cuba, Venezuela, Guatemala, El Salvador, Honduras and the Dominican Republic for humanitarian exchange and assistance The Government of Nicaragua believes that the exchange between the armed forces of the countries is mutually beneficial in case of emergencies. According to La Gaceta, the entry of foreign troops was planned in advance and coordinated with the Armed Forces of Nicaragua, whose representatives also received permission to visit partner countries to carry out humanitarian activities.
 
Jeshi la Marekani limejaa raia wa mataifa mengi kupitia mfumo wa Greencard kila mwaka vijana 50000 wanapata uraia wa US na wengi ndio wanakwenda majeshini na kusukumwa feontline
 
hao nato wote wahaifikii hata iran kwa tech mifumo ya ulinzi

makopo yao ya patroint huwa yanalipuliwa na home made drone kutoka kwa vijana wa yemen
Hv hzi bangi huwa mnazitoa wap....!! NATO , US wanamwandama Russia kupitia narrow corridor yenye kichaka kinachoitwa Ukraine , Huyo Iran wako , north Korea na uchafu mwingine wapo kwenye mrengo wa Russia , wanashindwa nini kumpa support mwenzao anayeandamwa non stop , au mpak yamfike ya Ghadafi waanze kulaani ...!!

Jasusi wa Irani alidunguliwa live tunaona hv na hakuna chochote Irani alifanya zaidi ya kutungua ndege ya abiria wake ....

Mnawapaga sifa ambazo hata hazpo
 
hivi vikwazo viliwekwa kumsaidia Ukraine ,na Zelesky alisema vikwazo havitoshi ,sasa hivi anawalaumu tena Marekani na NATO kwa vikwazo ,huyu jamaa ana papara sana sometimes.
 

US ana mfumo gani hatari wa Ulinzi??[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…