King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
😁 mkuu Galip vrl, pamoja sana pia nikushukuru kipindi unatoa somo la uchumi hasa ulipokua wagusia masuala ya demand and supply. Hapo nilipata shule nzury sana.King Faisal
His Majesty
Ahsante sana kwa "Maziwa" haya, yanakuza ubongo na kuleta afya ya akili.
😁 mkuu Galip vrl, pamoja sana pia nikushukuru kipindi unatoa somo la uchumi hasa ulipokua wagusia masuala ya demand and supply. Hapo nilipata shule nzury
Pamoja sana mkuu 👍Tunajifunza wote jomba, Ah no His Majesty ha ha heshima ako mkuu...
Hapo Zele baada ya kuvuta cha NgarenaroZelensky : hii operation tunashinda niletee USA, niletee Germany, niletee France pamoja na Nato yote.
Mnajua nyie Pro NATO mnakuaga na ufala mwingi sana. Russia kuiacha kyiv ilikua baada ya makubaliano na Ukraine pande zote zilikubalian. Russia akasimamisha mapigano kyiv au mmejitoa ufahamu??.
Hivi toka huu mgogoro unaanza ulikua unaufuatilia? Au umevamia uzi tu. View attachment 2259237
View attachment 2259238
Aha! Wapi makubaliano gani, limsafara lililiwa lote kaangukia pua leo hii anahangaika na tumiji twa huko sijui wapi, alianza kwa mbwembwe ila kakuta amesubiriwa na kuchapwa za uso kishenzi.
Huto tumiji pia tumemsumbua kapoteza majenerali kama senene.
Global Navigation Satellite System ni Navigation System ya Mrusi.Kuna watu hawajui hii kitu inaitwa GLONAS asee ni better than GPS ila kuna watu watakupinga. Nilikua naifuatilia hii glonas asee ni balaa GPS arud shule.
huku kachanganywa na kinyesiHapo Zele baada ya kuvuta cha Ngarenaro
Huu ni mfano wa mtu asiyekua na elimu au utoto, sasa huu ni mfano?? Mpaka hapo liverpool anaongoza au ameshinda vita ushindi ni ushindi tu never estimate.
Una miaka mingapi??, tunzie kwanza hapa
Naona Sodoma na Gomora Mungu aliwatuma malaika kucheza nao mdundiko au sio.
Jibu nilichoandika. Point zako mara msafara km 70, kiev imekimbiwa ., siku tatu mara inajifanya supapawa. Jibu hapo kwa nini mmeshindwa kukomboa mateka wenu 5000 na Donbas na Luhansk mpaka sasa wanachukua passport za Russia.
Odessa inaondoke hiyo na bado mnashipaza shingo kuwa Russia anapigwa.