LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mkuu Putin kwa gharama kubwa za maandalizi ya vita alizofanya Putin dhidi ya Ukraine hakuna mtu alietarajia kuwa jamaa angeanza kuomba poo kabla hata ya week.
Hebu tutajie ni silaha zipi kubwa mrusi katumia kwenye hii vita? pardon me na ni gharama kubwa kiasi gani katumia in figure i mean how much billions of dollar did he spend? hivi unajua hii ni millitary operation na sio an all out war? hivi unajua lengo la mrusi kwenye hii vita?
 
Warusi wa kwa mpalange watapinga.
IMG_20220301_151010.jpg
 
Medvedev hits back at French Finance Minister Le Maire


"Don't forget that economic wars in the history of mankind have often escalated into real ones," cautioned Russia’s Security Council Deputy Chairman Dmitry Medvedev.


His warning was in response to the words of French Finance Minister Bruno Le Maire, who threatened to launch a "total economic and financial war" against Russia.
 
Wakati hata bastora hawajui inavyoshikwa. Iwe ndio vita
Tupo frontline Mkuu tunapambana kwa maneno,tunazijua silaha zote,ki ufupi tuna Silaha zote za Nyukilia,tunazimiliki kupitia midomo yetu,tuache tuumalize huu mtanange wa Vita vya mdomoni,lakini usituambie hata siku moja tujiunge hata na JKT,huko hatuwezi kamwe.
 
Nipo na Mo Energy na pop corn, naangalia namna Urusi anavyomnyonya mavi ukraine(enjoying Russia probing Ukraine's anus
 
Cardless ulishatuambia mji umebaki mmoja tu na wamezingirwa? Sasa Wamerudi nyuma kuelekea wapi?
Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.
Hii inaitwa RS-24 Yars. Zipo kama 500 hivi zimewekwa stend by. NATO yeyote akitia pua halali yetu.
images (22).jpeg


images (23).jpeg
 
Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.
😀😀😀😀. Ila Urusi mpaka sasa hajachukua tu ile nchi, Ukraine anapambana kwa kweli. Kila nikifanya kazi nikasema nichungulie nakuta hadithi zile zile za Urusi ni noma, anamtandika Ukraine kweli kweli.
 
Ukraine naskia kawa rejected kujiunga na EU hahahaaa...
EU na US sio wakuaminika hawa...Rais wa ukraine ka anaakili anyoshe mikono tuu maana yajayo kuanzia kesho sio mazuri kwa kiumbe yeyote atakaekua kyv ...
 
😀😀😀😀. Ila Urusi mpaka sasa hajachukua tu ile nchi, Ukraine anapambana kwa kweli. Kila nikifanya kazi nikasema nichungulie nakuta hadithi zile zile za Urusi ni noma, anamtandika Ukraine kweli kweli.
Sikuwa hewani kwa muda pia,nikasema acha nirudi nione ile mikwara ya "msafara wa km 40" kwenda kuifuta Kiev utakuwa umeshamaliza kazi na watu wanapop Champagne,nakuja nakutana na screenshot zimejazana hapa za yale yale ya asubuhi na ambayo tunajionea wenyewe pia kupitia hizo media wanazocopy,nikaona kumbe bado ni blah blah tu
 
Now nimeanza kuwaonea huruma UKRAINE. Dah wanayopitia ni magumu sana. Ila ningekuwa na uwezo ningemshauri Rais wa UKRAINE akubaliane na Russia kwa sasa hivi. Huku wakijpanga kwa teknolojia huko mbeleni. Ukraine sasa hivi imerudi nyuma sana. Mungu awasaidie. Tuache utimu tuungane kuhakikisha mzozo huu unamalizika kwa njia ya mazungumzo na sio kwa hali hii.
Tuungane tumalize ya kongo kwanza.. maana ya hawa blue eyes na blond hair hayatuhusu kabsaaaaaaaa acha wapasuane tuu
 
Ukraine naskia kawa rejected kujiunga na EU hahahaaa...
EU na US sio wakuaminika hawa...Rais wa ukraine ka anaakili anyoshe mikono tuu maana yajayo kuanzia kesho sio mazuri kwa kiumbe yeyote atakaekua kyv ...
Naapa wallah wabillah,Ningekuwa Putin mda huu kule Ukraine kungekua archaeologist tu wakiwa bize kufukua fukua kuokota na ku lebel joints,ribs,skulls,vigae na vyungu
 
⚡️ European Council will have to ‘seriously look at Ukraine’s request for EU membership’ – President Michel

European Council President Charles Michel said any decision on Ukraine’s membership would “have to be done with a clear head.”

Sababu inaweza waletea uhasama nchi wanachama na Urusi... Maana hawatakuwa tayari kuiona Ukraine inaangamia mikononi mwa Urusi na hali ya kuwa ni mwanachama... Kumkubali Ukraine kunaweza ongeza ukubwa wa vita
 
Marekani anaogopa?
Ana mweshimu mbabe mwenzie, hapo nakuusoma mchezo ili aujue uimara wa adui/hasimu na kuujua udhaifu wake.
Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.
Sasa vipi mtoto nanavyoungana na wasaliti kumhujumu baba na mama yake🤔
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa telegram, wa meya wa khakiv.sijui ilikuwaje kakaa wengi ivyo kwenye iyo base
japokuwa wametengeneza mobile units lkn still watakaa kwe baadhi ya kambi maana si kila kifaa ni rahisi kuhamahama,
 
Back
Top Bottom