CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
MANENO YAMEKUWA MENGI, UKRAINE INAHARIBIWA KILA SIKU, NATO, EU, UN na USA Muda wote wanakaa vikao na hawaji na option ya kumpiga URUSI. Hii vita nimekubali kuwa kwenye VITA hakuna wa kumtishia URUSI duniani.
Anayeona kuna nchi inamuweza MRUSI, apeleke jeshi UKRAINE au atangaze kufunga ANGA LA UKRAINE kwa niaba ya UKRAINE.
Tuache ushabiki maandazi, URUSI ni mnyama.
Anayeona kuna nchi inamuweza MRUSI, apeleke jeshi UKRAINE au atangaze kufunga ANGA LA UKRAINE kwa niaba ya UKRAINE.
Tuache ushabiki maandazi, URUSI ni mnyama.