Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado unaandika upupu, mwamba em tulia tu turudi kwenye mada ya Urusi vs Ukraine. Usituchafulie Uzi plz
 
Achana nae Mdau
Anaboa 😂

Sasa evidence ya kuthibitisha madai yake hana amekaza fuvu tu. Mara kwii mara kwoo. Anatuletea story za eti kaamua kujishikisha Urusi ase ila kuna watu vibatali kweli kweli.

Chechnya ilikuwa Urusi, Ika break kutoka Urusi na Ikarejea Urusi. Duniani kote wanaitambua Chechnya ka Federal Subject ya Russia Federation ye kwenye halmashauri ya kichwa chake anaiita Independent state.

Angezitaja sehem kama Kosovo, Republic of South Ossetia, Republic of Abhazia hakuna ambaye angemnyooshea kidole.
 
Nimemuuliza kati yake na Al Jazeera tumwamini nani hajanijibu halafu ananiambia eti tuzungumze kisiasa zaidi.

Au siasa ni kusema uongo mie sielewi 🤔...?
 
Nimemuuliza kati yake na Al Jazeera tumwamini nani hajanijibu halafu ananiambia eti tuzungumze kisiasa zaidi.

Au siasa ni kusema uongo mie sielewi 🤔...?
😂😂😂

Mwenzio anadai yupo Critical halafu amekaa zake Tandale kwa Tumbo uko anajua Kadyrov ana upinzani mkali huko Chechnya... Asee Uhuru wa Kuzungumza mda mwingine unachupia mipaka.

Utumbo wa namna hiyo hua siwezi kuusoma. Ngoja nimueke mahali salama ndani ya Ig. List atulie.
 
Chechnya kwa muda mrefu ilikuwa ikipigania uhuru wake tangu enzi za Russia empire na kuna wakati ilikuwa nchi huru kabisa katika USSR ikiitwa Chechen-Ingush Autonomous Soviet Socialist Republic sawa na Georgia, Ukraine, Armenia na nchi nyingine zilizokuwa zinaunda USSR bahati mbaya baada ya USSR kuvunjika 1991 na nchi zilizounda USSR kujipatia uhuru wao na kujitegemea Chechnya nayo ilijipatia uhuru wake ila kulitokea mgogoro mkubwa wa kisiasa ndani ya Chechnya na Urusi ikatumia hicho kama kigezo cha kuingilia kivita na kuimeza mwaka 2000.
 
Sio kila information ni valid knowledge ndio maana nasisitiza kwenye uelewa wa misingi ya sayansi ya siasa ili kuweza ku internalize . Sote tunaweza ku Google na kupata mataarifa mengi na mapicha ishu ni kuyachambua critically.
Mzee unazingua kishenzi. Hivi nikuulize. Nchi ya Russia iko wapi!? Na Russia ni nini!?
 
Mzee wewe ni mweupe kwenye mambo ya Geopolitics.
1. Hatuna East Africa Federation. Tupo na East Africa Community.

2. Usipende kubisha vitu usivyovijua.
 


🇷🇺🍔A chain of former McDonald's restaurants in Russia has returned under the rebranded name "Vkusno i Tochka" (which translates as "Tasty, Period").

🔍 Fifteen restaurants of the former network opened on June 12 in Moscow, with 50 more opening on Monday. The company's management intends to launch up to 200 restaurants until the end of June and to increase the number of restaurants across Russia from 850 to 1,000 in the next five to six years.
 
Mzee unazingua kishenzi. Hivi nikuulize. Nchi ya Russia iko wapi!? Na Russia ni nini!?
Mi pia naomba kueleweshwa jinsi Russia inavyojiendesha.

Nimeona kuna semi presidential system, federal republic, constitution republic zote zinaoparate kivipi?

Maana federal republic ni muunganiko wa states nyingi chini ya central government moja(nikimaanisha wanawakilishwa na raisi mmoja nje ya nchi yao na maamuzi mengine ya pamoja),ila Kila state inaweza kujifanyia maamuzi kulingana na katiba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…