Putin hapaWewe ni bwana mahaba wa Urusi au Nato? Ufahamike kwanza.
ebu piga picha niwaoneKHARKIV tunaelekea kuiweka tena kwenye himaya yetu ya Kirusi
Ila anasifiwa Kwa kumfundisha adabu njema⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️Baba hasifiwi kwa kumtandika mtoto.
ushabiki maandazi😂😂😂 masaa 24 na leo ni ijumanne!!!
Ooo. Okey, nafurahi kukufahamu.Putin hapa
Kazidiwa wapi sema wameamua kupiga collabo, kimedani za vita Inaitwa kupiga miguu yote. Kiswahili inaitwa kupiga mandeJeshi la Ukraine limedai kwamba wanajeshi wanchi jirani la Belarus, wamevuka mipaka wakiwa na vifaru na silaha nyingine nzito na kuingia nchini Ukraine kwa lengo la kwenda kuisaidia Urusi.
Taarifa hizo zinakuja saa chache baada ya Serikali ya Marekani kueleza kwamba inazo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kwamba Belarus inajiandaa kuvuka mpaka na kuingia nchini Ukraine kuisaidia Urusi.
Tangu kuanza kwa mzozo baina ya Ukraine na Belarus, rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko ambaye ni swahiba mkubwa wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, alitangaza kwamba nchi yake ipo tayari kuisaidia Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.
*********
Je ndio kusema mrusi kazidiwa ikabidi aombe msaada?
weka hoja hapa kama we mmarekaniOoo. Okey, nafurahi kukufahamu.
Ni kweli ila Isitokee tu akarusha kofi likamkosa afu dogo akampiga mtama akanguka kwa kukaa ikalia Ptaaaaa. Watamcheka majirani na mkewe atachekea ndanikwandani huku jamaa akimkazia macho akisubiri acheke aone.Ila anasifiwa Kwa kumfundisha adabu njema⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
Mm si mmarekani, si Mrusi. Ila sipendi bullies.weka hoja hapa kama we mmarekani
haupo upande wowoteMm si mmarekani, si Mrusi. Ila sipendi bullies.
Sipendi bullies. Na kwa sasa namuona Urusi kama bully. Anafanya ubabe kama ule wa Mmarekani.haupo upande wowote
Ukreni kaponzwa na mabeberu wa ulaya na Amerika, walitaka wamtumie kuihujumu Russia🏃Mm si mmarekani, si Mrusi. Ila sipendi bullies.
Sasa Russia angewatandika walaghai.Ukreni kaponzwa na mabeberu wa ulaya na Amerika, walitaka wamtumie kuihujumu Russia🏃
Hapa anatuma ujumbe mnono kwa mabeberu na vibaraka wao🏃♂️🏃🏃♀️Sasa Russia angewatandika walaghai.
Point iko wapi?